mipango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RRONDO

    JamiiForums Tanzania Mjini Mipango: Unaweza kuanza hii biashara hata kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest

    Leo nimeenda kukodisha mbao. Yule jamaa nimemuachia 30,000/- kwa mbao 20! Jamaa ana mbao nyingi tu Kwa ajili ya kukodisha. Nimefikiria unaweza kuanza hii biashara hata Kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest. Imagine huyu mtu akipata wateja wawili tu kama mimi anatengeneza 60,000/-...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi afuta waraka unaokataza madiwani kuidhinisha mipango ya uendelezaji miji

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amefuta waraka namba moja unaowaondoa madiwani kushiriki katika shughuli za uidhinishaji mipango ya uendelezaji miji katika halmashauri zao uliotolewa na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Makazi nchini. Kabla ya kutolewa waraka huo mpya...
  3. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Tupo katikati ya 2021, je kuna maendeleo kwenye mipango yako?

    Habari wana JF, Mwaka umefika nusu, je una progress vizuri kwenye mipango yako uliyojiwekea au ndiyo hivyo tena tunasubiri mwaka uishe tutoe lawama? Ni wakati mzuri wa kujitathmini. Asanteni
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, magoli Mawili ya 'Mipango' aliyofungwa leo Kipa wa JKT Tanzania na Yanga SC yamezingatia Goal keeping Principles Wadau?

    Hata Mimi GENTAMYCINE na Uzee wangu huu wote wa sasa sifungwi Magoli ya Kizembe kama yale aliyofungwa leo Kipa wa JKT Tanzania. Na kilichonishangaza zaidi ni kwamba pamoja na Kipa huyo wa JKT Tanzania Kufungwa leo Magoli yale Mawili na Yanga SC ukimuangalia Usoni wala haonyeshi ama Kusikitika...
  5. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Ni nchi gani yenye mipango miji mibovu zaidi ya Tanzania?

    Nilikua napita pita kwenye Google Earth nimegundua miji mingi Tanzania imekaa hovyo hovyo sana. Kuna nchi ziko jangwani kabisa lakini wamejenga kwa mpango mzuri. Hata DRC ambayo kuna migogoro kila mara bado kumepangwa vizuri. Tanzania badala ya kujenga miji mipya wanabomoa ya zamani na kujenga...
  6. Kasomi

    JamiiForums Tanzania CAG Acha kitete sema ukweli

    Wakuu habari zenu mimi ni mtoto wenu Emmanuel Kasomi leo hii nataka kuongea na CAG aache kitete, asiogope na Afunge. Ukifuatilia report za CAG anazo toa kuna sehemu anazilinda. Kwa wanao fuatia report za CAG amelaani sehemu nyingi kua zilijiendesha kwa Hasara. Swali kwa CAG Je, katika report...
  7. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dkt. Mpango ni mpango kamili?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameendelea kuwashangaza na kuwapa matumiani Watanzania kwa namna alivyoanza utendaji wake wa kazi, taratibu na kwa uhakika anathibitisha kwamba kauli yake kwamba nchi iko kwenye mikono salama na hakuna kitakachoharibika. Uteuzi wa Dk...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Matumizi mabaya ya fedha ni adui wa mafanikio

    Pesa hii ina majina mengi hii ni kutokana na mahali husika wapo wanaita pesa ni sadaka, nauli, zaka, fungu la kumi, Ada, kodi na majina mengine mengi. pesa hiyo ndiyo ambayo hujenga mtafauruku baina ya mtu mmoja na mwingine. Pesa hiyo hiyo tunaimbiwa haina undungu kabisa biana ya mtu mmoja na...
Back
Top Bottom