Mizizi ya Umaskini na Mitazamo Duni

Mizizi ya Umaskini na Mitazamo Duni

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
10,703
Reaction score
21,277
Jmoss tulivu imewadia, nimepoa kwa shem hapa... Ila Kuna issue nataka tuongee wanabodi.

Kwanza kabisa jana Nimetoa bandiko lenye ukakasi kuhusu watu wasio na ndinga(wanao panda daladala) . Ila niseme ukweli kulikuwa na Misconception kubwa, Hakika sikutaka kudhihaki wasio na magari, nilitaka tu kuamsha watu wazima ambao wanaishi maisha yasio hadhi zao... Kama kweli wewe ni mpambanaji na una watu nyuma yako, na unapanda daladala wewe ni shujaa. Wewe sio wakudhihakiwa na kama bandiko langu lilikuumiza it was not my intention..

OK, hayo yaishe.... Leo nimekuja na kitu kingine muhimu kidogo kwa watakao kuwa makini kuchakata.

Tatizo sio pesa, tatizo ni mitazamo duni na kukosa emotional intelligence(mtanisaida kiswahili chake)

Japo Mimi ni millenials, na huenda nisiwe na experience kubwa ya maisha and all that, ila nimekuja kugundua kitu kimoja kikubwa among society za kiafrika..

Wengi tume athiriwa na kukosa clarity kuhusu hela, pia hatuna emotional intelligence. Hiki kitu ndo mzizi wa umaskini. Naongea haya nikiwa na mifano hai kabisa.

Nitaongelea hii topic katika nyanja ya pesa na mahusiano.

Tuanze na pesa

Kuna kisa kimoja, kuna familia moja walikuwa so rich, yaani katika ukoo wao kote upande wa baba na mama hakuna aliye toboa kuliko familia ile.

Ni kuwa mzee alipata opportunities udogoni akafanikiwa kwenda nje, alipprudi akala kitengo kikubwa akawa regional commissioner wa mkoa fulani.. So akawa tayari katoboa, na Ali Fanya makubwa tu nyumbani kwao, but something weird ili persist.. Kwao familia nzima kulikuwa na tabia wanawake wote hawa kuwa wakiolewa, walikuwa ni kama kuna kulogwa fulani, then pia watoto wa kiume walikuwa wote ni walevi... Yaani hakuna hela mwanaume atakayo ishika itakaa, lazima iishie mitungini tu.

So, what he did was try his best kuwasaodia lakini wapi.. Alijitoa sana wale qadogo zake wa kike aliwasomesha lakini hawa kuwa wanamaliza, waliishia kufanya umalaya, akawapa hela za kufungulia biashara lakini wapi.. Hela wanatumia kwenye ujinga tu

Wadogo zake wa kiume nao ni vile vile tu, aliwasaidia sana kuwa Peleka shule, ila wapi, mitungi ndo ilikuwa kazi yao. Wengine akawatafutia mpaka kazi lakini wapi. Hawakuwa na mental level ya ku handle majukumu, kulikuwa na programming kwenye mindsets zao kuwa they can't handle it. So walivyo pata mishahara tu waliishia kupewa, na anasa ambazo wameshazizoea.

Alivyo ona ni mitihani basi, akaamua kabisa kutoweka yale mazingira akahama pamoja na familia yake, akijua kuwa hawa watu Kamwe hata weza kuwabeba. Akaanza kufocus na maisha yake, akifanya makubwa sana alikua biashara zake, akawekeza na kuwa na net worth kubwa sana kisiri..

Ila kama ujuavyo what goes around comes around, hakujua kuwa trauma runs in the bloodlines. Hakujua tatizo liko wapi necessary, kwa sababu ya yale yalivyo tokea kwao alikuja kuwa mgumu sana, watoto wake walisoma vizuri na maisha yalikuwa mazuri ila Kamwe hakuwahi kujiuliza as to why we zake walishindwa kabisa kujikqamua kimaisha nyumbani, watoto wake mpaka wanakuwa wakubwa hawakuwahi kujua anapiga issue gani ukiachana na serekalini, aliishi kuwaficha because wange expose nje, na hakutaka ndugu wajue.. Na kingine aliwaaminisha watoto kuwa ndugu ni watu wabaya, so hata family reunions hawakujumuika mara kwa mara, walijitenga na maisha yao ya kifahari..

What happened ni kuwa yule mzee alikuja kuuguwa ghafla akafariki. Na mke we pia alifariki siku kadhaa baada ya yeye kifariki. So watoto wakabaki wao tu na mali nyingi mno ambazo kwanza hawakuwa na ujuzi zimetoka wapi, hii ni baada ya wao kuja kifuatilia chain ya uwekezaji mzee wao alikuwa nao baada ya kufuta procedure zote za ki sheria na benki.

So walifanya mazishi na wakagawana mali vizuri tu. Ila kilicho nishangaza ni kuwa hakuna mtoto yoyote aliye kuwa na upeo kama wa mzee wao, waliishia kutapanya mali, and am talking of kila mtoto alikuwa na 500M at average hapo na walikuwa wa5.
. Waliishia kufanya anasa na starehe, so what nilicho ona kwenye ile pattern ni kuwa the same thing mzee alikuwa nakikikimbia kwa ndiguze ndo kili kuja kuwa tokea watoto.

Trauma runs in bloodlines, ndo maana huwa mnasikia ukoo ule, wote ni malaya, au ukoo ule hakuna aliye na nyumba, wanaishi kwenye nyumba ya kurithi, au ukoo fulani ni walevi kupitiliza. Na hii sio psychological tu hii inaenda mpaka kwenye DNA. Ndo maana hata umsaidie mtu bado atarudi kwenye pattern zile zile tu. Sio kwamba kubadilika haiwezekani, ila inahitaji nguvu kubwa sana.

Malezi na kukulia mazingira fulani huwa tuna chukua subconscious traits ambazo kiharakahara haziwezi kuonekana katika conscious awareness. Watu wanaishi na trauma ambayo imekuwa Ukijificha kupitia tabia ambazo watu wa nahisi eti ndo Wali umbwa hivyo hivyo, utasikia mimi ndo nilivyo. Actually unaweza kuwa mpambanaji ukahisi uko sahihi ila unacho Fanya ni kuziba maumivu ya kukosa fatherly love ambae hakuwa nyumbani, alikeaha baa na wanawake akiiacha familia njaa, na wewe ukaja kuwapa watoto kila kitu lakini ukaribu wako nao, ukawa duni maana unahisi Wataki dharau as how nyumbani mzee hakutoa upendo kwako.

Trust me, it always back fires in ways you can't imagine. Na wengi hatupendi kwenda kwenye chimbuko. Huwa tu nataka kulipia kitu tulicho kosa bila kuangalia yule aliye tunyima sisi nini kilimfanya afanye vile. So trauma is complex na ndio kiini cha mafanikio kikiangaliwa kwa kina.

Nimeongelea angle ya pesa na mafanikio na I guess inatosha kwa sasa.. Bandiko litakuwa refu sana na tutagusa sehemu nyingi kwa wakati mmoja.

Je, wanabodi mnaionaje hii concept, kuna mtu yeyote ambaye alisha wahi kufikiria hiki kitu na jinsi kina affect jamii hasa zetu za kimatumbi?

Una kisa chochote kwa faida ya kuongeza nyama na Je unahisi nini kingine kinachangia umaskini? Najua kuna factors universal kama utawala mbovu ila hebu turudi chini kabisa kwenye level ya familia..

Nawatakia weekend njema.

Karibuni kwa discussion.
 
Sabab za umskini zijadiliwe kwenye muundo wa mitazamo, mana nina uhakika wakija watu wa political science wana zao, watu wa economy wana mitzamo yao hata watu wa histori au sosholojia.

Na hizo sabab zinaweza kuwa na maelezo kamili ngazi zote. Mana ukisema utawala mbovu ngazi ya nchi, huohuo utawala mbovu hushindwi kuukuta ngazi ya familia. Kama alivyo rais kichaa bas hata baba kwenye familia utakuta Mwehu tu
 
Uko sahihi ila mzizi wa haya yote sio huo...
We all know Effect ya upbringing ilivyo na ukubwa kwenye decision making, hauwezi tu kui ignore kirahisi namna hiyoo.
Na hizo sabab zinaweza kuwa na maelezo kamili ngazi zote. Mana ukisema utawala mbovu ngazi ya nchi, huohuo utawala mbovu hushindwi kuukuta ngazi ya familia. Kama alivyo rais kichaa bas hata baba kwenye familia utakuta Mwehu tu
Exactly, mimi nahisi narcissistic traits japo ni genetic issues, ila pia kuna watu wanakuwa shaped na mazingira hasa fundamental yeears of childhood.

Mzee wao na kina Trump alikuwa dictator, brother wake na Trump ili mu affect mpaka akajiua(depression) , ila Trump yeye ili mfanya akawa so toxic and narcissistic.
 
Jmoss tulivu imewadia, nimepoa kwa shem hapa... Ila Kuna issue nataka tuongee wanabodi.

Kwanza kabisa jana Nimetoa bandiko lenye ukakasi kuhusu watu wasio na ndinga(wanao panda daladala) . Ila niseme ukweli kulikuwa na Misconception kubwa, Hakika sikutaka kudhihaki wasio na magari, nilitaka tu kuamsha watu wazima ambao wanaishi maisha yasio hadhi zao... Kama kweli wewe ni mpambanaji na una watu nyuma yako, na unapanda daladala wewe ni shujaa. Wewe sio wakudhihakiwa na kama bandiko langu lilikuumiza it was not my intention..

OK, hayo yaishe.... Leo nimekuja na kitu kingine muhimu kidogo kwa watakao kuwa makini kuchakata.

Tatizo sio pesa, tatizo ni mitazamo duni na kukosa emotional intelligence(mtanisaida kiswahili chake)

Japo Mimi ni millenials, na huenda nisiwe na experience kubwa ya maisha and all that, ila nimekuja kugundua kitu kimoja kikubwa among society za kiafrika..

Wengi tume athiriwa na kukosa clarity kuhusu hela, pia hatuna emotional intelligence. Hiki kitu ndo mzizi wa umaskini. Naongea haya nikiwa na mifano hai kabisa.

Nitaongelea hii topic katika nyanja ya pesa na mahusiano.

Tuanze na pesa

Kuna kisa kimoja, kuna familia moja walikuwa so rich, yaani katika ukoo wao kote upande wa baba na mama hakuna aliye toboa kuliko familia ile.

Ni kuwa mzee alipata opportunities udogoni akafanikiwa kwenda nje, alipprudi akala kitengo kikubwa akawa regional commissioner wa mkoa fulani.. So akawa tayari katoboa, na Ali Fanya makubwa tu nyumbani kwao, but something weird ili persist.. Kwao familia nzima kulikuwa na tabia wanawake wote hawa kuwa wakiolewa, walikuwa ni kama kuna kulogwa fulani, then pia watoto wa kiume walikuwa wote ni walevi... Yaani hakuna hela mwanaume atakayo ishika itakaa, lazima iishie mitungini tu.

So, what he did was try his best kuwasaodia lakini wapi.. Alijitoa sana wale qadogo zake wa kike aliwasomesha lakini hawa kuwa wanamaliza, waliishia kufanya umalaya, akawapa hela za kufungulia biashara lakini wapi.. Hela wanatumia kwenye ujinga tu

Wadogo zake wa kiume nao ni vile vile tu, aliwasaidia sana kuwa Peleka shule, ila wapi, mitungi ndo ilikuwa kazi yao. Wengine akawatafutia mpaka kazi lakini wapi. Hawakuwa na mental level ya ku handle majukumu, kulikuwa na programming kwenye mindsets zao kuwa they can't handle it. So walivyo pata mishahara tu waliishia kupewa, na anasa ambazo wameshazizoea.

Alivyo ona ni mitihani basi, akaamua kabisa kutoweka yale mazingira akahama pamoja na familia yake, akijua kuwa hawa watu Kamwe hata weza kuwabeba. Akaanza kufocus na maisha yake, akifanya makubwa sana alikua biashara zake, akawekeza na kuwa na net worth kubwa sana kisiri..

Ila kama ujuavyo what goes around comes around, hakujua kuwa trauma runs in the bloodlines. Hakujua tatizo liko wapi necessary, kwa sababu ya yale yalivyo tokea kwao alikuja kuwa mgumu sana, watoto wake walisoma vizuri na maisha yalikuwa mazuri ila Kamwe hakuwahi kujiuliza as to why we zake walishindwa kabisa kujikqamua kimaisha nyumbani, watoto wake mpaka wanakuwa wakubwa hawakuwahi kujua anapiga issue gani ukiachana na serekalini, aliishi kuwaficha because wange expose nje, na hakutaka ndugu wajue.. Na kingine aliwaaminisha watoto kuwa ndugu ni watu wabaya, so hata family reunions hawakujumuika mara kwa mara, walijitenga na maisha yao ya kifahari..

What happened ni kuwa yule mzee alikuja kuuguwa ghafla akafariki. Na mke we pia alifariki siku kadhaa baada ya yeye kifariki. So watoto wakabaki wao tu na mali nyingi mno ambazo kwanza hawakuwa na ujuzi zimetoka wapi, hii ni baada ya wao kuja kifuatilia chain ya uwekezaji mzee wao alikuwa nao baada ya kufuta procedure zote za ki sheria na benki.

So walifanya mazishi na wakagawana mali vizuri tu. Ila kilicho nishangaza ni kuwa hakuna mtoto yoyote aliye kuwa na upeo kama wa mzee wao, waliishia kutapanya mali, and am talking of kila mtoto alikuwa na 500M at average hapo na walikuwa wa5.
. Waliishia kufanya anasa na starehe, so what nilicho ona kwenye ile pattern ni kuwa the same thing mzee alikuwa nakikikimbia kwa ndiguze ndo kili kuja kuwa tokea watoto.

Trauma runs in bloodlines, ndo maana huwa mnasikia ukoo ule, wote ni malaya, au ukoo ule hakuna aliye na nyumba, wanaishi kwenye nyumba ya kurithi, au ukoo fulani ni walevi kupitiliza. Na hii sio psychological tu hii inaenda mpaka kwenye DNA. Ndo maana hata umsaidie mtu bado atarudi kwenye pattern zile zile tu. Sio kwamba kubadilika haiwezekani, ila inahitaji nguvu kubwa sana.

Malezi na kukulia mazingira fulani huwa tuna chukua subconscious traits ambazo kiharakahara haziwezi kuonekana katika conscious awareness. Watu wanaishi na trauma ambayo imekuwa Ukijificha kupitia tabia ambazo watu wa nahisi eti ndo Wali umbwa hivyo hivyo, utasikia mimi ndo nilivyo. Actually unaweza kuwa mpambanaji ukahisi uko sahihi ila unacho Fanya ni kuziba maumivu ya kukosa fatherly love ambae hakuwa nyumbani, alikeaha baa na wanawake akiiacha familia njaa, na wewe ukaja kuwapa watoto kila kitu lakini ukaribu wako nao, ukawa duni maana unahisi Wataki dharau as how nyumbani mzee hakutoa upendo kwako.

Trust me, it always back fires in ways you can't imagine. Na wengi hatupendi kwenda kwenye chimbuko. Huwa tu nataka kulipia kitu tulicho kosa bila kuangalia yule aliye tunyima sisi nini kilimfanya afanye vile. So trauma is complex na ndio kiini cha mafanikio kikiangaliwa kwa kina.

Nimeongelea angle ya pesa na mafanikio na I guess inatosha kwa sasa.. Bandiko litakuwa refu sana na tutagusa sehemu nyingi kwa wakati mmoja.

Je, wanabodi mnaionaje hii concept, kuna mtu yeyote ambaye alisha wahi kufikiria hiki kitu na jinsi kina affect jamii hasa zetu za kimatumbi?

Una kisa chochote kwa faida ya kuongeza nyama na Je unahisi nini kingine kinachangia umaskini? Najua kuna factors universal kama utawala mbovu ila hebu turudi chini kabisa kwenye level ya familia..

Nawatakia weekend njema.

Karibuni kwa discussion.

Kwanza ww sio Millenials.
Emotional intellegence ninavyoelewa mm ni tofauti na unavyoielewa ww.
Ila Nisijikite huko.

Unayo Hoja.
Ni kweli kuna mambo Negative Yako kwenye Familia zetu na yanajirudia na kujirudia.
mfano utakuta Baba yako kazaa nje na katelekeza watoto kadhaa na ww unafanya the same, ulevi/umalaya /ugomvi nk

Utakuta Baba/Mama yako hakuwa anaelewana na ndugu zake. Na ww kwa kipind hiki unapitia mambo yale yale.

Utakuta Wazaz wako walikuwa wanajitenga na ndugu zao na ww unapitia the same thing.

Yaan utakuta zama ni zingine. Ila mambo yanajirudia yale yale na kama kuna utofaut basi ni kidogo sana.

Its Obvious, ukiona unafanana na Mshua/Mama yako bas haufanani nae kwa nje tu. Had ndan ya damu, DNA yako inafanana na yeye. Kwahiyo tabia za mzaz utazibeba pia.
Hapa unaongelea Ego na charisma etc.

Na Hivi vitu vina shape sana Maisha yetu hapa duniani. Maana jinsi tulivyoamua kuishi Leo ndio matokeo ya kesho.

Sasa unaweza ukasema ni Laana , lakini HAPANA.
mfano huyo Mzee , hizo tabia walizokuwa nazo ndugu zake alikuwa nazo pia. Ila alijijua na akaweza Kuzicontrol na matokeo yakawa mazuri. ila tabia zilikuwepo ndan yake na akarithisha watoto . Na sasa watoto hawakuweza kucontrol. Na matokeo yakawa ndio yale yake.
 
Yes, absolutely

Sema kuzijua hizo tabia inahitaji kukubali ana na hali ya kuwa tatizo lipo na wengi hukimbia na kutoweka ila ndani yao bado wanakuwa wamebeba hizo traits
 
Jmoss tulivu imewadia, nimepoa kwa shem hapa... Ila Kuna issue nataka tuongee wanabodi.

Kwanza kabisa jana Nimetoa bandiko lenye ukakasi kuhusu watu wasio na ndinga(wanao panda daladala) . Ila niseme ukweli kulikuwa na Misconception kubwa, Hakika sikutaka kudhihaki wasio na magari, nilitaka tu kuamsha watu wazima ambao wanaishi maisha yasio hadhi zao... Kama kweli wewe ni mpambanaji na una watu nyuma yako, na unapanda daladala wewe ni shujaa. Wewe sio wakudhihakiwa na kama bandiko langu lilikuumiza it was not my intention..

OK, hayo yaishe.... Leo nimekuja na kitu kingine muhimu kidogo kwa watakao kuwa makini kuchakata.

Tatizo sio pesa, tatizo ni mitazamo duni na kukosa emotional intelligence(mtanisaida kiswahili chake)

Japo Mimi ni millenials, na huenda nisiwe na experience kubwa ya maisha and all that, ila nimekuja kugundua kitu kimoja kikubwa among society za kiafrika..

Wengi tume athiriwa na kukosa clarity kuhusu hela, pia hatuna emotional intelligence. Hiki kitu ndo mzizi wa umaskini. Naongea haya nikiwa na mifano hai kabisa.

Nitaongelea hii topic katika nyanja ya pesa na mahusiano.

Tuanze na pesa

Kuna kisa kimoja, kuna familia moja walikuwa so rich, yaani katika ukoo wao kote upande wa baba na mama hakuna aliye toboa kuliko familia ile.

Ni kuwa mzee alipata opportunities udogoni akafanikiwa kwenda nje, alipprudi akala kitengo kikubwa akawa regional commissioner wa mkoa fulani.. So akawa tayari katoboa, na Ali Fanya makubwa tu nyumbani kwao, but something weird ili persist.. Kwao familia nzima kulikuwa na tabia wanawake wote hawa kuwa wakiolewa, walikuwa ni kama kuna kulogwa fulani, then pia watoto wa kiume walikuwa wote ni walevi... Yaani hakuna hela mwanaume atakayo ishika itakaa, lazima iishie mitungini tu.

So, what he did was try his best kuwasaodia lakini wapi.. Alijitoa sana wale qadogo zake wa kike aliwasomesha lakini hawa kuwa wanamaliza, waliishia kufanya umalaya, akawapa hela za kufungulia biashara lakini wapi.. Hela wanatumia kwenye ujinga tu

Wadogo zake wa kiume nao ni vile vile tu, aliwasaidia sana kuwa Peleka shule, ila wapi, mitungi ndo ilikuwa kazi yao. Wengine akawatafutia mpaka kazi lakini wapi. Hawakuwa na mental level ya ku handle majukumu, kulikuwa na programming kwenye mindsets zao kuwa they can't handle it. So walivyo pata mishahara tu waliishia kupewa, na anasa ambazo wameshazizoea.

Alivyo ona ni mitihani basi, akaamua kabisa kutoweka yale mazingira akahama pamoja na familia yake, akijua kuwa hawa watu Kamwe hata weza kuwabeba. Akaanza kufocus na maisha yake, akifanya makubwa sana alikua biashara zake, akawekeza na kuwa na net worth kubwa sana kisiri..

Ila kama ujuavyo what goes around comes around, hakujua kuwa trauma runs in the bloodlines. Hakujua tatizo liko wapi necessary, kwa sababu ya yale yalivyo tokea kwao alikuja kuwa mgumu sana, watoto wake walisoma vizuri na maisha yalikuwa mazuri ila Kamwe hakuwahi kujiuliza as to why we zake walishindwa kabisa kujikqamua kimaisha nyumbani, watoto wake mpaka wanakuwa wakubwa hawakuwahi kujua anapiga issue gani ukiachana na serekalini, aliishi kuwaficha because wange expose nje, na hakutaka ndugu wajue.. Na kingine aliwaaminisha watoto kuwa ndugu ni watu wabaya, so hata family reunions hawakujumuika mara kwa mara, walijitenga na maisha yao ya kifahari..

What happened ni kuwa yule mzee alikuja kuuguwa ghafla akafariki. Na mke we pia alifariki siku kadhaa baada ya yeye kifariki. So watoto wakabaki wao tu na mali nyingi mno ambazo kwanza hawakuwa na ujuzi zimetoka wapi, hii ni baada ya wao kuja kifuatilia chain ya uwekezaji mzee wao alikuwa nao baada ya kufuta procedure zote za ki sheria na benki.

So walifanya mazishi na wakagawana mali vizuri tu. Ila kilicho nishangaza ni kuwa hakuna mtoto yoyote aliye kuwa na upeo kama wa mzee wao, waliishia kutapanya mali, and am talking of kila mtoto alikuwa na 500M at average hapo na walikuwa wa5.
. Waliishia kufanya anasa na starehe, so what nilicho ona kwenye ile pattern ni kuwa the same thing mzee alikuwa nakikikimbia kwa ndiguze ndo kili kuja kuwa tokea watoto.

Trauma runs in bloodlines, ndo maana huwa mnasikia ukoo ule, wote ni malaya, au ukoo ule hakuna aliye na nyumba, wanaishi kwenye nyumba ya kurithi, au ukoo fulani ni walevi kupitiliza. Na hii sio psychological tu hii inaenda mpaka kwenye DNA. Ndo maana hata umsaidie mtu bado atarudi kwenye pattern zile zile tu. Sio kwamba kubadilika haiwezekani, ila inahitaji nguvu kubwa sana.

Malezi na kukulia mazingira fulani huwa tuna chukua subconscious traits ambazo kiharakahara haziwezi kuonekana katika conscious awareness. Watu wanaishi na trauma ambayo imekuwa Ukijificha kupitia tabia ambazo watu wa nahisi eti ndo Wali umbwa hivyo hivyo, utasikia mimi ndo nilivyo. Actually unaweza kuwa mpambanaji ukahisi uko sahihi ila unacho Fanya ni kuziba maumivu ya kukosa fatherly love ambae hakuwa nyumbani, alikeaha baa na wanawake akiiacha familia njaa, na wewe ukaja kuwapa watoto kila kitu lakini ukaribu wako nao, ukawa duni maana unahisi Wataki dharau as how nyumbani mzee hakutoa upendo kwako.

Trust me, it always back fires in ways you can't imagine. Na wengi hatupendi kwenda kwenye chimbuko. Huwa tu nataka kulipia kitu tulicho kosa bila kuangalia yule aliye tunyima sisi nini kilimfanya afanye vile. So trauma is complex na ndio kiini cha mafanikio kikiangaliwa kwa kina.

Nimeongelea angle ya pesa na mafanikio na I guess inatosha kwa sasa.. Bandiko litakuwa refu sana na tutagusa sehemu nyingi kwa wakati mmoja.

Je, wanabodi mnaionaje hii concept, kuna mtu yeyote ambaye alisha wahi kufikiria hiki kitu na jinsi kina affect jamii hasa zetu za kimatumbi?

Una kisa chochote kwa faida ya kuongeza nyama na Je unahisi nini kingine kinachangia umaskini? Najua kuna factors universal kama utawala mbovu ila hebu turudi chini kabisa kwenye level ya familia..

Nawatakia weekend njema.

Karibuni kwa discussion.
Je vipi concept ya uvutaji bangi na sigara?
 
Back
Top Bottom