mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa nyumba kumi au serikali za mitaa ndio wajumbe wa Chama ( CCM)?

    Nilikuwa nauliza ndugu zangu naomba kupata ufafanuzi wa hili jambo binafsi linanichanganya hawa wajumbe wa Serikal za mitaa au balozi wa nyumba kumi ndio hao hao wajumbe wa chama (CCM)?
  2. JamiiForums Tanzania Mwili wa Mwanaume waokotwa mitaa ya Jangwani, inadaiwa alishambuliwa, kuuawa kisha kutupa

    Mida ya saa kumi jioni ya leo Septemba 4, 2023 nilipita maeneo haya ya Jangwani karibu na mto, nikaona kuna mwili wa mwanaume ukiwa umetupwa. Mashuhuda wanadai itakuwa jamaa ameshambuliwa na kuuliwa kisha kutupwa eneo hilo. Sijajua huo mwili ni wan ani hasa lakini nimeshuhudia Jeshi la Polisi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Maduka ya vifaa vya uvuvi kama engine mwanza yanapatikana mitaa ipi?

    Jamani maduka ya vifaa vya uvuvi kama mashine mwanza yanapatikana mitaa gani?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna mpasuko mitaa ya Ufipa. Ishu ya bandari yatajwa

    Habari zilizonifikia kutoka kwenye vyanzo vyangu vinavyoaminika vinadai kuna mpasuko mkubwa kwenye korido za ufipa kwa kile kilichotajwa kuwa baadhi ha makada waandamizi kutoridhishwa na mwelekeo wa siasa za chama zilizojaa udini siku za hivi karibuni. Tetesi zinasema tayari wanachama wengi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania SHOPPING SERVICES: Nanunua, nafunga na kusafirisha bidhaa kutoka Kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani

    NANUNUA,NAFUNGA NA KUSAFIRISHA BIDHAA KUTOKA KARIAKOO KWENDA MIKOA YOTE TANZANIA NA NCHI JIRANI. HUDUMA ZA ZIADA 📌Nafuata,nafunga na kusafirisha bidhaa iliyokwisha kununuliwa Kariakoo kupitia mitandao kama fb na insta. 📌Nafanya ukaguzi na kuhakiki ubora wa bidhaa uliyonunua kariakoo kupitia...
  6. JamiiForums Tanzania SoC03 Serikali za Mitaa Ziimarishwe Ili Kuharakisha Maendeleo ya Wananchi

    ConstantineJ. Samali Mauki Utangulizi Serikali za mitaa ni chombo cha utawala wa umma, kilichopewa madaraka ya kuamua na kuendesha shughuli zake katika sehemu ndogo ya nchi au Taifa. Hizi ni halmashauri za wilaya, miji, manispaa na majiji ambazo zinasimamia shughuli za maendeleo za kata...
  7. JamiiForums Tanzania Wanatani wa Yanga mitaa ya Mbezi kwa yusuph washerekea ubingwa kwa namna yake

    kundi la vijana wakike kwa wakiume wakiwa na furaha sana, wakiimba ule wimbo pendwa wa leo ndo leo huku wakiendelea na maandalizi ya Mbuzi watatu pamoja na vyakula vingine, pamoja ya hayo wakiwa ndani ya mavazi (sio wote)ya kanzu wanasherekea ubingwa wa USM. Vigoma pia vinaandaliwa (kuanzia...
  8. JamiiForums Tanzania SoC03 Tuwakumbuke Viongozi wa halmashauri za vijiji, Vitongoji na mitaa katika kuumega mkate

    utangulizi Utawala wa vijiji ,vitongoji na mitaa ni miongoni mwa tawala katika serikali za mitaa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni utawala wa chini kabisa kimuundo ukitanguliwa na utawala wa Kitongoji. Kuwa utawala wa chini haimaanishi kuwa na umuhimu mdogo; isipokuwa ni kupitia...
  9. JamiiForums Tanzania Bajeti ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa mwaka wa fedha wa 2023/24

    Hotuba ya waziri wa nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Jasmine Kairuki akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha wa 2023/24
  10. JamiiForums Tanzania Tuliojaza Green Card Lottery mitaa ya Mlimani City surveys majibu vipi?

    Poleni kwa misiba Watanzania, Naanzisha uzi huu kama rambi rambi kwa mwanachama mwenzetu aliyefariki hivi karibuni mzee wa bomayeee, case closed, free education n.k, kifupi tutammiss kwa zile mbwembwe zake katika social networks. Hoja yangu ni hii, nataka tufahamiane iwapo yupo yeyote...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Burger mitaa ya Posta

    Kipindi fulani miaka ya nadhani late 80's na kurudi nyuma kulikuwa na Kiosk kimoja hapo Mitaa mbako baadae ikaja kuwa maeno ya Billicans club. Ilikuwa wanauza Hamburgers matata sana, taste ya zile hamburge, ile beeef kile kitunguu na ile buns mpaka leo I can taste them. Nani alikuwa owners...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Anjela Kairuki jiuzulu!

    Nirejee kusema kuwa Waziri Anjela Kairuki Wizara hiyo imekushinda. Wizi ni 100% kwenye mikoa na Halmashauri, nchi pia ukirejea ripoti ya CAG. Nikutake utamke neno moja Tu, Jiuzulu nafasi hiyo japo Hata Samia mambo yamshinda Yeye Tutakuwana naye kwenye kampeni 2025
  13. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG 2021/22: Mamlaka 180 za Serikali za Mitaa zimeshindwa kurejesha Tsh. Bilioni 88.42 ilizozikopesha

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa mara nyengine ameendelea kuonyesha udhaifu mkubwa na ubadhirifu katika Fedha za Mikopo inayotolewa na Halmashauri za Wilaya, Miji, Manispaa na Majiji kwa vikundi vya Vijana, Wanawake na Watu wenye ulemavu. Fedha hizi ni 10% ya Mapato ya Ndani...
  14. JamiiForums Tanzania TUJIKUMBUSHE: Timu Maarufu za Ndondo kutoka mitaa yetu

    Kama Mada Inavyosema. Mimi nimekulia Morogoro na nimecheza sana ndondo miaka ya late 1990's na 2000's nikitokea timu ya Ghetto Boys ya Mvomero. Katika makuzi yetu tulikuwa tunacheza sana ndondo huko Mvomero na Moro kwa Ujumla na katika mashindani ya Kiwilaya na Mkoa tulikuwa tunakutana na...
  15. JamiiForums Tanzania Tunaomba Serikali ilizingatie hili katika ajira kwa maafisa watendaji wa Serikali za vijiji na mitaa

    Huku ndiko kwenye mashina ya wananchi, ndipo wanapokutana na wananchi moja kwa moja kutatua changamoto zao. Kama vile migogoro ya ardhi, familia na kimkataba. Lakini serikali inatuletea mabinti wadogo wadogo, kweli kuja kusikiliza migogoro ya ndoa, familia na kiuchumi kweli? Wanasikiliza na...
  16. JamiiForums Tanzania Hii habari ya kuita mitaa Uzunguni na Uhindini ingekoma

    Hii ishu haijakaa sawa. Sijui kwa nini imedumu hadi leo?
  17. B

    JamiiForums Tanzania Chaguzi za serikali za mitaa ni udanganyifu na uwizi

    Naanza kwa samahani siyo mwandishi mzuri. Cha msingi, ujumbe ufike moja kwa moja kwenye hoja. Nilitaka kushiriki chaguzi za mitaa zilizopita, nikanyimwa kupiga kura kisa sina kadi ya chama. Hivi kila Mtanzania ana chama, hili suala ni lazima. Mbona chaguzi za mbunge, Rais na diwani hazina...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Hawa wanawake wanaokwenda kwenye nyumba za ibada wafanyiwe maombi ya kupata mume, wanaishi mitaa gani ambako hakuna wanaume?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake ambao wanakwenda kweny nyumba za ibada(kanisani & msikitini) kuomba maombezi ya kupata mume wa kuwaoa, hivi ni kwel mitaa wanamoishi hakuna wanaume au wanaume wa mtaa wanaoishi wanajua tabia zao. Au wanataka kutupa aibu nchi za jirani watuone wanaume wa TZ n...
  19. JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali tusaidieni wananchi, magari yanayouzwa kwenye yard za Wapakistan mitaa ya Morocco na Victoria ni mabovu sana

    Serikali itupie macho uhuni unaofanywa na hawa wafanyabiashara wa magari wenye asili ya Pakistan. Jana mida ya saa sita mchana tulienda na rafiki yangu kwenye moja ya maduka (yard) ya kuuzia magari. Rafiki yangu alikuwa anataka Toyota Probox kwa ajili ya kubebea mizigo yake Kariakoo na kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Hizi pisi za mitaa ya Airport Dodoma ni balaa

    Wakuu kama nilivyo wajuza kuwa nimehamishiwa Karagwe kikazi, nimepitia Dodoma kukamilisha kazi fulani kabla sijaenda kuripoti Karagwe. Leo nimepata hamu ya kutembeza bakora nikapewa chimbo moja mitaa ya Airport, aisee kuna mademu wakali sana, bei ni 5000 vichakani, nikaona sio kesi nikachagua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…