Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,232
- 6,479
Nauona mitihani mkubwa kwa waziri Dotto Biteko kuhusu Nishati.
Hii Wizara ina upigaji mwingi kwa watu wasio waadilifu ila kwa mwaadilifu wala hakuna shida wizarani.
Sasa, Waziri mpya mfano akikuta mirija ya tender na mikataba ya Waziri aliyehamishwa atafanyaje?
Kama kuna dalili ya kutokuwepo uzalendo hapo awali atanyamaza?
Je, mawaziri hawa watawasiliana kidili na kipigaji ili wote kufaidi asali?
Hakutaibuka uadui miongoni mwao wasipokubaliana masuala kadhaa?