Natoa offa bure ya usimamizi wa Mitandao ya kijamii (wiki 2)

Natoa offa bure ya usimamizi wa Mitandao ya kijamii (wiki 2)

Tech Max

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2025
Posts
359
Reaction score
332
Natoa offa bure ya usimamizi wa Mitandao ya kijamii ndani ya wiki 2 , mitandao ni mitatu Facebook, Instagram na TikTok.... Offa hii nitakutengenezea video(1) ukihitaji ya bidhaa au huduma na poster(1) ya bidhaa au huduma yako na kujibu maswali ya wateja Kwenye ukurasa wako...... Huduma hii ya usimamizi wa Mitandao ya kijamii Bei yake ni 150,000 Tsh kwa mwezi mmoja.

Napatikana: Dar es salaam, Mbezi.
Mawasiliano: 0756704145
 
Back
Top Bottom