miradi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Tuliambiwa pesa za tozo za simu ndio zitatumika kwenye miradi ya afya na elimu sasa fedha za IMF je?

    Waziri wa Fedha awe mkweli maana kama kajisahau vile anaendelea kutoa hotuba, alituambia fedha za tozo zitahusika kwenye Ujenzi wa madarasa na huduma za afya, leo hii fedha walizopewa na IMF anataja miradi ile ile kwamba ndio itakayo tekelezwa, huenda labda mm sijaelewa vizuri pamoja na kuwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji NGO ya kushirikiana nayo miradi ya maswala ya afya

    Habari JF, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna mradi wa afya umebuniwa na kampuni ya kitanzania, ila utekelezaji wake ni lazima upitie shirika au asasi ya kijamii. Hivyo naomba mtu anayemiliki NGO au anafanya kazi kwenye NGO au ni mjumbe wa NGO au una mahusiano na NGO yoyote, inayoweza...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Musoma vijijini Prof. Muhongo ameanza kuchafuliwa baada ya kugundua uwepo wa miradi hewa

    Mbunge wa Musoma Vijijini Prof Sospeter Muhongo ameanza kuchafuliwa baada ya kugundua kuwepo kwa miradi hewa na matumizi mabaya ya fedha za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Musoma DC). Mbunge huyo anaungana na Madiwani wengi wanaotaka Tume ya Uchunguzi iundwe. Mkurugenzi aliyehama na Mwenyekiti...
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mhe. Mwambe alibainisha kuwa katika kipindi cha mwezi Machi hadi Agosti, 2021 jumla ya miradi 133 imesajiliwa.

    Ninaomba mwenye Orodha ya miradi iliyotajwa hapo juu aiweke hapa kwa kipindi tajwa hapo juu. Ninaona kama watanzania sasa tunadanyanywa .
  5. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabongo mnakwama wapi kwenye miradi, hata barabara ya Kibaha mliyotuimbia sana humu nayo imebuma kisa fedha

    Mbona hamkukaa mfanye mahesabu ya kueleweka ili mkamilishe hata mradi mmoja tu, mlikurupuka sana kuanzisha miradi kote kote na kuongea ongea sana, kuna kitu kinaitwa "Upembuzi yakinifu", sio unataka ufanye kila kitu. ================================== Dar es Salaam. Licha ya umuhimu wake kwa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la usugu wa changamoto katika utoaji wa huduma za kijamii

    Kushindwa kukamilika kwa wakati katika miradi mbalimbali yamaendeleo na kusuasua kwa utoaji wa huduma kwa ufanisi pamoja na kukosekana kwa ufanisi na weledi katika kusimamia na utoaji wa huduma hizo ni moja kati ya changamoto kubwa nchini. Moja kati ya sababu inayopepelekea kutokea kwa hali hii...
  7. ItsMi

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kusuasua kwa miradi huchelewesha maendeleo ya jamii

    Serikali ina wajibu wa kulisimamia swala hili ambapo tunahitaji mradi ulioanzishwa katika eneo fulani utekelezwe katika muda uliopangwa. Kwa mfano, tukiangazia katika miradi ya ujenzi wa vituo vya afya, shule, barabara, na maeneo mbalimbali ya uchukuzi mfano bandari na viwanja vya ndege. Sisi...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ajenda ya AU 2063 na miradi inayotekelezwa na China ya BRI ni injini ya ukuaji Afrika

    Nchi za Afrika zimejiwekea mikakati ya kiuchumi kulingana na maslahi na hali halisi ya kila nchi. Lengo kuu ni kufikia maendeleo endelevu na kuhimiza ukuaji wa kiuchumi ambao unafaisha watu wengi. Benki ya Maendeleo ya Afrika inakadiria kwamba kiwango cha ukuaji wa uchumi wa Afrika kwa mwaka huu...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia inatekeleza miradi yenye thamani ya TZS 53bl mkoani Singida

    Anyampanda isomeni hii polepole kwa kutulia mtajua ni kwa kiasi gani Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan anawapenda watu wa Singinda, _________________________________________ SERIKALI imetoa Sh.Bilioni 52.975 mkoani Singida kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo...
  10. Jeef George

    JamiiForums Tanzania Fahamu kanunui 12 za utafutaji pesa na miradi zaidi 140

    Habarini wana Jamii forum wenzangu! Natumaini hamajambo ,karibuni tujifunze kwa maendeleo yetu na taifa letu. Naleta kwako andiko hili kwa ufupi na kwa kina kujenga uelewa kwa maendeleo endelevu. Ndimi mwandishi wako Mgasa JF (mkurugenzi wa maandiko JF) Fahamu kanuni za matumizi ya pesa kwa...
  11. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Miradi iliyoachwa na Hayati Dkt. Magufuli yawatesa mafisadi

    Mafisadi wanahaha kila kona jinsi ya kujinasua na hii miradi ya matrilioni iliachwa na Magufuli na ambayo inaonwa na wananchi kama kipimo cha utendaji kazi wa serikali ya sasa. Bila kukamilika kwa hiyo miradi wananchi hawataielewa hiyo serikali. Mafisadi wanajiuliza wauache vipi mradi wa bwawa...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Upo uzembe mkubwa kwa Serikali kusimamia fursa katika miradi ya maendeleo tuliyokopa

    Nimeenda mradi wa maji mmoja tunaoutekeleza hapa nchini kwetu kwa kutumia mkopo wa mabilioni kutoka "EUROPEAN INVESTMENT BANK" pamoja na AFD. Mabilioni haya tuliyakopa tunatekeleza mradi huo kwa kutumia kampuni ya kichina. Kampuni imeajiri wahandisi watanzania wanne na anayelipwa fedha nyingi...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Watu wenye uzoefu wa kusimamia na kuongoza miradi na shughuli za shirika lisilo la kiserikali

    Habari za wakati huu wakuu Naomba kuwasiliana na watu wenye uwezo na uzoefu wa kusimamia na kuongoza miradi ya shirika lisilo la kiserikali. Kwa wale watu ambao waliwahi kufanya kazi kwenye mashirika kama wafanyakazi ,wasimamizi ,viongozi nk, naomba tuwasiliane pls , Pia naomba ushauri na maoni...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Tamasha la siku mbili la utamaduni wa Mtanzania limeanza leo katika viwanja vya msalaba mwekundu

    Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) kwa kushirikiana na Kituo cha Makumbusho cha Bujora Mwanza wameandaa tamasha kubwa la utamaduni lenye lengo la kurithisha utamaduni wetu kwa vizazi vyetu vya sasa litakalofanyika katika viwanja vya Redcross Kisesa Jijini Mwanza kuanzia leo Jumanne Septemba 07...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali yalipa bilioni 212 kwa ajili ya ndege 5

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, amesema kuwa serikali imefanya malipo ya awali ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombardier ndogo 1, pamoja na malipo ya bilioni 50 kwa ajili mradi wa kufua umeme wa katika bwawa la Julius Nyerere...
  16. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Kwanini TAMISEMI haitoi hela ya usimamizi wa miradi yake?

    Sote tunashuhudia mabilioni ya fedha za miradi ya TAMISEMI kwenye Halmashauri kadhaa hapa nchini. Ni hatua kubwa sana kwa maendeleo ya nchi. Tuna miradi ya shule, mabweni, vituo vya afya, Hospitali, nyumba za watumishi, majengo ya utawala n.k n.k Unakuta TAMISEMI Makao Makuu wanaleta fedha...
  17. Peter Madukwa

    JamiiForums Tanzania NACHINGWEA: Mwenge wa uhuru wazindua, kutembelea na kuzindua miradi sita (6) wilayani Nachingwea

    Tarehe 25.8.2021 Mwenge wa Uhuru umetembelea, kuzindua na kuweka jiwe la msingi jumla ya miradi sita katika wilaya ya Nachingwea mkoa wa Lindi. Miradi iliyozinduliwa ni pamoja na mradi wa maji katika kijiji cha Namikango, mradi wa wodi ya wazazi ya kisasa katika hospitali ya wilaya na mradi wa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Je, hii ni hali ya kawaida kwa wale wenye uzoefu?

    Saalam! Wahenga walisema mficha maradhi kifo humuumbua, nami leo nimeona niweke wazi mambo yangu ili niweze kusaidiwa kupitia jukwaa hili ambalo kwangu limejipambanua kuwa suluhisho la matatizo mbalimbali katika jamii. Nisiwachoshe ndg wasomaji niende moja kwa moja kwenye lengo mahususi. Mimi...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tozo za miamala ni njia ya kufidia pesa zinazokujenga miradi kama Burigi National Park na Ikulu Dodoma?

    Ingekuwa sawa kama ongezeko la tozo za miamala na mafuta kwa wanyonge lingelenga kwenda kununua meli kubwa za uvuvi ili tuvue kisasa kwenye kina kirefu, kununua matrekta kwa wakulima ili walime mashamba makubwa, kuchimba madini ya kimkakati kama chuma au kusambaza nishati ya gesi nchini ili watu...
  20. Heinz Consulting

    JamiiForums Tanzania Uombaji wa Ruzuku Pasi na Kutangazwa Wito wa Uwasilishaji wa Michanganuo ya Miradi (Proactive Grant seeking)

    Kuna aina mbili za uombaji wa fedha ama ruzuku kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi; aina ya kwanza ni kuomba ruzuku baada ya kutangazwa wito wa kuwasilisha michanganuo ya miradi (hii tunaita "Reactive Grant seeking") aina ya pili ni uombaji wa ruzuku pasina kutangazwa wito wa uwasilishaji wa...
Back
Top Bottom