mitandao ya kijamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini imetoa agizo la kuzuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii nchini

    Serikali ya Sudan Kusini imetoa agizo la kuzuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii ikiwamo Facebook na Tiktok nchini humo kwa muda wa hadi miezi mitatu, huku ikitegemea udhibiti wa maudhui. Agizo hilo limetolewa na Mamlaka ya Kitaifa ya Mawasiliano ya Sudan Kusini (NCA) Jumatano Januari 22...
  2. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini Yapiga Marufuku Matumizi Mitandao Ya Kijamii Kwa Miezi Mitatu

    Mamlaka ya Mawasiliano ya Sudan Kusini imepiga marufuku matumizi ya mitandao ya kijamii kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia Januari 22, 2025. Katazo hilo linafuatia kusambaa kwa picha za video zinazoonesha mateso na masumbuko ya wakimbizi wa Sudan Kusini walioko katika eneo la Wad Medani, nchi...
  3. X

    JamiiForums Tanzania Ukweli ambao wengi hawaujui ni kuwa China haijawahi kuifungia mitandao ya kijamii ya Marekani, ila mitandao ya Marekani ilikimbia kutoa huduma China

    Baada ya hili sakata la TikTok nimekutana na wadau majukwaani wakidai China ndio wa kwanza kufungia mitandao ya kijamii ya Marekani. Kwa hiyo ni kama Marekani nao wameijibu China. Wengi hawajui kuhusu sheria za China inapohusu huduma zozote ambazo zitahitaji taarifa za watumiaji. Ikiwa unataka...
  4. Mindyou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yatoa muongozo kutaka kampuni zote za mitandao ya kijamii kuwa na ofisi nchini humo

    Wizara ya Mambo ya Ndani nchini Kenya imeagiza mitandao yote ya kijamii nchi Kenya kuanzisha ofisi nchini humo. Wizara hiyo imedokeza kuwa ina lengo la kuhakikisha maudhui yanayosambazwa na kampuni hizo sio mabaya. "Kuongezeka kwa matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii, ikiwemo unyanyasaji...
  5. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Elon Musk: Vyombo vya habari vimeshakufa, mitandao ya kijamii imechukua nafasi zao

    Hata mimi naungana na bwana Musk, binafsi inaenda miaka 2 sasa nimeshasahau kitu inaitwa redio, runinga kutizama ni mara moja moja sana, tena siyo taarifa ya habari, natazama vipindi vingine kama mpira, wildlife nk. Mainstream media za bongo zimejipangaje na hii transition inayoenda kutokea?
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Polisi yamsaka nchi nzima aliyetangaza kuuza mtoto kwenye mitandao ya kijamii kwa TSh. milioni 1.6

    Jeshi la Polisi linamtafuta kwa kuendesha msako nchi nzima mtu ambaye anaonekana kushoto mwa taarifa hii ambaye ametengeneza na kusambaza picha mjongeo (video clip) akitangaza jongeo kuwa anamuuza mtoto al aliyembeba kwa shilingi milioni moja na laki sita. Msako huo utahakikisha anakamatwa ili...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA-TAIFA hauna ushindani kabisa, ni Uchaguzi mwepesi mno

    Ni uchaguzi wenye makelele mengi mitandaoni, lakini hauna ushindani kabisa kiuhalisia field. Hii ni kutokana na ukweli kwamba kwa upande moja mgombea ni dhaifu sana ndani ya chama, yaani kwamba mgombea huyo anaungwa mkono nje ya chama, kwenye mitandao ya kijamii na wana harakati wasio na...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Prince Dube ajiondoa katika mitandao ya kijamii

    Siku moja baada ya kuibeba Yanga SC kwa bao la dakika za majeruhi dhidi ya TP Mazembe, mshambuliaji Prince Dube amejiondoa katika mitandao ya kijamii. Hatua hiyo imewashangaza mashabiki na kuibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa mchango wake katika kuokoa matumaini ya Yanga kwenye michuano ya...
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Account gani ya ajabuajabu ya mitandao ya kijamii unaifuatilia?

    Iwe facebook, instagram, twitte nk. Ni account gani unaona hii kwa kweli ni ya ajabu na unaifuatilia. Mi kuna hii ya instagram watu toka sehemu mbalimbali duniani wanapost fimbo🤣 officialstickreviews. https://www.instagram.com/p/DDkCR8JOxwG/?img_index=1&igsh=eXF0ZmcwbmJiN294
  10. Burure

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya mitandao ya kijamii kwa viongozi wetu

    Siku ya jana katika uapisho wa Mawaziri na mabalozi wapya tumeona Rais wetu akiongelea kuhusu kumteua daktari Janabi hii Ina maana kuwa wanafuatilia kwa ukaribu mambo yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii Sambamba na kikao cha kamati kuu ya CHADEMA tumeona Makamu wa Mwenyekiti wao Lissu...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Lugha za baadhi ya madalali wa nyumba mitandaoni hazina maadili na huweza kuleta athari kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii

    Mitandao ya kijamii imekuwa na athari kubwa kwa watumiaji zikiwemo zenye matokea chana na zingine matokea hasi. Moja wapo ya manufaa chana ni namna ambavyo mitandao ya kijamii imesaidia utangazaji wa biashara mbalimbali mitandaoni na upatikanaji wa bidhaa mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii...
  12. X

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi walio active kwenye mitandao ya kijamii sio wa kufanya nao maisha. Hiyo ni red flag tosha kaa kitaalamu kidume usipuuzie hilo

    Red flags ziko nyingi ila kuna hii: Mwanamke aliye active kupost post kwenye mitandao ya kijamii kama IG, Snapchat, TikTok n.k Ukweli ni kwamba mabinti au wanawake wengi wanatumia mitandao ya kijamii kutafuta attention za wanaume. Na ndio maana wengi wao wakifuatwa DM huwa wanajibu wako single...
  13. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Naombeni muongozo jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii kama FB,Instagram na Whatsup ili kuwafikia watu wengi zaidi kibiashara

    Naamini miongoni mwenu kuna wanaotumia mitandao ya kijamii kibiashara nami nahitaji kuwa miongoni mwao.Nahitaji kuwafikia watu zaidi kupitia mitandao hii kwa ajili kuwafanya wawe aware na uwepo wangu kwenye biashara fulani.Nimeilenga mitandao 3.Insta,FB na Whatsup.Pia kama kuna yeyote mwenye...
  14. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania Watanzania 70% hawatumii mitandao ya kijamii hasa vijijini. Wapinzani, wanaharakati katoeni elimu kuhusu katiba na mfumo wa vyama

    Kuna kasumba moja ya wanasiasa hasa upinzani na wanaharakati wamekua wanaikosoa serikali, au mifumo mibaya ya uongozi, ubovu wa katiba ya sasa kupitia mitandao ya kijamii na makongamano ya wao kwa wao badala ya kuwashirikisha wananchi. Mf; Unakuta linaendeshwa kongamano la katiba au demokrasia...
  15. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Speed ya intanet imepungua sana Tanzania tumerudi 3G?

    Hivi hili ni mimi au nanyie mnaexprience hii hali? Mnaweza kudhani labda ni simu La hasha simu ram ni 12 na uwezo wake ni mkubwa haijajaa hata Mitandao sijui imekuaje Mfano Halotel 3g yao inakasi kuliko 4G yao yaani kwenye simu ukiset 3G option ndo inakua na kasi Voda 5G 4G na 3G lakini...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kunaibuka kizazi ambacho baadhi ya watu wamwekuwa wakishabikia upuuzi wa kwenye mitandao ya kijamii kuliko masuala ya muhimu

    Fikiria suala la Pididdy lilivyowachukulia muda wao kulijadili kuluko hata kujadili suala muhimu la kilimo na elimu. Sasa hivi kichwani mwao ni suala la Baltsar Engonga. Kana kwamba ni wapuuzi wanaoshinda kudadadavua mambo Hawajui kuwa sayansi na technolojia ipo juu kiasi kwamba hata picha...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Australia kuzuia watoto chini ya umri ya miaka 16 kutumia mitandao ya kijamii

    Serikali ya Australia imetangaza mpango wa kuanzisha sheria inayozuia watoto chini ya miaka 16 kutumia mitandao ya kijamii Hatua ya kuanzisha sheria hii ni kwa lengo la kupunguza athari zinazotokana na matumizi ya mitandao hiyo. Aidha, serikali imesema sheria hiyo haitahusisha watoto ambao...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania ifuate mpango na msimamo huu kusaidia kudhibiti madhara ya mitandao ya kijamii kwa afya ya akili ya watoto

    Australia inapanga kuzuia watoto wenye umri chini ya miaka 16 kuingia kwenye mitandao ya kijamii ili kulinda afya ya akili ya vijana, huku waziri mkuu Anthony Albanese akisema kuwa mitandao hii imekuwa na athari mbaya kwa watoto na kwamba ni wakati wa kuchukua hatua. Makampuni ya mitandao ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanawake viongozi wanavyoipa migongo mitandao ya kijamii, wapewe elimu upande huu ili wajikomboe

    Na -Nishan Khamis Zanzibar: Mitandao ya kijamii imeleta mapinduzi makubwa katika mawasiliano ya kisasa, ikitoa fursa za kipekee kwa viongozi, wakiwemo wanawake, kujitangaza, kujenga majukwaa ya kuwasiliana na jamii, na kushawishi sera za kisiasa. Hata hivyo, changamoto nyingi zinawakabili...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini social media accounts za kampuni/biashara yako aziwafikii watu kama ulivyotarajia?

    Skuizi imekuwa kama fashion tu kuona wafanya biashara wadogo kwa wakubwa, makampuni Hadi taasisi mbalimbali kuwa na account za mitandao ya kijamii(Facebook, Instagram na YouTube).. Na wengi wao wakiwa motivated kuwa na iyo mitandao ya kijamii kwa ajili ya biashara zao kwa kuiga au kwa kuskia tu...
Back
Top Bottom