miradi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Mfugale fly over, Daraja la juu la Kijazi, Magufuli Bus Terminal, Soko la Chifu Kingalu na Soko la Ndugai miradi iliyotukuka

    Ni miradi iliyofunguliwa na hayati Magufuli. Ni miradi yenye kumbukumbu nzuri katika kurahisisha shughuli za jamii kwa maeneo husika. Ni miradi itakayokumbukwa kwa muda mrefu. Nawasalimu kwa jina la JMT!
  2. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Miradi ya Kimkakati wa Maendeleo na Ubonereshaji Fursa za Ujasiriamali Zimekwama Wapi?

    Wana Jukwaa Bingwa, Miradi ifuatayo imetupwa kapuni au giza limetanda wananchi hawaoni? 1. Barabara ya mzunguko (Ring road) Km 100-Dodoma 2. Uwanja wa Michezo wa Kimataifa (Dodoma International Stadium)-Dodoma 3. Ujenzi Ikulu Chamwino (State House)-Dodoma 4. Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...
  3. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Wahariri wahoji ongezeko la kodi kugharamia miradi isiyo na tija

    Dar es Salaam. Baadhi ya wahariri wanaounda Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) wamehoji mpango wa Serikali kuendelea kugharamia miradi waliyodai haina tija kwa kuongeza kodi na tozo kwenye bajeti ya Serikali. Wakizungumza leo Jumamosi Juni 19, 2021 katika mjadala wa uchambuzi wa bajeti ya...
  4. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu, inakuwaje mnatuambia Miradi ya Hayati Dkt. Magufuli inaendeshwa kwa mikopo mikubwa na migumu kuhimilika?

    “Hatujaweka kodi kwenye laini za simu kama ambavyo baadhi ya wananchi wamekuwa wakichanganya, hata kule Bungeni wanachanganya wanasema sasa kila siku itakuwa inakatwa shilingi 10 mpaka 200 kwa hiyo kama ni 200 kwa siku 30 ni shilingi 6000, halafu hata kama hukuweka fedha, siku ukiweka inakatwa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tumalizane na miradi ya umeme iliyopo kabla ya kupokea mikopo ya umeme wa jua

    Tupo katika harakati za kutegemea umeme unaozalishwa na maji na gesi bado tena tunapokea mikopo ya umeme wa jua hii ina maana gani? Nimefikiria sana sawa ni vyema kuwa na kutumia nishati aina mbalimbali. Lakini kwanini tusingejikita kukamilisha miradi ilioanzishwa (Bwawa la Nyerere na gesi)...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mbatia achachamaa, ahoji Deni la Taifa limefikaje Tsh 71 trilioni? Ataka Serikali iombe radhi

    Mwenyekiti wa NCCR, Mageuzi Mh. Mbatia amehoji inakuwaje leo tunaambiwa deni la taifa limefika tsh 71 trilioni? Kwa miradi gani mbona hatuioni? Mbatia amedai mbona serikali ilikuwa inatuambia haikopi ila inatumia fedha zetu za ndani? Mbatia ameitaka serikali iombe radhi wananchi kwa...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Boniface Getere: Miradi inayopita Butiama ina shida gani? Barabara haijakamilika tangu 2013

    Mbunge wa Jimbo la Bunda, Boniface Mwita Getere amesema Mkandarasi alipewa Barabara tangu 2013 na amalize 2015 lakini hakumaliza. Alipewa tena 2015-2017, 2017-2019, 2019-2021 na bado hajamaliza Ameeleza, "Miradi inayopita Butiama kuna shida gani? Katika mradi ambao unatia aibu katika Mkoa wa...
  8. Leak

    JamiiForums Tanzania Kukwama kwa miradi mikubwa ya NHC kunaumiza, kunaliza kunasikitisha sana. Ni wazi Nehemia Mchechu alikuwa bora? kwanini Lukuvi na Jenista bado wapo?

    Wasalaam Ni wazi kila Mtanzania anajua kabisa hali iliyokuwa nayo shirika la nyumba la Taifa kabla ya ujio wa awamu ya tano ya Hayati John Magufuli... ni wazi kila mmoja wetu atakubaliana nami kuwa shirika lilikuwa limechangamka na lilikuwa na muelekeo mzuri sana na watanzania walikuwa...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Burundi kuendeleza miradi ya pamoja ya maendeleo

  10. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miradi mikubwa inayokamilika Mombasa imefanya huo mji kufunguka balaa

    Mombasa panazidi kunoga.... Port Reitz and Moi International Airport Access Road in Mombasa Over the past couple of years, mega infrastructure developments have been taking shape in Mombasa County geared towards enhancing its image as the gateway to East and Central Africa and as the tourism...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde aishukuru Serikali kwa utekelezaji wa Miradi ya Elimu jijini Dodoma

    Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde ameishukuru Serikali kupitia Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kwa utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa madarasa na matundu ya vyoo kwa shule za msingi nne za Dodoma Jiji ambazo ni Shule ya Msingi Kisasa,Medeli,Kizota na Mlimwa C. Mradi huu ambao...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza: Maji bado ni kilio kikubwa licha ya miradi kuwepo

    Mbunge Juliana Shonza suala la maji limeendelea kuwa kilio kikubwa cha wananchi licha ya Wizara ya Maji kupelekewa fedha nyingi huku vilio vikitoka kwenye maeneo yale yale ambayo Serikali tayari imepeleka miradi mikubwa Ameeleza hayo Bungeni wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Maji na...
  13. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Wakenya wametupiga bao sana kwenye uwekezaji nchini

    Wakuu Kenya ina jumla ya kampuni 529 zinazoendesha shughuli zake nchini Tanzania ambapo zimewekeza Dola za Marekani Bilioni 1.7 na zimeajiri watu 56,260. Tanzania sisi sasa tuna kampuni 30 tu. Je, tumekwama wapi kama Nchi? Nini kifanyike? Waalimu, Wahudumu katika hoteli nyingi ni Wakenya...
  14. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Monduli, Fredrick Lowassa amechangia Sh. milioni 11 katika miradi ya maendeleo katika vijiji

    Mbunge wa Monduli, Fredrick Lowassa amechangia Sh. milioni 11 katika miradi ya maendeleo katika vijiji vya ujenzi wa nyumba ya daktari wa wilaya hiyo ikiwa ni utekelezaji wa ahadi zake kwa wapiga kura wa jimbo hilo. Aidha Lowasa alisema fedha hizo ni mchango wa ofisi yake kwa kushirikiana na...
  15. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Miradi kwa manufaa ya taifa

    LIJUE BOMBA LA MAFUTA LA TANZANIA UGANDA. NA ELIUS NDABILA 0768239284 Hivi karibuni Rais wa Tanzania Mhe Mama Suluhu Hassan na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Mseveni waliongoza utiaji wa saini ya kuanza kwa Ujenzi wa bomba la Mafuta la Tanzania mpaka Uganda. Historia ya Ujenzi huu ni matokeo ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Je, miradi ya kimkakati bado inaendelea huko Chato?

    Kipindi cha awamu ya tano tuliona miradi mingi inapelekwa chato, tumeona hospitali kubwa na ya kisasa. uwanja wa ndege, mbuga ya kitalii, hoteli ya nyota tano vyote hicho vikijenga chato, Je ile miradi mingine kama uwanja wa kisasa wa michezo inaendelea?
  17. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Miradi mikubwa ya Hayati Magufuli ni majanga yajayo ya kiuchumi

    Ameandika hivyo kupitia twitter: Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo ya kiuchumi. Namshauri Rais Samia kuunda Tume ya Uchunguzi kabla mambo hayajaharibika zaidi.
  18. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kama Serikali inashindwa kuendeleza miradi midogo kabisa ya Mabasi ya mwendokasi. Je, hiyo treni na ndege wataweza kweli?

    Serikali haiwezi kufanya biashara. Hasa hizi za kwetu. Kama Waziri Mkuu anaona madudu kwenye mradi wa mwendokasi. Kama Serikali imeshindwa kufanya miradi ya reli ya Kati na TAZARA, vivuko, ndege na sasa Mabasi ya mwendokasi kujiendesha ni wakati wa kubadili mtazamo. Wajiondoe waruhusu sekta...
  19. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Taarifa juu ya Miradi ya Mendeleo iliyotekekezwa awamu ya tano ilijaa upotoshaji mkubwa kwa Wananchi

    Wananchi wengi walikuwa hawaambiwi ukweli na uhalisia wa miradi iliyotekelezwa awamu ya tano. Kiasi cha Wananchi kuwa taarifa zisizo sahihi juu ya miradi hiyo huku wengi wakidhania ilikuwa imekamilika kwa 100%. Mfano ni kweli vituo vya afya 460+ na Hospitali za Wilaya zaidi ya 65 zilijengwa...
  20. Replica

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Miradi yote ya awamu iliyopita itatekelezwa

    Baada ya hoja kadhaa wiki hii kuibuka za kumuacha Rais Samia Suluhu aidha Kuandika kitabu chake au aendelee na kilichopo, waziri mkuu wakati akihitimisha hoja yake ya bajeti, amesema serikali ya awamu ya sita itaendelea kukamilisha ahadi zikizotolewa wakati wa kampeni zilizopo kwenye ilani ya...
Back
Top Bottom