Mashindano ya miss Tanzania.

Mashindano ya miss Tanzania.

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
57,782
Reaction score
165,433
Haya mashindano ya miss Tanzania kwa sasa ni takataka kabisa , binti ana masikio kama popo au kama ya min hapa anashinda ,eti awe anajua kingereza tu , takataka kabisa.

Mtu ana komwe lakutisha anashinda etišŸ¤”, mashavu kama puto nae anaibuka na ushindi kabisa🤣

Waandaaji wa hayo mashindano wajifunze kwa India, ufilipino na American .

Mtu kuwa mweusi sio kigezo cha kushinda miss Tanzania nyumbu nyie , tutawakumbuka sana kina faraja kota na wema sepetu enzi zao🄲
 
Screenshot_20240616-114906~2.jpg
 
Haya mashindano ya miss Tanzania kwa sasa ni takataka kabisa , binti ana masikio kama popo au kama ya min hapa anashinda ,eti awe anajua kingereza tu , takataka kabisa.

Mtu ana komwe lakutisha anashinda etišŸ¤”, mashavu kama puto nae anaibuka na ushindi kabisa🤣

Waandaaji wa hayo mashindano wajifunze wa India, ufilipino na American .

Mtu kuwa mweusi sio kigezo cha kushinda miss Tanzania nyumbu nyie , tutawakumbuka sana kina faraja kota na wema sepetu enzi zao🄲
Pamoja na kua na mambo mengi hivi bado unafatilia haya mambo!????
 
Hawana mvuto wowote ma miss Tanzania wenu , Pumbavu zenu bora muweka hata wenye tako tu kmmmk
Screenshot_2026-08-14_175720.jpg
 
Back
Top Bottom