Asilimia kubwa ya wanywa pombe ni watu wenye mipango mizuri ya maendeleo

Ramon Abbas

JF-Expert Member
May 4, 2021
1,964
3,900
Connection nyingi za kazi mara nyingi utazikuta Bar.

Ukiwasikiliza walevi mazungumzo yao huwa ni ya maendeleo tu kama ujenzi, harusi, miradi mbalimbali n.k

Kazi yangu ya mwisho (temporary) nimeipatia Bar baada ya kuhangaika for 4 yrs.

Na kazi inayofuata (naiombea iwe) imepatikania kwa kuwa connected na mtu wa Bar.
 
Hakuna sehemu nzuri kama bar,ni ngumu sana kwa mtu wa kawaida kulielewa hili,intention yako ya kwenda ndio itasababisha matunda au out comes yako
Mf. ukisema unaenda nikapate mawazo mazuri utayapata maana utaomba ushauri bila woga wowote,
MF,ukisema unaenda bar nikakamate mlupo hakika ni fasta sana utaachieve target.
Kwenye mabaa siyo sehemu mbaya au za kialifu kama wengi wanavyodhania,japo pia wahalifu huwepo,just likes in a churches or in a masjid,mwote humo kuna waswalihina na waovu pia but let's be based in positives ways.
MIPANGO YA HARAKA YA FEDHA IPO BAR,PLANI NZURI ZA MAISHA ZIPO BAR.
::TUKUMBUKE KWENDA BAR,TUSIHUSISHE NA ULEVI.
KWANI MLEVI NI MGONJWA WA AKILI.
sijui nitaeleweke
TUNAZIOMBA MAMLAKA ZA NCHI YETU ZIRUHUSU POMBE KUNYWEKA NYAKATI ZOTE MIDA YA KAZI KILA BINADAMU HUWA NA RATIBA YAKE YA MUDA WAKE WA KAZI, LETS GIVES PEOPLES REAL FREEDOM.
(Binafsi kazini huenda saa 8 usiku,na humaliza kazi zangu saa 4 asubuhi.)
 
Connection nyingi za kazi mara nyingi utazikuta Bar.

Ukiwasikiliza walevi mazungumzo yao huwa ni ya maendeleo tu kama ujenzi, harusi, miradi mbalimbali n.k

Kazi yangu ya mwisho (temporary) nimeipatia Bar baada ya kuhangaika for 4 yrs.

Na kazi inayofuata (naiombea iwe) imepatikania kwa kuwa connected na mtu wa Bar.
Umejichanganya mahali,inaonekana hujui tofauti ya walevi na wanywaji wa pombe,hao unaosema wewe wako poa ni wanywaji wa pombe sio walevi...
 
Inategemea na aina ya watu unaokutana nao, ukiwa wa hovyo hovyo na unakutana na watu wa hovyo hovyo huwezi kuona hiyo michongo, wengi tunaenda bar tukiwa na michongo kichwani, ukikutana na mtu ambaye unaona anaweza kutengeneza team unatoa pass, cha msingi kama hauna mchongo ukikutana na mtubambaye unaona ana connection usijiweke nyuma nyuma wala kujipendekeza, jieleze ufanisi wako aidha kwa experience, ubunifu au elimu
 
Upo sahihi kuna sku napata vitu mwanza maeneo flan akaja mzee flan anauliza hapa kuna mtu nkamkaribisha hee kumbe ni waziri ...aisee kuku zlipigwa jamaa kumbe yupo social sana na anakula bata hasa...( Jna kapuni)...
 
Jipe moyo mlevi wewe.

Unachojaribu kufanya hapa ni matokeo ya Guilt Conscience. You hate drinking but sadly you can't quit, hivyo ubongo wako uliodhoofishwa na pombe unatengeneza stupid excuses ili nafsi yako ijiskie vizuri.

Find help!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani me ni shuhuda ktk hili,nimepata kitu flani muhimu huko bar.

Bar zidumu
 
Ukiwa Bar na wanywaji wenzako wanakuwa na uchungu na wewe kuliko Ndugu zako wa KUZALIWA.

Hilo utalijua pale utakapowaomba ushauri, zingatia wawe wanywaji na siyo walevi. Ushauri wao huwa Ina UKWELI asilimi kubwa approximately 80pc.
 
1 Tim 5:23
Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara.
 
Upo sahihi kuna sku napata vitu mwanza maeneo flan akaja mzee flan anauliza hapa kuna mtu nkamkaribisha hee kumbe ni waziri ...aisee kuku zlipigwa jamaa kumbe yupo social sana na anakula bata hasa...( Jna kapuni)...
Iliwahi nitokea suala la aina hiyo,jamaa alikuwa anakagua shughuli zake akiwa amevaa kofia yake pembeni na eneo alilokuwa anakagua nilikuwa na kabaa kangu,jamaa akakaribia akapiga AKILI 2 na wenzake wakapiga soda maongezi yakaendelea pale nakumbuka mpaka simu tulipeana namba.
N.b.hii ni jinsi gani pombe huleta udugu wa ajabu tena kwa watu wa namna zote bila kujali cheo mamlaka umaarufu wala nini...!
YESU ALIWAHI KUYAGEUZA MAJI YAKAWA DIVAI SAFI SANA.
N.B:-NACHUKIA SANA ULEVI,MIMI NI MNYWAJI TU.
(sijui nitaeleweka)
 
Back
Top Bottom