Nikigombana na mke wangu anafuta kila kinachohusiana na mimi kwenye simu yake.

Maleven

JF-Expert Member
Sep 8, 2019
693
3,438
Hili nadhani ni tatizo la akili au sijui nini, yani tukipishaba kauli, kila kinachonihusu mimi kinafutwa hadi namba ya simu.
Baadae ana isave tena namba yangu ila ananisave majina ya ajabu ajabu, nimepiga mikwala ila imeshindikana, kuna mwenye experience na hili?
 
Experience ni kwamba unaishi na mtu mwenye matatizo ya akili, na matokeo ni kuwa ipo siku atakumwagia mafuta ya moto au tindikali au kukuchoma kisu. Na ikitokea akafanikiwa kuku ua mahakama itaamua kuwa ni man-slaughter, basi mambo yataishia hivyo
 
Back
Top Bottom