Hii barabara ya kupanda rau?Yani leo Moshi ukiwa kule town centre jua linapiga vibaya mno ila ukianza kuingia tu Shanti town hali ya hewa inabadilika
Faida za kupanda miti mingi maeneo ya mijini na kupangilia mji vizuri ndio kama hizi sasa
View attachment 3680977View attachment 3680979View attachment 3680980View attachment 3680981View attachment 3680982View attachment 3680983
View attachment 3681000
Karibu mkaliNitamalizia uzee wangu uku
Asante sana kaka mkubwa.....Karibu mkali
Ona hii. Hapa ni mitaa ya kcmc ukielekea Ushirika wa NeemaView attachment 3681030
Vyote sawa tuMm nimepanda miti ya matunda , makopo yote ni mboga mboga nilipiga marufuku maua