Kamati ya Miss Tanzania: Mshindi wa pili ataiwakilisha nchi katika shindano la Miss World 2021

Pozzers

JF-Expert Member
Sep 14, 2013
336
560
Mshindi wa Pili wa Miss Tanzania, Juliana Rugamisa ndiye atakayeiwakilisha nchi kwani mshindi wa kwanza,Rose Manfere amekosa vigezo.

Kamati imesema kazi ya BASATA ni kutoa kibali, lakini wao ndio wenye leseni.

IMG_0832.jpg
 
Binti inaonekana aligoma kuachia kipochi manyoya watu wakisasambue🤣🤣🤣.....ila ile mijanaume kwenye Miss Tanzania inabidi iwaachie wanawake wa run shindano lao.
 
Back
Top Bottom