Tujikumbushe Miradi ya CCM (Shule, Viwanja vya Michezo, Majengo, Mashamba nk)

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,957
141,944
Kuna Watu wanaichukulia CCM kizembe zembe lakini chama hiki kina mikakati ya maendeleo kwa Miaka mingi sasa

Tokea mwenyekiti Mwalimu Nyerere CCM imekuwa ikimiliki vitega uchumi.na Miradi mbalimbali mfano Viwanja vya Michezo Sokoine, Kirumba, Majimani, Samora nk....nk

Shule mbalimbali ikiwemo Kaole na Mwembetogwa

Shamba la mfano Ihemi Iringa

Chuo cha Siasa Kivukoni

Kituo cha television Channel ten nk...nk

CCM ni Chama Cha Maendeleo na Demokrasia ya kweli siyo ya Mchongo kama ile ya Ufipa st

Mungu wa mbinguni awabariki wote!
 
CCM watoe vitega uchumi vyote vinavyomilikiwa kabla ya CCM kuzaliwa vilivyobaki ndio stahili yao
Pia CHADEMA, TLP na NCCR waache harakati, wakiwa wanawaza kushika dola pia vitega uchumi wahakikishe wanakua navyo
 
CCM ndio Tanu na ASP
 
CCM ndio Tanu na ASP
Ila kabla ya ccm wazazi wetu hawakua na alternative ya chama zaidi ya TANU. Means hata viwanja walichangia
Huoni imefika wasaa hivyo viwanja viwe vya umma kwa maana kila mmoja alichangia hata kama hakua na chama
 
Kama unaipenda Miradi rudi CCM
 
Kuna Watu wanaichukulia CCM kizembe zembe lakini chama hiki kina mikakati ya maendeleo kwa Miaka mingi sasa

Tokea mwenyekiti Mwalimu Nyerere CCM imekuwa ikimiliki vitega uchumi.na Miradi mbalimbali mfano Viwanja vya Michezo Sokoine, Kirumba, Majimani, Samora nk....nk

Shule mbalimbali ikiwemo Kaole na Mwembetogwa

Shamba la mfano Ihemi Iringa

Chuo cha Siasa Kivukoni

Kituo cha television Channel ten nk...nk

CCM ni Chama Cha Maendeleo na Demokrasia ya kweli siyo ya Mchongo kama ile ya Ufipa st

Mungu wa mbinguni awabariki wote!
Pole, nadhani wameongeza tozo kwenye buku saba zenu. Kuweweseka kumeongezeka sana.
 
Kuna Watu wanaichukulia CCM kizembe zembe lakini chama hiki kina mikakati ya maendeleo kwa Miaka mingi sasa

Tokea mwenyekiti Mwalimu Nyerere CCM imekuwa ikimiliki vitega uchumi.na Miradi mbalimbali mfano Viwanja vya Michezo Sokoine, Kirumba, Majimani, Samora nk....nk

Shule mbalimbali ikiwemo Kaole na Mwembetogwa

Shamba la mfano Ihemi Iringa

Chuo cha Siasa Kivukoni

Kituo cha television Channel ten nk...nk

CCM ni Chama Cha Maendeleo na Demokrasia ya kweli siyo ya Mchongo kama ile ya Ufipa st

Mungu wa mbinguni awabariki wote!
Viwanja ulivyovitaja vilikuwa vya serikali hata kabla ya Tanu kuanzishwa na viliboreshwa wakati wa mizunguko ya sherehe za Sabasaba mikoani, vyama vingi vilipoanza CCM walitaka kuuchukua uwanja wa taifa ila mambo hayakuenda sawa, nakumbuka na ile ndege ya rais Foker 27 waliyoibatiza CCM 1 nayo waliichukua ila iliwashinda gharama za maegesho na kuiendesha hivyo wakairudisha serikalini, kwa Tanzania mwizi tajiri husifiwa.
 
Unajua uwanja wa CCM Kirumba
 
CCM ni ma TP (tapeli)tu ,chukulia ule uwanja wa maonyesho ya SABASABA Iringa Yale majengo yalijengwa na mashirika ya umma na makampuni ya kibiashara Kwa mfano unavyoingia geti la kutoke Highland liliKuwa la kanisa katoliki,idara ya maji,vaculug,RTC (Soweto),gapex,wizara ya kilimo na mifugo,magereza tanesco,Sido nk nk,Leo tunaambiwa CCM Iringa vijijini ndio wamiliki wa majengo Yale ,CCM hii hata hii miradi ya Sasa mnayotumia FORCE ACCOUNT mtakuja kuvidhulumu vitoto vyetu kuwa Mwenyekiti wa CCM taifa marehemu J P Magufuli alijenga, na akamrithisha uemyekiti wa CCM taifa Mama SSH yeye ametoa Hela za ujenzi miradi ya kimkakati
 
CCM ni ma TP tu ,chikulia Ile uwanja wa maonyesho ya SABASABA Iringa Yale majengo yalijengwa na mashirika ya umma na makampuni ya kibiashara Kwa mfano unavyoingia geti la kutoke Highland liliKuwa la kanisa katoliki,idara ya maji,vaculug,RTC (Soweto),gapex,wizara ya kilimo na mifugo,magereza tanesco,Sido nk nk,Leo tunaambiwa CCM Iringa vijijini ndio wamiliki wa majengo Yale ,CCM hii hata hii miradi ya Sasa mnayotumia FORCE ACCOUNT mtakuja kuvidhulumu vitoto vyetu kuwa Mwenyekiti wa CCM taifa marehemu J P Magufuli alijenga, na akarithisha uemyekiti wa CCM taifa Mama SSH yeye ametoa Hela za ujenzi miradi ya kimkakati
Kwa sababu umenipa mfano wa Uwanja wa 7 7 Iringa ambao naufahamu sana na nimecheza sana Disco pale Soweto DJ akiwa Felician sitakubishia

Ila usisahau geti la kutokea kule barabara Kuu kuna Ofisi za CCM tokea Uwanja unajengwa
 
Ile ukumbi wa DiSCO wa SOWETO ulichangamsha Sana Iringa
 
Kuna Watu wanaichukulia CCM kizembe zembe lakini chama hiki kina mikakati ya maendeleo kwa Miaka mingi sasa

Tokea mwenyekiti Mwalimu Nyerere CCM imekuwa ikimiliki vitega uchumi.na Miradi mbalimbali mfano Viwanja vya Michezo Sokoine, Kirumba, Majimani, Samora nk....nk

Shule mbalimbali ikiwemo Kaole na Mwembetogwa

Shamba la mfano Ihemi Iringa

Chuo cha Siasa Kivukoni

Kituo cha television Channel ten nk...nk

CCM ni Chama Cha Maendeleo na Demokrasia ya kweli siyo ya Mchongo kama ile ya Ufipa st

Mungu wa mbinguni awabariki wote!
CCM haikuwahi kuwa na miradi yake yenyewe labda ule wa SUKITA ambao nadhani ulishakufa na Bendi ya Umoja wa vijana. Hayo majengo mashule na viwanja ilikuwa ni mchango ya wanachi wote chini ya chama kimoja. Baada ya kuwepo vyama vingi ilitakiwa mali hizo zilzopatikana kwa nguvu ya umma zipelekwa serikalini, lakini wao wakahodhi. Kwa mfano uwanja wa Kirumba haukujengwa kuwa uwe wa CCM bali ulikuwa uwe wa jiji la mwanza katika kuandaa sherehe za kuzaliwa Azimio na CCM. Lakini wao wakaufanya kuwa ni wa CCM.
 
Maelezo yako mwishoni yanathibitisha Kirumba ni mali ya CCM
 
Back
Top Bottom