Habarini,
Kuna hii ishu nime-observe kwenye online status za wadada wengi za Whatsapp na insta..
Naweza sema 80% ya wadada ninaofahamiana nao kikazi, waki-post watu, sana sana wana-post rafiki zao wa kike kwenye Whatsapp status, unakuta wanapost wanapata dinner na rafiki zao wa kike kwenye...
Ni masiku machache tu nimeanza kuweka maudhui katika mitandao ya kijamii, lakini napokea jumbe za wadada hadi naogopa.
Nilikuwa na account ya FB muda mrefu tu ambayo ina jina linalo endana na maudhui yangu japo Nilikuwa natumia kikawaida tu, ina marafiki kibao ambao tunafahamiana.
Baada ya...
Bado nashindwa kumwelewa Mwamposa kwa kauli yake ya kutaka Serikali ichuje maudhui ya Mitandao ya kijamii
Ni kazi gani hii ambayo haijawahi kuonekana tangu dunia iumbwe? Unawezaje kuchuja maudhui yote yanayochapishwa mitandaoni?
Ni binadamu wa aina gani ambao hawajawahi kuonekana duniani...
Wakuu,
Sasa mnaanza kumtumia tapeli Mwamposa kutafuta namna ya kufungia mitandao ya kijamii! Eti watanzania waanze kutumia mitandao ILIYOPIMWA! Mnataka kupitisha agenda ya kuanza kuchunguza watu na kudhibiti mambo ambayo watu wanaona!
Eti watanzania waanze kutumia mitandao ya kijamii ambayo ni...
Muhubiri wa Kanisa la Arise and Shine International, Boniface Mwamposa, amesema Watanzania wanapaswa kubadilisha mtindo wa maisha na kuachana na uvivu unaowafanya kupoteza muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii badala ya kujikita katika maendeleo.
Akihubiri leo Jumapili kanisani Mwamposa...
Utangulizi
Vijana wa kileo wanaita utandawazi...kwa kijana wa kileo aidha awe binti ama mwanaume, ukifungua simu yake, asilimia 98 kama hutakuta Wana apps hizi maarufu za kujianika mitandaoni kama Facebook, TikTok, Snapchat, na apps zingine za kutafuta wapenzi mitandaoni, humo wenyewe ni...
Kwenye mitandao ya kijamii zimejaa picha za wadada wengi ambazo si halisi!!
Mimi Nina ndg zangu wa kike kwenye ukoo ukimuona mtandaoni na picha zake halafu ukutane nae live lazima ukimbie.
Picha nyingi zimejaa filter editing za kutosha kiasi kwamba mtu anageuka kuwa mrembo wakati siyo.
Jambo...
Katika Videos kumi utaka-zoplay either FACEBOOK, INSTAGRAM e.t.c, Saba katika videos hizo ni za kuhamasisha ngono.
Je, Ni kuwa watu wamewekeza sana katika ngono.
Karibuni tujadili hili Wanajamiiforums wenzangu.
Habari wadau wa JamiiForums,
Katika dunia ya sasa, tunakutana na aina nyingi za watu kwenye mitandao ya kijamii na jamii kwa ujumla. Wengine ni wasomi, wengine wamepitia changamoto mbalimbali za maisha, lakini cha kushangaza ni kwamba hata mtu aliyesoma anaweza kuonyesha dalili za IQ ndogo...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo akiwa Wilaya ya Magharibi A tarehe 06 Machi, 2025 amewataka Wazazi na Walezi kuwashajihisha Vijana wao kutumia vizuri mitandao ya kijamii ili kujipatia kipato.
Mbunge Tauhida Gallos Ameyasema hayo mara baada ya kukabidhi...
Ndugu zanguni
Ni muda sasa sijapost humu kwani nimekua bize sana na kazi
Nimekua nikiona na kusikia vijana wakilalamika sana kuhusu ajira. Napenda kuwajuza tu kua moja ya ajira ambazo huhitaji kutuma maombi wala elimu ni kuitumia mitandao ya kijamii kama ajira
Mimi nadhani wengi mnanifahamu...
Ili kupata watumiaji wengi mitandao ya kijamii imekuwa ikivutia watu wengi kwa malipo ya maudhui na idadi ya wafuasi waliopo kwenye maudhui.
Kutokana na sisi kulala na yeye jamiiforum kuzidi kuchuma kwetu maudhui bila malipo kutungwe sheria ili kulipwa kwa wanaotoa maudhui.
Yeye anafaidika na...
Je,
huwa wanajua na wanafahamu kabisa kwamba hawaaminiki, hawaelewekagi wala hawakubaliki mbele ya wananchi?
Nini kifanyike kuondoa unyonge huo wa wanachama wa chadema hasa wakiwa mitaani bila viongozi wao?
Na kipi hupelekea vijana hao kupata mihemko na makasiriko ya kiwango cha kurusha ngumi...
Kwa Miaka Ya Hivi Karibuni Kumeibuka Wimbi Kubwa La Wamiliki kuchapisha Picha Au Video Za Wateja Wao Katika Mitandao ya Kijamii Hali Ambayo Kwa Namna Moja Sio Nzuri Kwa Baadhi Ya Wateja.
Unaweza Kwenda Kwenye Baadhi ya Kumbi za Starehe Kipindi Ukipata Kinywaji Iadara Ya masoko Na Habari Wao...
Wakuu,
Juzi umeme ulikuwa umekatika kwangu, ikabidi niende kwa jirani yangu kupoteza muda kidogo nikisubiri umeme urudi.
Jirani yangu (anaelekea utu uzima) ana watoto 3. Mmoja yuko nursery na hao wengine wawili wapo shule ya msingi.
Wakati nimekaa pale nikawa napiga story mbili tatu na wale...
Mwenyekiti wa Kampeni ya *Mama Asemewe, Ndugu Geofrey Kiliba, amewataka wanavyuo kote nchini kutumia mitandao ya kijamii na elimu zao kueleza mafanikio makubwa ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Soma Pia: Pre GE2025 - Kuelekea Uchaguzi 2025: Vijana tunafanya...
Team;
Salaam!
Sheria ya mitandao ya kijamii na Sheria zingine zinasemaje kuhusu kura za maoni kwa wamaotajwa kugombea URAIS mwaka 2025?
Kama itakuwa kitu kinachoruhusiwa kufanyika basi ningeomba
Hashim Rungwe Spunda;
Zitto Zuberi Kabwe
Tundu Antipas Lissu
Dkt Samia Suluhu Hassan
Ibrahim...
Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaenda kutimiza miaka 48 tangu kuanzishwa kwake vijana wameshauriwa kutumia kwa faida mitandao ya kijamii ili iwanufaishe kwenye shughuli zao na shughuli za kichama.
Soma Pia: Mtwara: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza kwenye hafla...
UZINGATIVU WA JINSIA: MFUMO DUME BADO KIKWAZO KATIKA MITANDAO YA KIJAMII
Utamaduni wa mfumo dume katika jamii umeelezwa ni mojawapo ya sababu za kutozingatia uandishi wa masuala ya kijinsia katika kuripoti habari wakati huu ambao idadi kubwa ya vijana nchini Tanzania wakitumia mitandao ya...
Wakuu,
Binafsi nawaelewa CCM kwanini wamekataza Press ya Mnyika na wakaenda kuweka polisi mbele ya jengo la CHADEMA ili kuzuia hiyo Press kufanyika.
Whoever made that decision anaelewa ni kiasi gani CHADEMA wana nguvu kwenye mitandao ya kijamii.
Kama hiyo press itafanyika, hakuna mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.