mitihani

National Examinations Council of Tanzania (NECTA; Swahili: Baraza la Mitihani la Tanzania) is an agency of the Tanzanian government, headquartered in Dar Es Salaam, that proctors tests given nationally.
It manages the Certificate of Secondary Education Examination.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Kidato cha nne kuanza mitihani kesho, 309,986 hawajulikani walipo

    Wanafunzi 595,816 wanatarajia kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari kuanzia kesho Jumatatu, Novemba 17, 2025, ikiwa ni kukamilisha safari yao ya miaka minne. Idadi ya watahiniwa wanaotarajiwa kuketi hiyo kesho ni sawa na asilimia 65.63 ya wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato...
  2. Superbug

    JamiiForums Tanzania Vijana wa KIDATO Cha NNE na chapili jiandaeni na mitihani. Wazazi iungeni serikali mkono watoto wavuke salama

    Mnahamasisha maandamano hamjui wiki ijayo baada ya hiyo TAREHE yenu watoto wanatakiwa kufanya mitihani Kwa utulivu nchi nzima? Tumia akili mtanzania usiendeshwe na mihemko.
  3. kiredio Jr

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa uchaguzi, mitihani huwa rahisi au matokeo huboreshwa ili kuvutia wapiga kura.

    Wanafunzi pamoja na jamii huamini kwamba mwaka wa uchaguzi, mitihani huwa rahisi au matokeo huboreshwa ili kuvutia wapiga kura. Je, hii ni kweli? Au ni kasumba isiyo na ushahidi? Wengine huamini kwamba serikali haitaki lawama mwaka wa uchaguzi na matokeo mazuri huongeza mvuto kisiasa. Lakini...
  4. King faisal

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo kauli walizoambiwa wanafunzi wa udaktari na machief kwenye mitihani ya vitendo(practical)

    Habari zenu wakuu. Hizi ndizo kauli walizo ambiwa wanafunzi wa udaktari na machief kipindi cha mitihani ya vitendo(practical). Kama ifuatavyo 1: Hiyo diagnosis inabidi tuiandikie kitabu chake yenyewe. 2: Umeona hilo koti lako lilivyo jeupe ndio kichwa chako kilivyo cheupe. 3: Hiyo dozi...
  5. Hammer11

    JamiiForums Tanzania Hii mitihani hii

  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Baraza la mitihani (NECTA) mnaangamiza Taifa, inafaa wapewe kesi ya uhaini

    Uadilifu wa NECTA toka alipoondolewa Professor Joyce Ndalichako umepotea kabisa Tiss na TAKUKURU pigeni kambi hapo mtupe majibu kwanini hii taasisi inahujumu elimu Kwasasa wizi na udanganyifu katika mitihani ya Taifa ni kawaida Kuna tetesi shule binafsi huwa wanapewa paper kabla ya miezi 6...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Kiongozi: Ili mtumishi athibitishwe au kupanda daraja atalazimika kufanya mtihani kupima uwezo wake

    Ili kuimarisha utendaji kazi katika sekta ya umma, Serikali imedhamiria kuanzisha mfumo wa upimaji kwa kutumia mitihani ya lazima kwa maofisa walioteuliwa au kupandishwa vyeo vya uongozi. Hatua hiyo mpya ni sehemu ya kuhakikisha watu wenye uwezo na uelewa thabiti wa shughuli za utumishi wa umma...
  8. Outsiders

    JamiiForums Tanzania Kukurupuka kwa Serikali Kuanzishwa kwa Mitihani ya watumishi waliokazini

    Kiukweli suala la kukosa mitaala ya elimu iliyothabiti ni janga la Taifa,,, leo hii serikali na watendaji wake wakuu wanakurupuka kuanzisha mifumo isiyokua na Tija katika mustakabali wa taifa; 1. Mfumo wa ESS ulianzishwa kwa dhumuni la kupima utendaji kazi wa mtumishi baada ya kuondolewa mfumo...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mitihani ya kuoa mabinti wa 2000

  10. Baraza la Famasi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mitihani ya Taaluma inaendelea kwenye vituo vya Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya, Dodoma na Arusha

    Zoezi la uendeshaji wa Mitihani ya taaluma kwa wafamasia, fundi dawa sanifu, fundi dawa wasaidizi na watoa dawa likiendelea kwenye vituo vilivyopo katika Mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya, Dodoma na Arusha. Mitihani hii ilianza tarehe 09 Julai 2025 na itamalizika tarehe 11 Julai, 2025.
  11. Baraza la Famasi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya Mitihani ya Usajili na Taaluma kwa Wahitimu wa Kozi za Famasi kufanyika 09 – 11 Julai 2025

    Taarifa ya Vituo vya kufanyia Mitihani ya Taaluma Baraza la Famasi linapenda kuwatangazia wahitimu wote wa kozi za famasi waliowasilisha maombi ya kufanya mitihani ya usajili na ya taaluma kuwa, mitihani hiyo imepangwa kufanyika tarehe 09 – 11 Julai, 2025 kuanzia Saa 02:00 asubuhi kwa utaratibu...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ahoji kuhusu wahitimu kufanya mitihani kupata ajira

    Mbunge wa Viti Maalum, Cecilia Paresso amehoji utaratibu mpya wa serikali unaowataka wahitimu wa vyuo kufanya mitihani mbalimbali ili kuajiriwa, akitaka kujua kama hatua hiyo inaashiria kwamba serikali haina imani na elimu inayotolewa vyuoni.
  13. Smile Digital Stationery

    JamiiForums Tanzania Changamoto na mitihani unayopitia haipo kwa bahati mbaya

    Hello wana JF; Leo nimekuja na hii Mada kwaajili ya kujifariji na kuwafariji wengine, Ipo hivi; Dunia ni kama Darasa, na kila mwanafunzi ana uelewa wake katika kumwelewa Mwalimu. Sote katika Binadamu tunapitia changamoto mbalimbali, na kila mmoja ana changamoto yake anayoipitia, wapo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Je, uliyapokeaje matokeo yako ya mitihani?. Na je ni tukio gani la kimatokeo ambalo ukilikumbuka hukuacha hoi hadi leo!?

    Baada ya kuhitimu kidato cha nne ile miaka ya 2000s, nikitokea shule ya bweni, nilimtembea rafiki yangu ambaye tulipohitimu shule ya msingi, yeye alichaguliwa sekondari ya kutwa na mie walau vialama vyangu vilinifanya nipande basi la sumry, kwa mara kwanza na kutua ndani ya hii shule ambayo ni...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ushahidi kwa Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Meru kuhusu tuhuma za wanafunzi kusahihishiana mitihani S/M Kimandafu

    Ndugu mkurugenzi napenda kukutaarifu kama mtanzania mzalendo na mwenye wivu mkubwa na ubora wa elimu yetu niliandika kupitia mtandao huu wa Jamii Forums juu ya matendo yasiyofaa yanayofanyika ktk shule ya msingi Kimandafu iliyoko ndani ya halmashauri ya wilaya ya Meru unayoiongoza hivi sasa...
  16. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Kuna Mitihani Tumekusudiwa Kuipitia Maishani , Hakuna Anayeepuka

    Katika maisha haya ya dunia, kila binadamu anakutana na mitihani. Iwe tajiri au masikini, mwanamume au mwanamke, kijana au mzee — kila mmoja amebeba msalaba wake. Na mitihani hii haiji kwa bahati mbaya; imekusudiwa. Imeandikwa. Ni sehemu ya safari yako. Baadhi ya mitihani mikubwa wanadamu...
  17. dorge

    JamiiForums Tanzania Shule msingi za EM(English Medium?)zaanza kufwata watoto wafanyishwa mitihani ya kujiunga secondari hizo.

    Ni ukweli usiopingika kwamba shule za secondari zinahamgsika kupata wanafunzi Bora kutoka English medium Bora. Kwa.sasa wameshaanza kupishana kwenye mashule yanayopifa A za kutosha mitihani ya la Saba. Hii maana yake ni kwamba wanachukua cream mapema. Hawa nahisi wanafanya na punguzo la ada...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza Watahiniwa 134,390 kufanya Mitihani ya Kidato cha Sita kuanzia leo Mei 5 hadi 19, 2025

    Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza kuwa watahiniwa 134,390 wamesajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita, huku 10,897 wakitarajiwa kufanya mtihani wa ualimu kuanzia Mei 5 hadi 19, 2025 katika maeneo mbalimbali ya Tanzania Bara na Zanzibar. Katibu Mtendaji wa NECTA, Dkt. Said...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Dar: Mto wafurika maji, mitihani darasa la nne yavushwa mto na dereva bodaboda

    Bodaboda akivusha mitihani eneo la Mto Mzinga maarufu Kwa Kichwa, Kata ya Zingiziwa, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam baada ya kufurika maji kutokana na mvua zilizonyesha kuanzia jana. Mitihani hiyo ni ya wanafunzi wa darasa la nne ambao leo Jumanne Aprili 29, 2025 wanafanya mtihani wa majaribio...
  20. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kuelekea mtihani wa kidato cha nne, Maswali na majibu pamoja na Solving karibu tujiandae pamoja

    Wakuu habari , thread hii nimeanzisha makusudi kwa lengo la kusaidia walimu na wanafunzi wa kidato cha nne ambao wanajiandaa na mtihani wa TAIFA (NECTA). Here we go!. Mimi nitatoa hints au vidokezo katika masomo yafuatayo. Civics History English Kiswahili Karibu Sana , tuwasaidie vijana...
Back
Top Bottom