mitandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Uhalifu wa mitandaoni tanzania basi tena!!!! 2024 /2025

    Serikali nchini Tanzania imeamua kuunda kikosi Kazi maalum cha kufuatilia makosa yote ya uhalifu mtandaoni, baada ya kufanyika mkutano wa wadau wa mawasiliano Jana novemba 22 mwaka 2024. Mkutano ulifanyika makao makuu ya mawasiliano Tanzania (Tcra) , Dar es salaam ukihudhuriwa na Waziri wa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania SATIVA adhibitiwe kwa matusi ya nguoni anayotoa mitandaoni

    Ndugu zangu Watanzania, Kiwango alichofikia huyu kijana ni kibaya sana,ni kiwango ambacho hakihitaji kuvumiliwa wala kuachwa hivi hivi pasipo kudhibitiwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria. Kwa sasa anatukana matusi ya nguoni mpaka mtu mwenye hekima na akili timamu unabaki unaona aibu na...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yaanika Application 69 zilizofungiwa kwa utoaji mikopo kidijitali bila leseni

    Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuufahamisha Umma kuwa imebaini kuwepo kwa Majukwaa na Programu Tumizi 'Applications" zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidijitali bila ya kuwa na leseni na idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania. Aidha, Majukwaa na Programu hizo zimeshindwa kukidhi matakwa ya...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania BoT Inawatambua Wakopeshaji wa Mitandaoni Wanne Pekee!

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema kati ya maombi 16 ya ‘aplikesheni’ yaliyopokelewa kwa ajili ya kutoa mikopo mtandaoni, manne pekee ndiyo yamekidhi vigezo na kupewa leseni za kukopesha, huku aplikesheni 55 zikikabidhiwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili ziondolewe mtandaoni. Meneja...
  5. M

    JamiiForums Tanzania TCRA ishirikiane na Shirika la Mawasiliano la Kenya kuwasaka matapeli hawa wa mitandaoni

    Ni wito kwa TCRA ishirikiane na Shirika la Mawasiliano la Kenya kuwasaka matapeli hawa wa mitandaoni. Huu utapeli wa mtandaoni umevuka mpaka kutoka kuwa wa Kitaifa sasa ni utapeli kimataifa. Namba za simu zifuatavyo ni baadhi ya zinazotumiwa na matapeli, +254794812691 (Alex Kairi), +254102269805...
  6. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje kuwaje vibinti huko mitandaoni ghafla vimegeukia ukulima na vipicha mashambani. Ni Show off tu au ndie ile "biashara matangazo"?

    "Strange are the ways of human behavior" by Orson Bean
  7. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa BONGO kuna zaidi ya uchafu wa Equatorial Guinea. Ni vile tu sheria haziruhusu kuweka video za ngono mitandaoni

    Watanzania wanajitia kushanga namna Baltasar alivyoweza kuwatafuna wanawake wenye kazi zao ama wake za vigogo 400. Hapa bongo ni zaidi ya Equatorial Guinea, ni vile tu sheria zetu zimekuwa kali na huwazuia watu kuposti video za ngono mitandaoni. Vinginevyo tungeona machafu zaidi ya hayo...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Labda kuanzia leo mitandaoni kutachangamka

    Tangu kuanza kwa msimu huu wa 2024/25, kumekuwa na utulivu mkubwa mitandaoni. Zile mbwembwe, vijembe na hata matusi miongoni mwa mashabiki zimepoa sana. Kumbukumbu zinaonesha kuwa Yanga anapoteleza, mitandaoni kunachangamka sana. Kitendo cha Yanga kuanza msimu kwa kuifunga Simba na Azam (ngao...
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya wadada wanaorusha video zao mitandaoni, huwa wana ndugu na wazazi kweli?

    Habarini, Jana nilipita pita Facebook nikaona video moja toka kwenye ukurasa wa alli mastory mdada alijirekodi video akiuliza, akiwapa nafasi wanaume wachague chochote (zingatia neno chochote) cha kumuomba kwenye mwili wake, watamuomba kipi, akajionyesha upande wa mbele, huku akiuliza kama...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya mitandaoni yazidi kuzua balaa. Wakopaji wasimulia visa na changamoto walizozipitia baada ya kukopa!

    Katika uchunguzi mpya, imefahamika kwamba kumekuwa na udhalilishaji na madhila makubwa yanayowakumba watu wanaowadaiwa na wakopeshaji wa mitandaoni Mmoja wa waathirika wa mikopo hiyo, Jackline Meena, anasema alikopa Sh. 50,000 lakini alilipa Sh. 250,000 na waliendelea kumdai na alipogoma kulipa...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Funga au Ondoa Programu Tumizi (App) usizotumia au zilizopitwa na wakati ili kuimarisha usalama na kulinda taarifa zako Mitandaoni

    Jinsi ya kufuta Programu Usizotumia au zilizopitwa na wakati 1. Programu Endeshi Android: Fungua Google Play Store > Upande wa Juu Kulia, Bofya alama ya ‘Profile’ > Kisha Bofya ‘Manage App & Devices > Bofya ‘Manage’ > Changua ‘App’ unayotaka kuondoa > Bofya ‘Unistall’ 2. Programu Endeshi - iOS...
  12. maroon7

    JamiiForums Tanzania Hivi BOT mmeidhinishaje hizi riba za hawa mikopo mitandaoni?

    Hivi karibuni kumekua na mijadala mingi ya kuhusu hii mikopo ya mitandaoni na wahanga wakizidi kuongezeka licha ya unyanyasaji na udhalilishaji unaofanywa na watoa huduma ambao hivi karibuni BOT wameukemea baada ya wabunge nao kuona ndugu na jamaa zao nao wamekua wahanga baada ya wao wenyewe...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Unafahamu taarifa zako zipi zipo mitandaoni?

    1. Jaribu kutafuta kuona kuna taarifa gani zinazokuhusu katika 'search engines' mbalimbali ikiwa ni za kweli au zinadanganya. 2. Iwapo utakutana na taarifa zisizo sahihi, za kupotosha, au zisizofaa au usizotaka ziwepo, wasiliana na tovuti husika ili kuomba ziondolewe. Taarifa zako za...
  14. Common Folk

    JamiiForums Tanzania "Video Chafu" ya Jay-Z yavuja mitandaoni

    Naomba JamiiCheck watatusaidia kuiverify hiyo video, ila kutokana na sababu za kimaadili sitaipost hiyo video hapa, ila kwa atakayeihitaji asisite kuja PM. Video hiyo inamuonesha Jay-Z akiwa na mtu mwanaume mwingine anayedhaniwa kuwa ni rapa Kidkud wakiwa wamekaa katikati ya wanawake 4...
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania BoT yakataza rasmi kampuni za mikopo mitandaoni kuchukua mawasiliano ya wateja ili kuwadhalilisha. Yatoa mwongozo mpya!

    Wakuu, Kwa muda mrefu sasa, wakopaji wengi wa mitandaoni wamekuwa wakilalamika kuhusu kitendo cha baadhi ya apps za mikopo ku-access list ya mawasiliano ya wateja na kisha kuwatumia message baadhi ya contacts iwapo mteja ameshindwa kulipa. Soma pia: Serikali ipitie upya Sheria ya 'Mikopo ya...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Peter Msigwa: Ni Makamanda wa Mitandaoni tu, Hawana Lolote Lile..

    Ndugu zangu Watanzania, Mtumishi wa Mungu mpakwa Mafuta Mchungaji peter Msigwa ameyasema hayo na kutoa kauli hiyo inayoonyesha kuwananga wale wanaojiita makamanda kutoka kule alikokuwa awali,ambako unaweza kusema Misiri ya awali. Ambapo sasa anafurahia Maisha ndani ya Canaani ambayo ni...
  17. excel

    JamiiForums Tanzania Mwezi ujao naanza project maalum ya kusaka mtaji wa Tsh laki 5

    Ni kupitia Apps za mikopo mtandaoni. Nimekuja na strategies maalum sana kwa hizi kausha damu za Online Mbinu nitakazotumia 1. Nimesajili Simcard Ya Vodacom maalum kwa ajili ya kukopea tu. 2. Nimetumia hio Simcard kuwasiliana na watu maalum ambao hawanifahamu, na nimesev majina yao.. hapo ni...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eti kwa sababu mpenzi wake ha-view status zake wala hamposti mitandaoni, ameamua kum-unfollow Instagram na maeneo mengine, ugomvi mkali umeibuka

    Ni ipi nafasi ya mitandao ya kijamii kwenye mahusiano, uchumba, na ndoa hata paibuke ugomvi, kutoelewana, kutengana, au vurugu baina ya wapenzi au wanandoa kwa sababu tu ya kuposti picha, ku-view status, au ku-unfollow? Je, migogoro hii ni matokeo ya utoto, kutokuelewa umuhimu, na matumizi...
  19. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hii chuma ya umeme iliyoteka mitandaoni ni aina gani?

    Kumekuwa na mjadala tweeter juu ya chuma ya UMEME wengi wanadai hii ni Tesla S7 na wengine wakidai ni BYD Co na wengine wanasema ni Changan Deepal S7. Mtaalamu wa haya magari Mad Max utatusaidia kujua hili gari angalau na Sisi wengine tunaweza kuanzia kujichanga Kwa miaka ya baadae tumiliki na...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Wabongo watakulinda mitandaoni lakini sio wakati unatekwa

    Moja kwa moja kwenye hoja Nimeshangazwa sana na mazingira aliyotekwa kiongozi wa Chadema. Sishangazwi kwa sababu ni kiongozi wa upinzani bali ni mazingira aliyotekwa. Mimi sikuwepo, lakini najaribu kufikiria tu, iliwezekanaje? Otherwise aliyekuwepo anisahihishe. Najaribu kuwaza hivi....kuna...
Back
Top Bottom