mitihani

National Examinations Council of Tanzania (NECTA; Swahili: Baraza la Mitihani la Tanzania) is an agency of the Tanzanian government, headquartered in Dar Es Salaam, that proctors tests given nationally.
It manages the Certificate of Secondary Education Examination.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Mitihani mipya kwa Waziri mpya wa Nishati kuhusu tenda na mikataba atayoikuta Wizarani

    Nauona mitihani mkubwa kwa waziri Dotto Biteko kuhusu Nishati. Hii Wizara ina upigaji mwingi kwa watu wasio waadilifu ila kwa mwaadilifu wala hakuna shida wizarani. Sasa, Waziri mpya mfano akikuta mirija ya tender na mikataba ya Waziri aliyehamishwa atafanyaje? Kama kuna dalili ya kutokuwepo...
  2. H

    Malalamiko ya Madaktari Watarajali (Interns) kuhusu kufeli mitihani ya MCT

    Malalamiko ya Madaktari Watarajali (Interns) kuhusu kufeli mitihani ya Mct: Kama Mdau wa Afya, nimeisoma barua ya wazi ya madaktari tarajali (interns) ya tarehe 21 July. Nimesikializa press ya madaktari hao ya tarehe 04 August. Lakini pia nimeona taarifa kwa umma ya Wizara ya Afya ya tarehe...
  3. Kwa ninayoyashuhudia Mahospitalini na hata vyuoni kwao, taarifa ya nusu ya wanafunzi wa Udaktari kufeli mitihani yao ya usajili sijashangaa

    Kama unaenda Hospitali kuonana na Daktari anaanza Kukupigisha story za akina Skudu wa Yanga SC na Ngoma wa Simba SC wakati anakuona unaugulia Jino hapo kuna Professional Doctor kweli? Hivi kwa tunaojua jjnsi Kozi ya Udaktari ilivyo ngumu, yenye kuhitaji Umakini mkubwa na Kujisomea Kwingi...
  4. R

    Mitihani ya kidato cha sita 2023 ilikuwa below standard

    1. Ufaulu huu mkubwa tulioushuhudia si kuwa watoto walisoma sana na kuwa na uwezo wa kujibu maswali. Kwanini nasema hivyo: Haiwezekani shule ambayo mwaka jana ilikuwa na 90% or so Div 0/Div 4, leo ghafla ina div 1 and 2. 2. Shule ambazo zimejiwekea rekodi ya kudumu ya kufeli, leo zinaongoza...
  5. Mbunge Babati Vijijini Daniel Sillo Akabidhi Mashine za Kuchapisha Mitihani Shule za Sekondari

    MBUNGE DANIEL BARAN SILLO AKABIDHI MASHINE ZA KUCHAPISHA MITIHANI KWENYE SHULE ZA SEKONDARI Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini (Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti) Mhe. Daniel Sillo ametimiza ahadi yake ya kukabidhi mashine za kuchapisha katika Shule za Sekondari Maganjwa na Arisaayo ili kusaidia...
  6. Mwenye mitihani ya leseni pharmacy (miaka ya nyuma anisaidie tafadhali)

    Sorry wakuu wana Jamiiforums wenzangu.. Ninaomba msaada kama kutakuwa na muhusika humu mwenye mitihani ya leseni ya miaka nyuma anaweza kusaidia..nitatoa chochote kwa sababu natambua duniani hakuna cha bure zaidi ya pumzi..
  7. Nilipotumia Mbinu ya wachina kufaulu mitihani

    .Happy Sunday to you all Bas bwana, Enzi hizo nipo shule ya msingi walikuwa wanatoa zawadi kwa mtu wa kwanza hadi wa tatu, na mnasomwa kwa majina siku ya kufunga shule, so ni full maujiko kuitwa shule nzima inakuona, mpaka kufika darasa la nne mm nilikuwa sijawahi pata zawadi yeyote 😂😂 Si...
  8. C

    Ukiona vyombo vya usalama vinawajibika kwenye chaguzi na mitihani ya shule za msingi na sekondari, jua kuna tatizo

    Hii tafakari kubwa. Vyombo vya usalama katika nchi yoyote ile ni kulinda uhai wa nchi na uhai wa nchi ni pamoja na rasilimali za nchi husika. Sasa ukiona vyombo vya usalama tena katika nchi isiyo na vita wanakua busy kusimamia uchaguzi mkuu na kusimamia mitihani ya shule ya msingi na sekondari...
  9. Suala la Walimu kufanya mitihani ndio waweze kuajiriwa liende sambamba na kuanzishwa Teachers Registration Board (TRB)

    Nimesoma maelekezo ya Waziri wa Elimu, nimeona ni vema Walimu hao hao wakifaulu mitihani yao pia wasajiliwe kwenye board yao. Hivyo ni vema kuanzishwa kwa Teachers Registration Board sasa. Hii itasaidia walimu kuepukana na chama cha unyonyaji cha CWT.
  10. Ushauri: Ikiwezekana hii mitihani ya usaili ya walimu itungwe, kusimamiwa na kusahihishwa na NECTA

    Maamuzi ya kuwa na mitihani ya usaili kwa walimu iliyotungwa, kusimamiwa na kusahihishwa na NECTA (Baraza la Mitihani) ni jambo linaloweza kuwa na faida nyingi kwa mfumo wa elimu. NECTA tayari inasimamia mitihani ya kidato cha nne na kidato cha sita nchini Tanzania, hivyo ina uzoefu na utaalamu...
  11. Pendekezo la Mitihani ya Usaili kwa Waajiriwa katika Sekta ya Afya

    Napenda kutoa pendekezo muhimu kwa Waziri wa Afya na Waziri wa TAMISEMI kuhusu mchakato wa ajira katika sekta ya afya nchini. Pendekezo langu linahusu kuanzishwa kwa mitihani ya usaili kwa waajiriwa wote wa Ajira za afya kabla ya kuajiriwa. Hatua hii itakuwa na lengo la kuboresha viwango vya...
  12. Malengo ya Elimu ya Tanzania ni mawili, 1. Tunasoma ili tufaulu mitihani, 2. Tunasoma ili tuajiriwe. Njoo ubishe kwa hoja

    Habari! Ikiwa ndugu, mtoto au rafiki kakupigia simu kisha akasema nilikuwa nawasalimia tu lakini baadaye akaanza kujichekesha na kuomba elfu tano hiyo maana yake ni kwamba lengo la kukupigia halikuwa kuwajulia salamu bali kuomba pesa . Vivyo hivyo lengo la Elimu ya Tanzania ni kujenga Taifa la...
  13. PSRS wanataka tujibu vipi mitihani yao ili tufaulu? Unajibu majibu sahihi wanaweka marks sio sahihi, inauma sana

    Dah nasikitika sana yaani unaweza kukata tamaa kabisa na ushahili wa PSRS unasoma unajiandaa vizuri kabisa unaenda kufanya mtihani unaufanya vizuri ulichosoma unakikuta kwa 100% na unatoka unaangalia unaona umejibu vilevile. Cha kusitikisha majibu yanatoka umepata 40% daah roho inaniuma nahisi...
  14. R

    Waziri wa elimu lingalie hili la walimu hasa wa Primary kutoza pesa kila siku eti ni mitihani

    Sasa ni kawaida. Kila siku watoto wanakuja wanadai hela eti kuna mtihani. Kila siku kuna mtihani. Enough is enough.
  15. Utaratibu wa kuandaa mitihani ya taifa upoje?

    Wakuu habari zenu . Ivi utaratibu wa kuandaa mitihani ya necta upoje kuanzia utungaji wa maswali, uchapaji wa mitihani, kuhifadhi mitihani mpaka kufikia kuisambaza katika vituo vya mitihani.mchakato huwa unakuaje wadau, nna hamu sana ya kujua na inshaallah mungu akijalia nije nifanye kazi huko...
  16. Naomba kuuliza, hivi ni lini wanafunzi waliofanya vizuri mitihani ya form four 2023 watatowa selection ya shule walizopangiwa A level?

    Anajuwa humu kuna wadau wa mambo yote, matokeo ya form four yalishatoka na kila muhusika anajuwa ana division gani. Sasa nataka kujuwa ni lini serikali itatangaza selection ya shule za serikali kwa waliofanya vizuri?
  17. S

    Mitihani ya Mock isitungwe kiholela wakati syllabus haijaisha

    TAHOSA ni chama cha walimu wakuu wa shule hasa za Sekondari. Moja ya kazi zao ni kutunga mitihani ya majaribio kwa wanafunzi, yaani hii mitihani inayoitwa “Mock Examinations” au kwa kifupi kilichozoeleka “mock”. Shida yangu ninayowaeleza watanzania hasa sisi ambao ni wazazi wa wanafunzi ni...
  18. Mahakama yatoa hati ya kuwakamata wanaodaiwa kuvujisha mitihani ya Darasa la 7

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoka hati ya kuwatafuta na kuwakamata washtakiwa wawili wanaodaiwa kusambaza mitihani ya Taifa ya darasa la saba kwa njia ya mtandao wa kijamii Telegram baada ya kukiuka masharti ya dhamana. Washtakiwa hao ni Jacob Adagi ambaye ni mshtakiwa wa 11 na Joel...
  19. Naombeni support yenu katika hili: Nimebuni shule ya kwanza ya mtandao, haitaji kufika shuleni tena, soma na fanya mitihani mtandaoni

    SHULE YA KIDIGITALI, SOMA MTANDAONI UKIWA NYUMBANI HUITAJI KUFIKA SHULE TENA Habari naileta kwako TAIFA ONLINE INTERNATIONAL SCHOOL Ni taasisi mpya nchini Tanzania inatoa elimu kwa njia mtandao pasipo kujali eneo ulilopo. Tutembelee www.taifaschool.net NB: NAPOKEA USHAURI WA AINA YOYOTE...
  20. Nimetengeneza shule ya kwanza ya kidigitali ambayo wanafunzi watasoma na kufanya mitihani wakiwa nyumbani

    SHULE YA KIDIGITALI, SOMA MTANDAONI UKIWA NYUMBANI HUITAJI KUFIKA SHULE TENA Habari naileta kwako TAIFA ONLINE INTERNATIONAL SCHOOL Ni taasisi mpya nchini Tanzania inatoa elimu kwa njia mtandao pasipo kujali eneo ulilopo. Tutembelee www.taifaschool.net NB: NAPOKEA USHAURI WA AINA YOYOTE...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…