Kizibo
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 4,605
- 10,453
Jwtz acheni kutuongopea wananchi.
Mnasema mliapa kulinda mipaka ya nchi, lakini mbona hamlindi vilivyomo ndani ya mipaka??
1 MIPAKA
Hiyo mipaka yenyewe mbona hamuilindi?? Kama mnalinda mipaka, kwanini toka kabla ya tarehe 29 Oct 2025 kulikuwa na tetesi kuna watu wameingizwa nchini kuua waandamanaji, na kuzi Nchemba amekiri katika waliokuwa na silaha kulikuwa na watu waliokuwa hawaongei kiswahili, kwa maana hawakuwa watanzania. Sasa hiyo mipaka mnayolinda ni mipaka gani ikiwa adui wanaingia na wanafanya mauaji nchini????
2 WANANCHI
Wananchi wamekuwa wanatekwa, wanaumizwa, wanateswa, nyie mpo tu na hamuwalindi wananchi wakati nyie ni jeshi la ulinzi wa wananchi wa tanzania??
3 KATIBA
Mnajinasibu kuwa mliapa kuilinda katiba ya jamhuri wa muungano qa tz, lakini mbona katiba hiyo imekuwa ikikiukwa tena wazi wazi kwa mara kadhaa na hamchukui hatua zozote??
Kwa mfano, kwa mujibu wa katiba ya nchi, uchaguzi wa mwaka huu, mchakato wa kumpata mgombea wa urais kwa tiketi ya Ccm, ulitakiwa uanze mchujo ndani ya chama. Lakini kwa kukiuka katiba ya nchi makusudi, walimteaua tu Samia agombee. Nyie hiyo katiba mnayolinda ni katiba gani???
4 Rasirimali za nchi.
Ufisadi na wizi wa mali za umma umekithili nchin. Wanasiasa na watawala wanaiba sana rasirimali na nchi (ushahidi ni report ya CAG ya kila mwaka), nepotism serikalin tena wazi wazi, nyie mpo tu hamchukui hatua yoyote halafunatuongopea eti nyie ni jeshi la wananchi na kwamba mnalinda mipaka ya nchi na kuilinda katiba.
Mipaka hailindwi
Wananchi hawalindwi
Katiba haikindwi
Rasrimali za nchi hazilindwi.
Sasa nyie ni jeshi la kulinda nini??? Mnalinda nini??
Mnalinda watawala badala ya wananchi, katiba na rasirimali za taifa??
Wanajeshi wetu na jeshi letu kiukweli mnatusaliti wananchi.
Haya, tukisema wanannchi tuandamane kulikomboa taifa mnatusaliti kwa kuungana na polisi na watawala kutuua.
Mkunda akawaita waandamanaji eti ni wahalifu, lakini watawala wanaokiuka katiba na kuiba raslimali za taifa kwa ufisadi anawapigia saluti na kuwatii