mitandao ya kijamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Heko Watanzania kuipuuza kizalendo nonsense ya No reform no elections ground, field na kwenye mitandao ya kijamii

    Karibu pumzi inawaishaia hao vibaka na matapeli wa kisiasa na hiyo nonsense yao ya no reform no elections. Hongera sana wananchi wote ground, field na mitandaoni kwa kukataa kubebwa ufala wa kifikra na hao matapeli wa kisiasa waliopoteza uelekeo. Mmewapuuza kwa maneno na matendo kijasiri...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kama mitandao ya kijamii haina nguvu na ni upuuzi, mbona Tunisia na Misri walipata mabadiliko kupitia mitandao ya kijamii?

    Dunia imebadilika sana. Dunia ya miaka ya 1960's mpaka 1980's sio kama ya leo. Huko Tunisia walipata mabadiliko kupitia mitandao ya kijamii. Huko Misri nako mitandao ya kijamii ilitumika kumuondoa Hosni Mubarak. Vivyo hivyo hata hapa Tanzania mabadiliko yanaweza kupatikana kupitia mitandao...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baadhi ya viongozi wamezuia comments kwenye account zao za mitandao ya kijamii kupooza No Reforms No Election'

    Leo Juni 7,2025 baadhi ya viongozi wamezuia eneo la comments kwenye account zao za mitandao ya kijamii kufuatia wimbi la wafuatiliaji kuandika kauli ya 'No Reforms No Election' kwenye kila post iliyorushwa. Hali hiyo imekwenda kwenye akaunti za vyombo vya habari kwa kila maudhui kumiminika watu...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Umewahi kublokiwa na akaunti ya kiongozi yupi Mtandaoni?

    Wakuu! Kuna tabia inashamiri kwa kasi ya akaunti za Viongozi wa umma kublock, mute na kufungia comments Sasa wananchi wanatoaje mawazo yao? Kama hutaki comments unapost kwanini? Watu wawe na uvumilivu, tusinyamazishane! Umeweka post subiri comments! Viongozi wakumbuke watu hawafanani na...
  5. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii imewahi kuathiri mtazamo wako kuhusu kitu fulani kwenye maisha?

    Ugonile, Mitandao ya kijamii imekuwa ni chanzo kikubwa kwa watu wengi kutokuwa na utulivu wa akili. Nadhani hii hali inawakuta watu wengi katika maisha yao ya kila siku katika ulimwengu wa sasa. Mitandao ya kijamii husababisha hali ya kujisikia vibaya, kukosa furaha na wivu hususan kwa vijana...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Dodoma: Mkingeni Rais Samia dhidi ya mashambulizi mitandaoni

    Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amewataka Watanzania na WanaCCM kumkingia kifua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan dhidi ya mashambulizi yoyote anayoyapata kupitia mitandao ya kijamii Jawadu ameyasema hayo Jumanne Juni 3, 2025 Jijini Dodoma...
  7. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Kulikoni CHAUMA Hawana ata wafuasi elfu Moja kwenye mitandao ya kijamii

    Wakati kina Mrema wanahama, walitangaza wao ndo walikuwa mastermind wa Chadema,na kuwa wamehama na wafuasi wengi. Chakushangaza mpaka Leo X ata wafuasi elfu Moja Hawana. Je watanzania wamewapuuza Hawa madalali wa Siasa?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini TCRA mfungie mitandao ya kijamii kama X (Twitter), wananchi wanapataje mawasiliano Kwa mtindo huu mlio nao?

    Hili ni janga kwanini mfungie Twitter? hadi Twitter VPN why? Enzi za Kikwete hakukuwa na upuuzi kama huu
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ushawishi wa chama cha siasa unaanzia kwenye mitandao ya kijamii, CHADEMA imefanikiwa pakubwa katika hili

    Katika zama hizi za dunia kiganjani hata yule mtu aliyekijijini kwanza anataka kujua kipi kinaendelea mitandaoni. Kupitia mitandao ya kijamii chama cha siasa kina uwezo wa kupata uungwaji mkono wa hali ya juu kwa kila rika, yaani vijana , wazee, watoto n.k. Kwa zama hizi kiongozi au chama cha...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kuliko Kufungia Mitandao ya Kijamii Tanzania, Serikali, CCM na Polisi Tanzania jitoeni kwenye hiyo mitandao, Msiitumie, Acheni kuwatesa Wananchi

    Unakereka na Machapisho ya X jiondoe ili Usiwe unayaona, na watu wasikuite uone !!. Kwa mf, Kurasa za Rais Samia, CCM, Jeshi la Polisi, Kurasa zote za Serikali Kuu ,Tamisemi ,Taasisi za Serikali n.k ,Jiondoe kwenye mitandao kijamii !!. Mnashindwa Kuajiri Vijana makini wenye Uwezo katika...
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X

    Hali si Hali nchini Tanzania. Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X. Hali hii imeanza kujitokeza leo baada ya Mtanzania aishiye Marekani Mange Kimambi kuanza kuweka hadharani ushahidi wa kutisha namna Rais wa Tanzania na watu wake wa karibu wanavyolifisadi Taifa...
  12. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mitandao ya kijamii ya mtu kwa kupitia picha yake.?

    Kuna some people nimepoteza contacts zao ila nina picha zao nahitaji kuwapata kupitia facial recognition
  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya mitandao kama zana muhimu ya kuitoa CCM madarakani!

    CCM inajitahidi kukatisha tamaa watanzania (discourage) juu ya matumizi ya mitandao kama njia sahihi na muhimu ya kuitoa CCM madarakani. CCM wana msemo wao wa "watu wa mitandaoni" kuelezea au kubeza kinachoandikwa mitandaoni kuwa hakina taathira (effects) chanya ama hasi kwa watanzania. CCM...
  14. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Nachukizwa sana na baadhi ya nchi zinazoadhibu mitandao ya kijamii kwa kisingizio cha kuvunja Sheria, madhumuni ya nchi hizi ni kudhoofisha teknolojia

    Meta inatishia kufunga Facebook nchini Nigeria kutokana na kutozwa faini kubwa Watu nchini Nigeria wanaweza kupoteza ufikiaji wa Facebook na Instagram baada ya kampuni mama ya Meta kusema ilikabiliwa na faini kubwa na matakwa ya udhibiti "yasiyo halisi" kutoka kwa mamlaka ya Nigeria. Mwaka...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtemvu: Vijana tumie Mitandao ya Kijamii kwa Maendeleo, Si Maudhui Yasiyo na Tija kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Abasi Mtemvu amewataka Vijana nchini kutumia majukwaa ya mitandao ya kijamii kama nyenzo ya kujenga jamii na kuchochea maendeleo badala ya kujiingiza katika utengenezaji wa maudhui yasiyo na tija katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu. Kupata...
  16. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Jessica Magufuli: Nilipata taarifa za kifo cha baba kupitia mitandao ya kijamii

    Akihojiwa kupitia Ayotv mtoto wa Hayati John Magufuli , Jessica Magufuli, amesema kuwa taarifa za kifo cha baba yake alizipata wakati huo akiwa Dodoma kupitia mitandao ya kijamii kama watanzania wengine walivyopata.
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hii battle kati ya VPN na mitandao ya kijamii ni balaa, tutafika Oktoba tukiwa tumechoka sana!

    Wakuu, Hivi mnapitia kama nnachopitia mimi? Kwasababu natumia sana Telegram naazimika kutumia VPN ili mambo yaende baada ya kupigwa pini na wajomba. Sasa kazi inaanza ukiwasha VPN unaweza kupata telegram lakini mitandao mingine inakata, ila usiku ukiingia mara nyingine (sio mara zote) Telegram...
  18. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je mitandao ya kijamii inalaghai vyama pinzani?

    Je nitakuwa nipo sahihi au nitakuwa nimepotoka? Nikisema mitandao ya kijamii inatudanganya sisi vyama pinzani Maana ukiaangalia tunavyopata uungwaji mkono mitandaoni ni tofauti na kwenye maisha ya uhalisia uku mtaani wananchi wengi hawana muamko wala uelewa wa mambo ya nchi yanavyokwenda wao...
  19. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Video : Popoma anazidi kutrend kwenye mitandao ya kijamii

    Watu wa kanda ya ziwa huwa nawakubali Sana jinsi wanavyo ongea. They are so funny. Check video ya huyu popoma kutoka kanda ya ziwa inavyo trend. Tunasubiri interview kama Abass Chionda.
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania TCRA mpo kweli Nchi hii? Mnaachaje Watu wanazungumza public Ngono kinyume na maumbile kama jambo linalofaa Ndani ya Jamii namna hii ?

    Kwann mnaacha Hawa watu wenye umaarufu ,wautumie Umaarufu wao kueneza habari zinazomomonyoa Maadili namna hii?. Nini hii?? Kwanini akili zenu na Focus zote zimemtazama LISSU kasema nini mtandaon ?. Kwanini hamlindi watoto ?? Kuna ugumu gani wa kuwalinda watoto dhidi ya unyanyaji wa kiakili...
Back
Top Bottom