miss tanzania

Miss Tanzania is a national Beauty pageant in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Car4Sale RAV4 Miss Tanzania iko sokoni

    Bei/Price🏷️👉🏾TSH 30.8M Call📞+255 747 999 927 TOYOTA RAV4(EGL) Year: 2007 Engine: 2,360Cc Mileage: 72,000+ Transmission: AUTO ✨Fog Lights ✨Android Radio ✨Cruise Control ✅Clean Interior ✅Well-Maintained ✅Swap Deals Available
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kwa hili Tamasha la Miss Tanzania: Kuna wasanii wataenda kuwa Mabilionea

    Baada ya Tamasha hili, Kuna uwezekano mkubwa Muandaaji akafunguliwa kesi ya madai ya Mabilionea kwa kutumia nyimbo za wasanii katika Tamasha la Biashara endapo idhini yao haikupatikana. Nipo pale Tusubiri tuone panapovuja wapi
  3. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Rasmi, Mashindano ya Miss Tanzania sasa kuendeshwa na Lamata Village Entertainment

    Mkurugenzi wa kampuni ya toka The Look Ltd Basila Mwanukuzi amekabidhi umiliki wa uandaaji wa mashindano ya Miss Tanzania kwa kampuni ya Lamata Village Entertainment inayomilikiwa mwongoza filamu nchini Leah Mwendamseke 'Lamata'. Aliyekuwa mmiliki wa Miss Tanzania, Basilla Mwanukuzi (kulia)...
  4. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Basila Mwanukuzi mratibu wa Shindano la Miss Tanzania alalamika ukosefu wa Chanjo za watoto Hospitalini

    Muandaaji wa shindano la Miss Tanzania aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 1998 amelalamikia Wizara ya Afya kukosa weledi kwa kutopeleka chanjo mahospitalini huku ikisemekana ni kutokana na Kampeni zinazoendelea ambapo bajeti kubwa imeelekezwa huko. Basila Mwanukuzi mwaka 2021-2023 alihudumu kama...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania BASATA yafuta kibali cha kampuni inayoendesha Shindano la Miss Tanzania

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limechukua uamuzi wa kuifutia rasmi Kampuni ya The Look Company Limited leseni ya kuendesha shindano la Miss Tanzania, Uamuzi huo umetolewa baada ya kampuni hiyo kushindwa kutekeleza maagizo halali ya Baraza licha ya kupewa maelekezo kwa nyakati tofauti kupitia...
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Jakaya Kikwete akiwa na washindi wa Miss Tanzania mwaka 1995

    Jakaya Kikwete akiwa na Washindi wa Miss Tanzania mwaka 1995 katika picha ya pamoja. Mshindi wa Miss Tanzania mwaka huo alikuwa Emily Adolf. Miaka takribani 30 iliyopita, hapo Mh. Jakaya Kikwete akiwa Waziri wa Fedha, alialikwa kama mgeni rasmi. Nyakati zinakimbia sana. NB: RIP Hasheem...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hashimu Lundenga afariki dunia. Alijulikana kwa kusimamia mashindano ya Miss Tanzania

    Kutoka Mtandao wa X ndiyo habari mpya. My take: Simuhukumu lakini kusimamia wasichana kutembea uchi au Nusu uchi kwenye stage Mungu anasemaje kuhusu hilo?
  8. Inside10

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mratibu wa zamani wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga afariki Dunia

    Mratibu wa zamani wa Miss Tanzania Hashim Lundega, amefariki dunia leo katika Hospitali ya Kitengule - Tegeta, Jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa mshirika wa karibu wa Marehemu Lundenga, Bosco Majaliwa, Lundenga ambaye amekuwa akiumwa kwa muda mrefu, alikimbizwa hospitalini hapo leo asubuhi...
  9. alaksh natena

    JamiiForums Tanzania Toyota rav miss Tanzania

    Wakuu naomba msaada kujua Toyota rav 4 miss TZ naweza toa mlango wake na kuweka mlango wa vanguard yaani rav 4 isiyokuwa na tairi nyuma ya mlango? Pili Kama ni ndiyo naomba kujua Bei ya mlango huo kwa used
  10. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Lulu Ibrahim, Miss Kinondoni 2009 na aligombea Miss Tanzania 2009?

    Yuko wapi Lulu Ibrahim, Miss Kinondoni 2009 na aligombea Miss Tanzania 2009?
  11. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nivyomchakata Miss Tanzania kwa shilingi 50,000

    Baada ya kurudi toka USA nikiwa sina kitu,kazi ya kwanta ilikuwa kutafuta shughuli ya kufanya. Rafiki yangu mmoja tuliyesoma nae High School alikuwa tayari ni boss kwenye kampuni moja ya simu za mkononi. Miaka hiyo ajira hazikuwa za taabu,akanioachika kitengo cha Call center,kazi ya kuoikea...
  12. Poker

    JamiiForums Tanzania Ni Miss Tanzania yupi uliyemuelewa na unayemkubali?

  13. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Makubwa yamkuta Miss Tanzania

    Ni yule mwenye kijungu matata. Yaelezwa kuwa hajatulia. Inasemekana amekuwa anajivunia uzuri wake. Makubwa sana yamemkuta Jionee mwenyewe
  14. Pozzers

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Miss Tanzania: Mshindi wa pili ataiwakilisha nchi katika shindano la Miss World 2021

    Mshindi wa Pili wa Miss Tanzania, Juliana Rugamisa ndiye atakayeiwakilisha nchi kwani mshindi wa kwanza,Rose Manfere amekosa vigezo. Kamati imesema kazi ya BASATA ni kutoa kibali, lakini wao ndio wenye leseni.
  15. MwanaFalsafa1

    JamiiForums Tanzania Theresa Shayo: Miss Tanzania Mwafrika wa kwanza 1967 katika historia ya Tanzania

    M's Tanzania wa Kwanza (Hayati Theresa) Mwaka 1960 ndipo Mashindano ya urembo nchini yalipoanza na hayatakuwa na muonekano wa kimataifa kwa sababu yalifanyika kwenye maeneo machache. Kwani kumbukumbu zilizopo zinaonyesha kwamba mrembo wa kwanza kunyakua taji hilo la Miss Tanzania, si mwingine...
Back
Top Bottom