Mwaka 2024, Rais Samia alinukuliwa akisema kuwa "katiba ni kijitabu tu." Kauli hii imeacha maswali mengi na kuibua hisia tofauti kwa wananchi, wanaharakati, na wataalamu wa sheria. Kwa mtazamo wangu, hii ilikuwa ni kauli ya kosa kubwa sana kwa sababu zifuatazo:
1. Katiba ni zaidi ya kijitabu...