mitandao ya kijamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ankol

    Jinsi mitandao ya kijamii inavyoongeza wagonjwa wa akili

    Leo tuachane na mambo ya kubeti na kamala nyinginezo za mtandaoni zinavyopoteza nguvu kazi kubwa ya taifa na kuifanya iwe tegemezi. Tuuangalie mtandao wa tiktok nao pia unachangia pakubwa kuongeza idadi ya vijana wanaopatwa ulemavu wa akili haswa dada zetu. Wadada wengi wanashindwa kufanya...
  2. Mturutumbi255

    Athari za Mitandao ya Kijamii kwa Vijana: Ukweli Usiosemwa na Mifano Halisi

    Naitwa Mturutumbi, na leo nataka kuchambua athari za kutumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii miongoni mwa vijana wa kisasa. Mitandao ya kijamii imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya vijana, lakini matumizi yake kupita kiasi yanaweza kuwa na athari kubwa katika nyanja mbalimbali za maisha...
  3. sanga misuka

    Natafuta sehemu ya kufanya field ya Marketing and Public Relations

    Mimi nipo chuo kikuu mwaka wa kwanza nasoma Marketing and Public Relations, pia ni DIGITAL MARKETING SPECIALIST. mambo ya masoko Mtandaoni, kusimamia na kuendesha accounts za mitandao ya kijamii ikiwamo Kutengeneza Matangazo, Contents, graphic design, matangazo ya kulipia, website, na mambo...
  4. D

    SoC04 Mfumo Utakaotumia Mitandao Ya Kijamii Kuleta Mageuzi Ya Kiuchumi Na Kijamii Nchini

    Utangulizi Ukuaji wa tenolojia ya mawasiliano na tehama nchini pamoja na ongezeko kubwa la watumiaji wake unazidi kuleta hofu kubwa kwa jamii juu ya maudhui yasiyofaa yanayopatikana hasa kwenye mitandao ya kijamii kwa sababu ya kukosa udhibiti, hali ambayo inadhaniwa kupelekea mmomonyoko wa...
  5. Tlaatlaah

    Teknolojia ya habari, mawasiliano na mitandao ya kijamii ilivyo fanikisha maandamano na mageuzi katika mapendekezo ya kodi, tozo na ushuru Kenya

    Hayakuandaliwa chini ya mwamvuli wa upinzani kama ilivyozoeleka. Hayana kinara wala kiongozi moja muwajibikaji... Organization na mobilization ya vijana waandamanaji imefanyika na kuchochewa kupitia mitandao ya kijamii tu.. Imepelekea ugumu kwa polisi kubabaika, kwasababu haikuwa rahisi...
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    Dada na Mama zangu, angalieni mitandao ya kijamii isiwafanye mkasahau familia zenu

    Kina Dada zangu na Mama zangu Acheni kushughulika na Mitandao ya Kijamii aka Facebook,TikTok, istagram, Youtube na mengine. Wakati Mume wako anakuwepo nyumbani.Muhudumie Waume zenu kwa kila kitu acha kumtegemea Dada wa kazi aka (House Girl) atawaharibia ndoa zenu shauri zenu.
  7. Replica

    Waziri Nape akiri kufuatilia mijadala inayoendelea kuhusu mtandao wa X kufungiwa, asema TCRA itatimiza wajibu kuhakikisha watoto wanakuwa salama

    Waziri wa Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Nape Nnauye amesema wanaona mijadala yote inayoendelea (kuhusu maoni ya kama mtandao wa X ufungiwe au laah) na kusema Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), itatimiza wajibu wake wa kuhakikisha Tanzania na hususani kizazi cha Watoto kipo...
  8. Mturutumbi255

    Jinsi ya Kutumia Teknolojia na Mitandao ya Kijamii Kukuza Biashara Yako Nchi Tanzania

    Teknolojia na mitandao ya kijamii zimeleta mapinduzi makubwa katika sekta ya biashara ulimwenguni, na Tanzania siyo tofauti. Kwa kutumia teknolojia ipasavyo, wafanyabiashara wanaweza kuongeza ufanisi, kufikia wateja wengi zaidi, na kuongeza mauzo yao. Makala hii itachunguza jinsi wajasiriamali...
  9. J

    Makamu Mwenyekiti UVCCM Rehema Sombi apingana na Mwenyekiti wake, awataka vijana watumie mitandao yote ya kijamii

    Makamu mwenyekiti wa UVCCM Taifa Rehema Sombi amewataka Vijana kuendelea kutumia mitandao ya kijamii bila kujali ni Mtandao gani Sombi ametoa kauli hiyo mkoani Geita. Ikumbukwe mwenyekiti wa UVCCM Taifa mh Kawaida pamoja na mashehe weiomba serikali iufungie Mtandao wa X yaani twitter Kwako...
  10. J

    Mwenyekiti UVCCM wilaya ya Nyamagana, Peter Begga amesema angekuwa Waziri wa Tehama angeifungia Mitandao ya kijamii ya Instagram na X

    Kichwa Cha thread ndio utashi wa Mwenyekiti wa UVCCM Nyamagana kupitia ukurasa wake wa X Yaani anatangaza Kufungia X kupitia ukurasa wake wa X 😂😂 Ila nimemwelewa ukishafungia X hutaacha itaendelea Kufungia Mitandao mingine yaani ni Sawa na kula Nyama ya mtu 🐼 ====== Mwenyekiti wa CCM (Chama...
  11. Nyendo

    PreGE2025 UVCCM waitaka Serikali kuifungia X (zamani Tittwer)

    Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) imeitaka serikali kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuhakikisha inaufungia mtandao wa 'X' zamani ukijulikana kama 'tweeter' kwa kuwa mtandao huo kutangaza dhamira ya kuruhusu kupokea maudhui yanayokinzana mila...
  12. Yoyo Zhou

    TikTok “inayotishia usalama wa taifa” yageuka kuwa chombo kizuri cha kushindania uchaguzi nchini Marekani

    Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Marekani, rais wa zamani wa nchi hiyo Donald Trump amefungua akaunti ya TikTok, ili kuwavutia wapiga kura vijana, na kufanya maandalizi kwa ajili ya uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Novemba mwaka huu nchini humo. Kabla ya hapo, Rais wa sasa Joe Biden pia...
  13. olimpio

    Serikali iache double standard mitandao ya kijamii kuhusu maudhui ya ngono

    Mwezi uliopita (May, 2024) kampuni inayomiliki mtandao wa kijamii X zamani Twitter, wametoa notice kuwa sasa ni rasmi maudhui ya kingono/ponographic contents, maudhui ya mapenzi ya jinsia moja yaan LGBTQ yameruhusiwa na watu wanaweza kuanza kujirekodi na kusambaza kwenye mtandao huo. Hoja yangu...
  14. De Rama Msirikale

    SoC04 Matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii na vyombo vya mawasiliano kuhamasisha kuleta maendeleo nchini kwa miaka 5 hadi 25 ijayo

    **Makala: Matumizi Sahihi ya Mitandao ya Utangulizi Katika dunia ya leo, mitandao ya kijamii na vyombo vya mawasiliano vinachukua nafasi muhimu sana katika kuendesha mabadiliko ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Tanzania, kama sehemu ya jamii ya kimataifa, ina nafasi kubwa ya kutumia vyema...
  15. S

    Kwa anayehitaji mtaalam wa mitandao ya kijamii na graphics

    Kama unahitaji huduma zifuatazo nichek 0747787410 kufungua akaunt za biashara mtandaoni, kufanya matangazo mitandaoni, kurekebsha akaunt zenye matatizo na madeni, kusajil jina la biashara, lesen ya biashara na kupata vibali mbalimbali serikalin kama vile TBS, OSHA nk.
  16. Mr Why

    Tuheshimu sana Mitandao ya Kijamii kwasababu uwekezaji wake ni wa gharama kubwa sana

    Ndugu zangu nataka niwambie ukweli kuwa mimi nina ujuzi kubwa juu ya mitandao ya Kijamii na ni mzoefu mkubwa wa mitandao ya kijamii na mara kadhaa nimekuwa nikisaidia badhi ya kampuni kudesign muonekano wa mitandao yao, nafahamu kwa undani kabisa kwanzia muundo na hata uwekezaji wake hivyo basi...
  17. X

    SoC04 Mitandao ya Kijamii Tanzania imulikwe, itumike kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii, irasimishwe

    UTANGULIZI Tanzania mitandao ya kijamii bado inatumika kama sehemu ya watu kutoa mawazo(stress), kupata habari nyepesi na udaku. Bado mitandao haijawa mahali salama sana kwa kizazi cha sasa na cha baadae kama hatutatengeneza mazingira salama kwa ajili ya wakati ujao. Bado haiaminiki, ina kundi...
  18. O

    Msaada jinsi ya kutangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii

    Habari Wana JF, Samahani nilikua naomba msaada jinsi ya kutangaza biashara mtandaonii kwa kutumia zile sponser au Kama Kuna njia nyingine yoyote ilimradi iwafikie watu wengi mtandaoni. Ahsanteni 🙏
  19. Gilbert Prudence

    Uhalali wa mashindano katika mitandao ya kijamii

    "Niliwahi kuandika sikushinda na baadae nikaona wametumia mawazo yangu kubuni mambo Yao na Mimi sikufaidika na chochote". Je kuna ukweli wowote? Huyo ni mdau alikuwa anatoa comment katika ukurasa wa jamii forum kuhusu ushiriki wa stories of change.
  20. haszu

    Mitandao ya kijamii inaweza fanya mtu ukawa na msongo wa mawazo.

    Wakati nawaza mshahara upaongezeka kidogo japo ufike laki 9 au milini 1, nakutana na post mtu anasema ukiwa na mshahara wa milion 1.5 hutoboi, 🙌🙌 Wakati naitafita miaka 35, sojawahi miliki gari chombo cha moto, kuna jamaa anasema kaagiza gari yake ya kwanza akiwa na miaka 22. Kuna jamaa...
Back
Top Bottom