miti

  1. JamiiForums Tanzania Milunda inauzwa bei chee, 3000 kila mti ipo miti 1500

    Miti ipo Suma Katumba Rungwe Mbeya. Leta hela jichukulie miti, ni minene inafaa kwa ujenzi wa aina yoyote. Ipo barabarani kabisa ukifika Suma Secondary ni hapohapo barabarani shamba lilipo. Kama unavyoiona pichani. Serious buyer piga simu: 0658615426.
  2. JamiiForums Tanzania SoC03 Urafiki wa Tumbili na Mamba

    Mwandishi: Saadala muaza Lilikuwa ni ziwa lenye uzuri wa ajabu.Uzuri ambao ulipambwa kwa miti mirefu iliyojaa rangi ya kijani. Pembezoni mwa ziwa hili kulikaliwa na nyasi zilizosambaza mbawa zake na kulipa sura ya peponi ziwa hili. Katika moja wapo ya miti mizuuri iliyopatikana katika ziwa...
  3. JamiiForums Tanzania Dc. Haniu azindua zahanati ya Isyonje wilayani Rungwe

    Kuelekea kilele cha kumbukumbu ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hapo jumatano tarehe 26.04.2023, Mkuu wa wilaya ya Rungwe Mhe. Jaffar Haniu amezindua rasmi zahanati ya Isyonje iliyopo kata ya Isongole. Pamoja na uzinduzi wa zahanati hiyo pia ameongoza wakazi wa kijiji hicho...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali Iondoe Makato ya Miti Kilimo cha Tumbaku

    MHE. EMMANUEL CHEREHANI - SERIKALI IONDOE MAKATO YA MITI KILIMO CHA TUMBAKU Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga Mhe. Emmanuel Cherehani katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Kilimo na kujibiwa na Naibu Waziri Kilimo Mhe. Anthony Mavunde. "Wakulima wa...
  5. JamiiForums Tanzania CAG kwenye viroba vya mihogo ya futari agundua vipande vya miti badala ya mihogo-waathrika waenda kwa mganga kuroga

  6. JamiiForums Tanzania Wakati tulilalamika miti Milioni 2 (Bwawa la JKN) Marekani wanakata miti 31.1m kila mwaka ili itumike chooni

    Lets put things in perspective watu walilalamika hapa Rejea - Takribani miti milioni 3.5 ilikatwa kupisha ujenzi wa Umeme JNHP (Stieglers) Ingawa matumizi ya Toilet Paper yanachangia about 15% ya deforestation Sisemi tuache kutumia huduma hii muhimu lakini tukumbuke wakati tunalaumiana...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Miti ya Cherry Blossom inaweza kustawi Tanzania vema?

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Naomba kuuliza kwa wenye utaalamu wa mambo ya mazingira. Je, kwa mazingira yetu Tanzania miti hii ya Cherry Blossom inaweza kustawi vema kama sehemu nyingine Japan, korea etc?
  8. D

    JamiiForums Tanzania Watu walifanyaje kazi kabla ya mashine kuvumbuliwa?

    Ilikuwa mwaka 1915 wakati wafanyikazi wa misitu walikata miti mikubwa kama hii. Iliwachukua mwaka mmoja kuuweka mti kama huu ardhini. Najiuliza ilichukua muda gani mti huu kuota na kuwa mkubwa hivyo🤔
  9. JamiiForums Tanzania DC aongoza upandaji wa miti 1000 Rungwe ndani ya siku moja, aahidi Mbolea ya Ruzuku kuendelea kusambazwa

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ameongoza zoezi la Upandaji miti katika Kijiji cha Ijoka, Kata ya Mpombo Halmashauri ya Busokelo ikiwa ni hatua muhimu ya kulinda vyanzo vya maji, kudumisha uoto wa asili, na kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Jumla ya miti 1000 imepandwa leo...
  10. JamiiForums Tanzania RC Singida azindua kampeni ya upandaji miti milioni 1.5 wilaya ya Ikungi

    RC SINGIDA AZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI MITI MILIONI MOJA NA NUSU WILAYA YA IKUNGI Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Peter Serukamba amezindua kampeni ya upandaji miti Milioni moja na nusu (1,500,000) katika Wilaya ya Ikungi. Katika uzinduzi wa kupanda miti Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Mhe...
  11. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba la miti ya Mikalebeya linauzwa

    Shamba lina ukubwa wa Hekari 2 Lina miti 1000+ Miti ina umri wa miaka Shamba lipo Mwanza, Ukerewe Bei yamba pamoja na miti yote iliyopo kwenye shamba ni shilingi milioni tisa na laki tano(9,5000,000) Tu.
  12. JamiiForums Tanzania KKKT Dayosisi ya Pwani, pesa za miti mlizochangisha ziko wapi?

    Hii Dayosisi ina makando kando mengi sana, walichangisha pesa kwa ajili la kupanda miti ekali zaidi ya 1000 kwa makanisa yote ya Dar es Salaam kuwa ule mradi ni wa vijana leo hii hakuna hata mchicha umepandwa na si ajabu yale mashamba wameshagawana maaskofu. Ikitokea mtu akasema ukweli kua...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ijue bahari: Baharini kuna misitu mikubwa yenye miti mikubwa ya kutosha kuchana mbao kama utazamia

    Ngoja tuambizane ukweli kuhusu bahari! Kuna wakati unaweza hisi umejifunza yote! Kumbe unachokijua hapa duniani hakifikii hata theruthi ya theruthi ya maajabu ambayo huyajui hapa duniani! Hata mengine ukisimuliwa unaweza fikilia ni chai! Ukweli ni kwamba kila kitu Mungu kakibalansi! Ukibeba...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Tree of Life Foundation kupanda miti milioni moja mwaka 2023

    Pamoja tunaweza. Taasisi ya Tree of Life Foundation iko mbioni kupanda miti ya matunda, kivuli na ya mbao kwenye mwaka mpya wa 2023. Upandaji huo utaambatana na utoaji wa elimu ya mazingira kwa wananchi walio mijini na vijijini. Karibu tushirikishane pamoja katika kuyatunza mazingira ya nchi yetu.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kijanja vijijini bila pesa kutumia miti na mawe udongo nyasi

    Ndugu zangu naomba msaada kwa mwenye ujuzi katika ujenzi nataka nijenge kijijini pesa ngumu ngumu kweli je naweza jenga kwa kutumia material ya asili kama wajengavyo vijiji vya wenzetu nchi za mbali nifanyeje
  16. JamiiForums Tanzania Je, wajua miti ni sumaku inayovuta nguvu za kiroho? Panda miti nyumbani kwako

    Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Andiko hili lamfaa kila mtu. Lugha iliyotumika ni laini. Sio Kali kama nilivyozoea Kwa mada zangu nyingi. Kisayansi Miti ni moja ya viumbe hai muhimu katika Ecosystem (kutegemeana Kwa viumbe hai n mfu ili kufanya Maisha yaendelee katika...
  17. JamiiForums Tanzania Mtu aliyepanda miti. Umewahi kusoma hadithi hii?

    MTU ALIYEPANDA MITI Hii hadithi imehamasisha mamilioni ya watu duniani kupanda miti na kutunza mazingira. Unafaa sana wakati huu tunaokabili tatizo la uharibifu wa mazingira. Umewahi kuisoma? Ulijifunza nini? Muandishi: Jean Giono 1953. Mtafsiri: Pictus Publishers ltd Email...
  18. JamiiForums Tanzania Wakati hadi Ethiopia wanafanikiwa kupanda miti bilion 20 kwa miaka 4 sie huku tunaendekeza tu wafugaji kukata miti

    Maisha ni mipango. Na kila aliyefanikiwa leo ujue alipanga na kutekeleza mipango yake vizuri siku nyingi nyuma Leo Ethiopia wametangaza kutimiza malengo yao waliyojiwekea mwaka 2019 kupanda miti billion 20 ifikapo mwaka 2022 Kati ya nchi ambazo sasa zimekuwa na hali nzuri ya hewa iliyoanza...
  19. JamiiForums Tanzania Miti inakua kutoka wapi? Mbona hatuoni shimo pale ulipotoka?

    Habari wakuu sana. Eti wakuu. Miti inakua kutoka wapi? Mbona unakuta mti mkubwa sana. Una kilo hata milioni moja(ukiwa mkavu), lakini pale ulipotoka hatuoni kama kuna kilo milioni moja zimetoka. Mti unatoka wapi?
  20. JamiiForums Tanzania Na tuifanye nchi yetu kuwa ya kijani tupande miti kwenye makazi yetu

    Kuna baadhi ya jamii au Kaya huamini kuwa miti Ni Kama adui wa usalama wao lakini kumbe miti Ina faida nyingi kuliko hasara. Jamani tumeona mabadiliko ya Hali ya hewa na tabia ya nchi. Jamani tubadilike tupande miti angalau mti mmoja utakuwa umechangia kutunza Mazingira yetu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…