mitandao ya kijamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kitanzania upande wa upinzani wana infuence kubwa sana kwenye mitandao ya kijamii, kaka zao mnafeli wapi?

    Katika siasa za kisasa kuna chombo muhimu sana cha kusambaza ujumbe kupitia mitandao ya kijamii Katika nchi nyingi imeshazoeleka ni wanaume wanakuwa na utawala mkubwa katika vyombo hivi Lakini kwa Tanzania ni vice versa, wanaosikilizwa zaidi ni kina Mange, Maria, Hilda, Recho, n.k. Kwa upande...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Rais Paul Biya azuia Mitandao ya kijamii baada ya ripoti ya UN kudai kuwa vikosi vya usalama viliwaua raia 48 wakati wa maandamano ya kumpinga

    Serikali ya Cameroon imezuia matumizi ya mitandao ya kijamii ikiwemo TikTok, YouTube, Facebook na Telegram, saa chache tu baada ya ripoti ya Umoja wa Mataifa kudai kuwa vikosi vya usalama viliwaua raia 48 wakati wa maandamano ya kupinga kuchaguliwa tena kwa Rais Paul Biya. Kwa mujibu wa ripoti...
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Netblocks: Mitandao ya kijamii bado Inakabiliwa na vikwazo licha ya Intaneti kurejeshwa Tanzania

    Kwa mujibu wa taarifa za NetBlocks, takwimu za moja kwa moja zinaonyesha kuwepo kwa vikwazo vikubwa kwenye mitandao ya kijamii na programu za ujumbe nchini Tanzania, hata baada ya huduma za intaneti kuanza kurejea taratibu kufuatia kukatikwa kwa mtandao kwa zaidi ya siku tano tangu Oktoba 29...
  4. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Wamekataa kuzima mitandao ya kijamii

    Wahuni wa CCM wamekataa kuzima mitandao ya kijamii eti wanadai na wao wanapata taarifa za waandamanaji kwenye hii mitandao ila wanapima upepo mpaka baadaye usiku kama hali itakuwa ngumu na watakuwa wameanza basi watazima mtandao ili kusiwe na mawasiliano kabisa. chukua hiyo kijana mwenzangu
  5. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baraza la Maskofu Tanzania (TEC) lakanusha waraka uliosamba kwenye mitandao ya kijamii

    Akizungumza na waandishi wa Leo Oktoba 13,2025 katibu wa baraza la maskofu Tanzania Padri Charles kitima amesema waraka huo si wa baraza hilo huku akisisiza kuwa wanaofanya hivyo wakome mara moja. Waraka huo ambao uliwataka wauumini wa kanisa katoliki nchini kushiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 29...
  6. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ole Sendeka: Wanasiasa acheni kutumia vibaya mitandao ya Kijamii, tumieni kulinda misingi na umoja

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na aliyekuwa Mbunge Wa Simanjiro mkoani Manyara Bw. Christophar Ole Sendeka amewataka wanasiasa wa vyama mbalimbali vya siasa ambao hawakupata nafasi za kuteuliwa kugombea nafasi za Urais ubunge na udiwani kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarahe 29...
  7. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 DCP Misime: Askari 3,900 Bara na 388 Zanzibar wamesambazwa kutoa Elimu ya matumizi ya Mitandao

    Jeshi la Polisi kupitia Msemaji wake DCP David Misime amesema wamesambaza askari zaidi ya 3,900 Tanzania Bara na 388 Zanzibar ili kutoa elimu ya Matumizi sahihi ya Mitandao ya kijamii. Soma pia > DCP Misime: Serikali imetuwezesha vifaa vya kuwashughulikia wanaohamasisha uhalifu Amesema wazazi...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kasesela: Tusiamini kila tunaloliona kwenye mitandao ya kijamii, Msihangaike na MALOFA

    Mjumbe wa halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa ndugu Richard Kasesela, Amewataka watanzania kukuza ufahamu na kuacha kuamini kila wanachokisikia na kukiona kwenye mitandao ya kijamii bila kufanyia utafiti Amesema hayo Leo Oktoba 8, 2025 wakati wa mkutano wa kumnadi mgombea udiwani...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Paul Kimiti: Wanasiasa msitumie mitandao ya kijamii vibaya na kuvunja amani ya nchi

    MWENYEKITI wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, Paul Kimiti, amewataka baadhi ya viongozi na wanasiasa kuwa waangalifu katika matumizi ya mitandao ya kijamii, ili kulinda amani na mshikamano wa Taifa. Akizungumza katika mahojiano maalumu na Daily News Digital jijini Dar es...
  10. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi La Polisi: Wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii tutawasaka na kuwachukulia hatua kali za kisheria

    Ndugu zangu Watanzania, Jeshi la Polisi Nchini limetoa onyo kali sana tena sana kwa wale wote wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii Kuhamasisha Vurugu na uchochezi Nchini. Limesema ya kuwa halitasita kuwakamata na kuwachukulia hatua kali sana za kisheria watakao jaribu kuharibu amani ya Taifa...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 DCP Misime: Yanayoendelea kwenye Mitandao ya Kijamii, kuna Uhamasishaji wa Uasi na Picha chafu kinyume na maadili ya Dini

    Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, DCP David Misime akiongea Septemba 27, 2025 kwenye Mkutano wa Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya amesema yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii, kuna uhamasishaji wa uasi na picha chafu kinyume na maadili ya dini na ni katazo la maandiko matakatifu. Ameongeza...
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana JKT wahimizwa kutoa elimu ya Matumizi bora ya Mitandao ya kijamii wakati wa uchaguzi

    Vijana waliopata Mafunzo ya Kijeshi katika Kikosi cha Jeshi la kujenga taifa (843KJ) Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi wametakiwa kutumia vizuri matumizi ya Mitandao ya kijamii kwa faida yao na taifa kwa ujumla. Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya Operesheni Okoa Nishati safi, Mgeni rasmi...
  13. technically

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mitandao ya kijamii kuzimwa siku 5 kabla ya uchaguzi

    Nemepenyezewa taarifa na mtu mkubwa ndani ya tcra kwamba wamepewa maagizo kutoka jumba kuu kuzima mitandao tarehe 25/ 10 na kuiwasha tarehe 5/11 ili uchafuzi uweze kufanyika physically. Lakini pia kanidokeza kwamba vyombo vya ulinzi na usalama wamekataa maagizo hayo kwa kusema yatakuwa na...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Faris Buruhani: Maandamano ya Oktoba 29 yaishie Mitandaoni, Bukoba UVCCM hatutawaachia Polisi, tutashughulika nao

    Huyu Faris amerudia kauli zake za vitisho baada ya kusema wakiwapoteza watu polisi wasiingilie amerudia tena kwa Watu waliopanga kuandamana Oktoba 29 = Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani, amewasihi na kuendelea kuwaomba wananchi wa mkoa wa Kagera kujitokeza kwa wingi...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wahitimu JKT Wahimizwa kujiepusha na Matumizi mabaya ya Mitandao ya Kijamii hasa wakati wa uchaguzi

    Wameona mambo ni mengi sana Mtandaoni wananchi wanakabia juu kwa juu, sasa kazi ni kufanya brain washing kwa vijana wanaotoka kambini na kurejea mtaani Natumai mmewaambia namna ya kuja kupambana na mafisadi wanaorudisha nyuma maendeleo ya nchi yao --------------- Vijana kote nchini Pamoja na...
  16. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Majangili na Maharamia na hofu dhidi mitandao ya kijamii

    Kundi la maharamia na majangili limekua na hofu dhidi mitandao ya kijamii ili kuficha uovu mwingi inaotenda ikiwemo wizi wa rasilimali za taifa , utekaji na mauaji dhidi raia na ukandamizaji wa haki za Wazalendo..Maponjoro ndio vinara wa wizi na ukwepaji kodi kwa ushirikiano na watendaji waovu.
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kuna kikundi kinamilikiwa na mtoto wa Rais ambao ofisi zao zipo kwa ajili ya mitandao ya kijamii

    Ili suala tulishwahi kusema hapa ila linafichwa sana. Jana mweshimiwa Polepole alitaja kuhusu mitandao ya kijamii watu wameajiliwa wakiwa na ID nyingi kila mtandao wakiendeleza ajenda zao. Moja yao wapo hapa JF. Yani utasahangaa UZi umeanzishwa halafu sekunde wanakuja kujibu kuunga hoja wakina...
  18. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kurasa za mitandao ya kijamii za serikali, kuchapisha maudhui ya kampeni kwa mgombea mmoja ni sahihi?

    Tarehe 29.08.2025, Ukurasa rasmi wa Ikulu Mawasiliano ulichapicha taarifa zenye kichwa kisemacho "Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Ngerengere kwa ajili ya kuzungumza na wananchi...
  19. Damaso

    JamiiForums Tanzania Utalii, Mitandao ya Kijamii na Hatima ya Utamaduni wa Wahadzabe

    Wahadzabe wamekuwa na mfumo wa maisha unaoheshimika duniani, wakihusishwa na uwindaji wa asili, maarifa ya mimea tiba na mfumo wa kijamii usio na mpangilio wa tabaka. Lakini mabadiliko ya karne hii yameingia kwa kasi isiyozuilika. Wageni na makampuni ya utalii wamevamia makazi yao kwa lengo la...
  20. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Tusiotumia mitandao ya kijamii tujuane!

    Kwanza kabisa kwanini hautumii mitandao ya kijamii? Ilikuwa hivyo toka mwanzo au ulifuta baada ya kutumia? Socia media zimekuwa sehemu mpya ya maisha ya binadamu kuendana na kasi na mabadiliko ya Teknolojia ila lengo kuu la mitandao ya kijamii limepotea ghafla baada ya teknolojia hii kupokewa...
Back
Top Bottom