Hii inshu ni halisi wakuu, leo wakati napitia kwenye chombo kimoja cha habari nilikutana na habari ya mkuu wa mkoa wa Dar akitoa taarifa ya zawadi ya IDD ya mama basi nikajaribu kupitia comment zile za kupongeza tu.. nikaona mambo ya ajabu sana!
1. Profile zote zimeshare content moja
2...
Swali.
Ilikuaje Kiongozi Aliyejinadibisha kuipinga America/Israel harafu mtoto wake akawa anaishi na kufanya kazi USA?https://www.instagram.com/p/DWAlA28Ct05/?igsh=ejFsZW1zeGR0NW82
Asema Waislamu hawaruhusiwi kutumia chochote cha makafir, na kwa vile hii mitandao na teknolojia zote hizi ni za makafir, hivyo wanaozitumia watakwenda motoni.
https://vm.tiktok.com/ZS9R1jRMqEye9-PlLgb
Nafuatilia kwa karibu sana mitandaoni hii vita vya Iran marekanani na Israel.. Ni wazi sasa propaganda imehamia kwenye AI kwa asilimia 100
Video zinazorushwa kina AI nyingi sana mpaka kuna baadhi unashindwa kutofautisha halisi na feki
Lakini pia ni mwanzo wa vita ijayo itakuwa ni laser war tupu...
Mpira unaletaga huzuni na kukata tamaa timu yako inaposhindwa. Pia mpira unaleta furaha na kuchangamsha.
Video hapo chini inamuonesha Mlinzi wa timu ya taifa ya Ufaransa na Liverpool Ibrahima Konate akishangilia goli la Ekitike ambalo baadaye lilikataliwa.
Kilichowafurahisha wengi kwenye...
SISI CONTENT CREATORS WA JF NA MITANDAO MINGINE TUNASUBIRI KWA HAMU HAYO MABILIONI. CHONDECHONDE MAKONDA TUTAONANA WABAYA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kwenye hii nchi ya Tanzania, moja ya watu wanaofanya kazi kubwa Sana kwenye jamii yetu na serikali ni Sisi Content Creators hasa wa...
Licha ya Mitandao ya Kijamii kurahisisha mawasiliano na kupatikana kwa taarifa katika jamii, imesaidia pia kukuza demokrasia kwa kuwawezesha wananchi kutoa maoni, kuhoji viongozi, na kushiriki mijadala ya kidemokrasia.
Kupitia majukwaa ya mitandao hayo kama WhatsApp, X (zamani Twitter)...
Mkuu wa jeshi ya Ulinzi ya Uganda (CDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza kuondolewa kwa vikwazo vya matumizi ya mitandao ya kijamii kufuatia kukamilika kwa mchakato wa uchaguzi nchini humo.
Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter) leo Januari 26...
Kama umeshawahi kuchakata hawa superwoman utanielewa nachomanisha.
Hawa wanawake wenye akili nyingi, mali, wafanyabiashara, wazuri wa umbo na sura ambao ndio vinara wa kuhimiza Mwanamke kuwezeshwa na kupewa nguvu na hadhi wana mbinu sana. Kwenye mitandao atakwambia hata sharti la mume wake...
Ni mimi pekee naona au ni kama miaka miwili hivi mfululizo huduma za mitandao zimekuwa mbovu, sio internet, sio calls.
Au ni haka kasmart kitoch kangu ndio jau?😁
Matapeli wa kisasa ni wahandisi wa akili (psychological engineers) au manipulators . Hawaji kuiba pesa zako mara moja; badala yake, wanajenga mazingira ambayo wewe mwenyewe utawapa pesa kwa hiari yako.
Hivi ndivyo wanavyotumia saikolojia kumnasa mtu:
1. Kukuvutia na Maisha ya Ndoto zako (The...
Ni kuuliza tu si kwa ubaya.
Serikali kama imamu na sisi wananchi kama mamuma tuna wajibu wa kuifuatisha katika jambo lolote linaloona si jema kwetu.
Kuufungia mitandao wa x ni wazi kua wamebaini kua mtandao huo si salama kwa matumizi hapa nchini.
Ajabu ni kwamba serikali hiyohiyo iliyoifungia...
Haimaanishi ilikuwa ni lazima kijana ufanye punyeto katika processs ya ukuaji wako lakini pia haimanishi ilikuwa sio jambo la kawaida kufanya punyeto, ni kitu cha enzi na enzi,
Lakini kwa sasa punyeto haisomeki kama step ya maisha ila inasomeka kama sehemu ya maisha, maana katika wingi mkubwa...
Shida TISS inawachukulia mataifa mengine kama vilaza walivyo wao.Ni tamia neno kilaza kama heshima kubwa kwao.
Mlichokuwa mnafanya kutrace simu za watu ambao mnaona watavujisha taarifa zenu na uchafu wenu kumbukeni internet tu inawapa shida.
Haya mtaweza kutrace hivi vifaa hata Kishada cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.