mipango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Ili Air Tanzania iweze kupenya soko la ulaya inabidi ifanye mipango na mikakati ya muda mrefu.

    Juzi kati hapa kulikuwa na mjadala niliokutana nao humu mtandaoni kuhusiana na Air Tanzania kufanya safari za moja kwa moja ulaya hadi hapa Tz. Kiukweli mjadala ule ulinivutia kwa kiasi chake ,lakini binafsinikagundua ili shirika hili liweze kupenya soko la ulaya itahitaji mipango,ubunifu na...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kilichohamasishwa na upinzani ni uchaguzi huru na wa haki sio vurug, tuache kugeuza mambo

    Kilichohamasishwa na watanzania ni uwepo wa uchaguzi huru na wa haki sio vurugu, sio kumteka mtu, sio kumpiga mtu haya madai ya Dkt. Mpango kuwa ni vurugu yanatoka wapi na nani aliyeyasema? Nilimsikia dkt. Mpango akihamasisha wazazi wasiwahusishe watoto kwenye vurugu, sasa uchaguzi huru na wa...
  3. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 SI KWELI Maria Sarungi asuka mipango ya chadema kuvamia mahakamani

  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku Mjumbe Maalum wa Kumuwakilisha Rais Samia duniani ni Rais Mstaafu Kikwete na siyo Makamu Mipango au Premier Majaliwa?

    Wiki hii nzima alikuwa anazurula tu hapa Kampala Uganda na baadae akaenda Gulu na muda si mchache kaonekana huko nchini Ethiopia na kote anapeleka tu Ujumbe Maalum wa Rais Samia.
  5. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hawa maafisa mipango miji, hili likoje?

    Nipo hapa Dodoma ni mwaka wa 18 mpaka hivi sasa, cha kushangaza katika miji mingi wanapima viwanja lakini wanasahau kuweka viwanja vya michezo pamoja na vya kucheza watoto! Inatakiwa hili waliangalie kwa hicho la Huruma ili tuepukana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza,kama vile unene...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Waziri mlevi wa ulinzi wa Marekani ajisahau na kuvujisha kwa mwandishi habari mipango ya kivita kwa Yemen kupitia WhatsApp!

    Raia wa Marekani wamepigwa na butwaa baada ya mwandishi wa gazeti la Atlantic ambaye ni mhariri kudai aliungwa kimakosa na waziri wa Ulinzi wa US katika group la WhatsApp lilikouwa likijadili mipango ya mashambulizi kwa Houthi huko Yemen. Group hilo la WhatsApp lilijumuisha viongozi wakubwa wa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Idara ya Utafiti Sera na Mipango mbona imesahaulika CDM

    Nimepitia idara zilizoanzishwa na viongozi wake kwenye awamu hii ya Lissu makao makuu ya Chadema, ninahisi idara muhimu ya utafiti, sera ,mipango na teknolojia haipo au wamepitiwa tu. kiukweli idara hii ni muhimu ikawepo kwa vile kuelekea kushika dola suala la utafiti, sera na teknolojia za...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mahitaji ya watu wa mikoa ya kaskazini ni barabara za lami, reli na mipango miji na sio umeme kutoka Ethiopia!

    Mikoa ya kaskazini imekuwa na umeme tangu zamani. Kwa mfano Kilimanjaro kila kijiji kimeunganishwa na gridi ya Taifa. Kama rais Samia anatafuta kitu cha kuwafanyia watu wa mikoa ya kaskazini basi afanye haya: 1. Barabara za lami 2. Reli ya mpya (SGR) 3. Mipango miji 4. Viwanda Kusema ataleta...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mshikaki wa serikali vs nyama choma ya wananchi unavyo watofautisha kwenye mipango yao swala ubaya .

    Mshikaki unabeba viungo ambavyo vinafanya mda mfupi kuiva haraka. Kwa mtazamo unaona kabisa serikali inaweza kuwa mshikaki sababu ina viungo vyote. Ukija upande wa nyama choma kwa wananchi hawa watu mpaka kuwa nyama choma wamechukua mda mrefu kuwa nyama choma. Maswala mengi ambayo yanafanywa...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ndio tunaingia mwezi wa tatu wa mwaka huu mpya, vipi unaonaje mwelekeo wa mipango (resolutions) yako ya mwaka huu? Apeche alala au Apeche alolo?

    All in All ukata ni wa moto sanaa tena ukiongezea na hili jua kali hivi unachomeka kisawa sawa hadi unaanza kunukia kama ndafu. Ila tushazoea Uafrika wetu huu, mapambano yanaendelea hadi hio 31st of december.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kenya imetoa mwanya kwa Congo River Alliance's kufanya mipango ya mapinduzi Congo na RSF kuigawa Sudan

    Kenya katika EAC inaelekea kuwa kitovu cha mipango hasi dhidi ya serikali kadhaa za ukanda huu. Kabla ya vita kupamba moto DRC, viongozi wa makundi mbalimbali ikiwemo M23 walikutana Kenya na kuunda umoja wao yaani Congo River Alliance's baada ya hapo vita ikazuka ya nguvu sana DRC, mipango hii...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Naibu waziri mipango na uwekezaji: Makampuni ya mikopo wanaotoza riba kubwa kunyang'anywa leseni

    Makampuni yanayojihusisha na mikopo umiza yameonywa kuacha tabia ya kutoa mikopo bila kufata utaratibu na kuishia kuumiza wananchi kwa kutoza riba kubwa. Naibu waziri wa nchi ofisi ya raisi mipango na uwekezaji Stanslaus Nyongo ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa jengo la ofisi za hazina ndogo...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Singida: Serikali yakiri Kijiji cha Dominiki kina changamoto ya maji, yaelezea mipango

    Siku chache baada ya Wananchi wa Kata ya Mwangeza, Wilaya ya Mkalama mkoani Singida kulalamikia kuchota dumu sita hadi 12 ili wapatiwe huduma ya afya katika Zahanati ya Dominiki ikiwemo kwa Wanawake wanaotaka kujifungua kutokana na changamoto ya maji, Mamlaka husika imekiri uwepo wa changamoto...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mipango Miji: Kwanini kuna stendi holela za mabasi wakati kuna stendi ya Magufuli jijini Dar???

    Katika jambo la kushangaza ni uholela wa stendi za mabasi ya abiria yanayofanya safari kati ya dar es salaam na mikoa mbali mbali nchini kuwa na vituo vyao binafsi tofaiti na kituo stahiki cha serikali cha magufuli kilichopo mbezi mwisho Kwa wakazi wa dar kuanzia magomeni mpaka ubungo kuna...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tunategemea kuona hoja na mipango ya kimaendeleo kwa wagombea kuelekea uchaguzi lakini badala yake tunaona vituko na maigizo yasiyo na maana

    Nchi imeingia kwenye siasa mbaya naweza kuziita za ki "mbumbumbu" sana tangu kupata uhuru yani siasa za maigizo na vituko badala ya siasa za hoja na maono na mipango mbalimbali ya kimaendeleo kutoka kwa wagombea badala yake tunaona mara sijui waziri anagala gala chini mbele ya mgombea mara...
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali imeendelea Kuboresha Mipango Miji na Vijiji kwa maendeleo ya nyumba na makazi Kupitia programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK)

    Serikali imeendelea Kuboresha Mipango Miji na Vijiji kwa maendeleo ya nyumba na makazi Kupitia programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK). Program hiyo imeweza kupima viwanja 538,429 katika halmashauri 90 nchini kwa kipindi cha kuanzia 2020 hadi 2024. Pakua Samia App kupitia Play Store...
  17. Gabeji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 January Makamba mipango yako ya urais Samia kaivuruga leo, jipange vizuri pamoja na timu yako 2030

    Wewe una watu wengi sana nyuma yako, kaa vizuri Na kikwete, kinana, samia, husein, wasira, Rostam I'li uweze kutimiza ndoto zako 2030.
  18. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Asif Rahman aliyekuwa C.I.A, akiri kuvujisha siri za mipango ya Israel kuishambulia Iran

    Mchambuzi wa zamani wa CIA Asif Rahman alikiri katika mahakama kwa kuvujisha rekodi za siri, ikiwa ni pamoja na mipango ya Israeli kuishambulia Iran. Rahman, aliyekamatwa nchini Kambodia mnamo Novemba na baadaye kuletwa Guam, alikiri kupata, kuchapisha, na kuzigawa mnamo oktoba. Alijaribu...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo kufanya mipango ya miaka 25 bila mawazo ya Diaspora ni kutoangalia mbali

    Kuna diaspora wengi wasomi, wafanyabiashara, na wafanyakazi wenye uzoefu mkubwa ambao wangetoa mawazo bora kwa maendeleo. Badala ya kutegemea wasomi wa aina ya Mkumbo wanaokariri, ni muhimu kuomba mawazo ya diaspora kwa manufaa ya umma na kuyachanganya na fikra nyingine. Hawa diaspora...
  20. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mipango ya Team Mbowe (FAM) kushinda uchaguzi, Kujitangaza ni 100%

    1. Kuna idadi ya makatibu wengi sana wanabadirishwa kipindi hiki. Makatibu ni waajiriwa ukigoma huna kazi. 2. Makatibu wa ngazi za chini kupeleka majina yenye makosa mikoani ili washi dwe kujisajili. 3. Support ya sirikali, kama ilivyo tokea kwa mbatia nccr mageuzi. 4. Vitisho vinaendelea...
Back
Top Bottom