Je unahitaji msimamizi wa Mitandao ya kijamii (social media manager)
Nitakuwa naweka maudhui ya picha na video pia nitakuwa najibu maswali ya wateja, n.k.
Nina ujuzi wa IT (Information Technology), graphics design na masoko ya mtandaoni
Mawasiliano: 0756704145
Napatikana Mkoa wa Dar es...
Huu ni uzi maalumu kwa ajili ya utani wa timu zetu ta ligi kuu wanazopost kwenye page tao za mitandao ya kijamii.
Wamepost Singida Big Stars.
"Laiti Katika Timu Yenu Angetokea Mtu Mmoja mwenye Hekima na Busara Akatuuliza kwa nini Tumekubali Kumuachia Top Score wetu Buure kwa Kumpa Mpinzani...
Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii (social media manager) na kazi za IT kwa ujumla. Gharama za kusimamia akaunti zote ni 400,000 Tsh kwa mwezi mmoja.
Napatikana Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi.
Mawasiliano: 0756704145
Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii za makampuni, maduka na biashara kwa ujumla, Nina ujuzi wa IT (Information Technology) kama website hosting, development na management, graphics design, video editing, na ujuzi mwingine wa IT. Gharama ya usimamizi wa akaunti nafanya laki 200,000 Tsh kwa...
Je unahitaji msimamizi wa Mitandao ya kijamii (social media manager) ambapo nitakuwa naweka maudhui ya picha na video mtandaoni, kujibu maswali ya wateja na mambo mengine. Gharama yake ni 150,000 Tsh kwa mwezi mmoja.
Napatikana: Dar es salaam.
Mawasiliano: 0756704145
Dunia inakwenda kwa kasi sana kuelekea inakoelekea dalili zikiwa ni wepesi wa mawasiliano baina ya mtu na mtu na kwa jamii kwa ujumla.
Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia viongozi wakuu wa nchi wakizungumza mambo mazito ya nchi kwa umma bila kizuizi chochote kile.Kuna mambo mazito ya nchi...
Natoa offa bure ya usimamizi wa Mitandao ya kijamii ndani ya wiki 2 , mitandao ni mitatu Facebook, Instagram na TikTok.... Offa hii nitakutengenezea video(1) ukihitaji ya bidhaa au huduma na poster(1) ya bidhaa au huduma yako na kujibu maswali ya wateja Kwenye ukurasa wako...... Huduma hii ya...
Katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa mojawapo ya nchi za Afrika ambazo zimechukua hatua kali dhidi ya uhuru wa mtandao, ikiwemo kufungia au kudhibiti matumizi ya mitandao ya kijamii hasa wakati wa matukio ya kisiasa kama uchaguzi mkuu, maandamano, au migogoro ya kijamii...
Je unahitaji msimamizi wa mitandao ya kijamii nitakuwa naweka posti za bidhaaa zako, kujibu maswali ya wateja na mambo mengine.
Malipo kwa mwezi ni 150,000 Tsh.
Napatikana: Dar es salaam, Mbezi
Mawasiliano: 0756704145
Je unahitaji msimamizi wa mitandao ya kijamii nitakuwa naweka posti za bidhaaa zako, kujibu maswali ya wateja na mambo mengine.
Malipo kwa mwezi ni 150,000 Tsh.
Napatikana: Dar es salaam, Mbezi
Mawasiliano: 0756704145
Kwa mambo yanayoendelea
Kuna uwezekano kuna sheria zinatungwa serikali kujimilikisha account za viongozi na social influencers, maana yake hata kama account ni yako binafsi, as long as we ni public figure au kiongozi, utatakiwa ku handle credentials kwa serikali
Ili ukija kuhasi, basi usipate...
Nimekuwa nikitazama umuhimu wa mitandao ya Kijamii katika nchi yetu, lakini bado tunatatizo kubwa Sana la uelewa wa baadhi ya watu. Kwamfano: mtu kauliza swali, "Kuna watu watatoa majibu mazuri zuri tuu" lakini kuna watu "Hushusha matusi na vitu visivyo eleweka"
Hii ni kwanini?
Kama unahitaji social media manager (msimamizi wa mitandao ya kijamii) nitakuwa naweka posti za bidhaa zako, kujibu maswali ya wateja na kazi zingine.
Bei kwa mwezi ni 150,000 Tsh
Napatikana: Dar es salaam, Mbezi
Mawasiliano: 0756704145
Nasimamia mitandao ya kijamii (social media manager), Nina uzoefu wa kutosha, elimu yangu ni stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering).
Pia najua website hosting na management (kusimamia tovuti kuanzia kulipia Hadi ufundi)
Naishi: Dar es salaam, Mbezi
Mawasiliano: 0756704145
Wasalaam Wakuu anatakiwa msimamizi wa mitandao ya kijamii
awe na sifa zifuatazo ili aweze kufanya kazi kwa ufanisi:
1. Awe ni Mkazi wa jiji la Dar es Salaam, itafaa zaidi akiwa ni Mwanaume (umri usizidi miaka 30)
2. Uwezo wa mawasiliano bora –
Awe na uwezo wa kuandika na kuwasiliana kwa...
Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia ongezeko kubwa la watu wanaodai kuwa ni watumishi wa Mungu au waumini wa dini fulani wakijitokeza kwenye mitandao ya kijamii Hasa tiktok, instragram na X, Kwakutoa mafundisho, maombi, na ushauri wa kiroho kwa watu. Je Kwa mtazamo huo wa juu juu, hali...
Vijana wana vipaji vya ubunifu wa hali juu kupita kiasi.
Kipindi nilichofanya mada ilikuwa nyingine kabisa lakini kipindi kilipokwenda hewani na kutazama picha iliyowekwa hawa vijana niliwavulia kofia.
Muda si muda watazamaji wanagota laki +.
Na ukweli hawa hawakunifuata mimi.
Wamemfuata Haji...
Ndugu zangu wa Jamii Forums,
Nimekuwa nikisoma mengi humu, na leo nimeona ni vizuri nami nichangie kitu ambacho kimenisaidia sana — na naamini pia kinaweza kuwasaidia mkiamua kuchukua hatua.
Nilikuwa napambana kupata followers Instagram, Twitter, YouTube subscribers, lakini ilikuwa ngumu —...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.