mimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi: Je, kwa hali hii aliyonayo huyu binti je inawezekana kwamba alitoa mimba?

    Salaam, Tuzidi kuchukua tahadhari dhidi ya Covid-19 , maana ipo na ni hatari. Naomba niingie moja kwa moja katika mada husika; Ni hivi, kuna ndugu yupo mkoa fulani ndani ya Tanzania. Ndugu huyu anamtoto mmoja tu, ambaye ni wa kike. Umri wa msichana wake, ni chini ya miaka 22, lakini...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini wadada hata mkiwa na ujauzito mchanga kabisa mnatundika mitandio begani?

    Yaani hata ukute mdada ana mimba ya wiki mbili, yaani haionekani kabisaaa utakuta mtu anatundika Mtandio begani anafunika tumbo, mi nikiona mdada kafanya hivyo najua kabisa mzigo tayari. Mnafanya hivi kwa kuwa mnaona aibu?, au kutujuza mabaharia tusiwasumbue, kwamba kuna baharia alishawahi? au...
  3. JamiiForums Tanzania Asiyejulikana amjaza mlemavu mimba 6

    SERIKALI mkoani Mbeya imeombwa kuingilia kati sakata la binti mwenye ulemavu wa akili anayepewa mimba mfululizo na mtu asiyejulikana. Hadi sasa amezalishwa watoto watano pasipo baba yao kujulikana na sasa ni mjamzito tena. Wananchi wameomba Serikali imtafute mwanaume anayempa mimba binti huyo...
  4. JamiiForums Tanzania Mshituko: Rafiki yangu tuliyeshibana unamuoaje Dada yangu?

    Hili ni jambo la kushangaza sana, huyu jamaa kwao walikuwa masikini alafu nyumbani kwao ni mbali na shule, hivyo kwa kuwa tulikuwa marafiki tulioshibana na discussion tulikuwa tunafanya pamoja nikamkaribisha nyumbani kwetu akawa kama mtoto wa familia yetu kabisa. Baba yangu alikuwa anamlipia...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas na Abdul Nondo watofautiana namna watoto wa kike wanaopata mimba shuleni watakavyoendelea na masomo

    Dr Abbas ambaye ni msemaji mkuu wa serikali anasema wanafunzi wanaopata mimba shuleni hawatarudi kuendelea na masomo katika mfumo rasmi bali wataruhusiwa kupitia mfumo usio rasmi yaani private candidates. Abdul Nondo boss wa vijana pale ACT wazalendo anapinga vikali yeye anataka wanafunzi hawa...
  6. JamiiForums Tanzania Mimba za utotoni ni mkwamo mkubwa kwa mabinti walio shule

    Mimba za utotoni ni moja ya mkwamo mkubwa wanaopitia mabinti walio shuleni kuweza kutimiza ndoto zao. Katika kipindi hiki cha likizo ya ghafla hatari ya mabinti kupata mimba ni kubwa zaidi. Hata hivyo yafuatayo yanaweza kukusaidia kuepuka vishawishi na matamanio ya kingono;- Fanya mazoezi ya...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nachukia sana mwanamke anayetoa mimba

    Binafsi kuna wanawake nimewahi date nao na wametoa mimba yangu Wa kwanza niliishi nae kama mke pindi nimemaliza chuo nilimpata field then nikamsaundisha akanikubalia, tulikuwa tukitumia condom mara nyingi wakati wa kugegedana but tulikuja acha baada ya kupima. Alivyopata mimba hakuniambia ila...
  8. JamiiForums Tanzania Wizara ya elimu yakana kuwapima mimba watoto wa kike kwa lazima, yasema wataendelea na masomo baada ya kujifungua

    Katika kile kinachoonekana kama kupiga hatua kwenye uelekeo sahihi, wizara ya elimu kupitia katibu mkuu wake Dr. Leonard Akwilapo imekanusha madai ya kuwa watoto wa kike waliopo mashuleni watapimwa mimba kwa lazima. Taarifa hiyo iliyotolewa tarehe 06-03-2020 imefafanua kuwa kauli ya kuwapima...
  9. JamiiForums Tanzania Pwani: Wanafunzi 184 wamepata mimba kwa mwaka 2019. Wengine 1900 washindwa kuendelea na masomo kwasababu ya utoro

    Wanafunzi 184 kati ya 2,091 wa Shule za Msingi na sekondari mkoani Pwani wamekatisha masomo kutokana na kupata mimba kwa mwaka 2019. Kati yao waliopata ujauzito, wa shule za msingi ni 40 na 144 wa sekondari huku wanafunzi 1,907 wakishindwa kuendelea na masomo kutokana na utoro. Kutokana na baa...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeelewa kwanini Penny na Kidoti walitoa mimba za Diamond

    Nadhani Kati ya wanawake waliodate na Diamond, wawili ndo walikuwa brightest of all, kwanza kielimu na pia kitabia. Nawaongelea Penny na Kidoti. Hawa kinamama waliweza kuona mbele na hawakutaka kuja kuwa masingo mother Kama Zari, Missa, Tanasha. Coz waliijui na kuisoma vizuri tabia ya mmanyema...
  11. JamiiForums Tanzania Nampenda ila katiwa mimba

    Kuna msichana tumekuwa kwenye mahusiano tangu mwaka jana mwezi 11, ila kipindi chote icho hakuwa na imani na mimi kama nipo serious nae kwa sasa anadai ananipenda sana baada kugundua upendo wangu wa dhati kwake, tatizo linakuja kwa sasa ana ujauzito wa mwez mmoja kapachikwa na baharia mmoja huko...
  12. JamiiForums Tanzania Dodoma: Kila mwezi wanafunzi wa kike 16 wanapata mimba Dodoma

    Hii idadi siyo ndogo kuna haja ya jamii kuamshwa ili kutambua mchango wa elimu kwa Mtoto wa kike kwa kuangalia mrejesho wa elimu kwa mtu binafsi na kwa jamii yake "private rate of return and socia returns".. Elimu pia ina faida msambazo kwa jamii "spill over benefits".Kuna haja elimu ya...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri:Baada ya mwanaume kunipa mimba ananikwepa sana, eti niitoe

    Ndugu zangu poleni na majukumu, Kwa kifupi nimekuwa na Mwanaume kama Boyfriend, tumependana sana, Baada ya kuhisi nina mimba yake kaanza chenga, anasema au tuitoe, Sijawahi kutoa Mimba na sifikirii kitu kama hicho maishani mwangu, Mwili wangu siyo Sehemu ya kufanya mauaji. Naomba ushauri wenu
  14. JamiiForums Tanzania Kagera: Muuguzi mbaroni kwa tuhuma za kuua mwanafunzi wakati akimtoa mimba

    Jeshi la Polisi mkoani Kagera, linamshikilia Dezber Kahwa (49), mkazi wa Kijiji cha Kibengwe, Bukoba Vijijini, kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Alinda Leverian (14), mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Kilima, kwa kumtoa mimba kienyeji. Kamanda wa Polisi mkoani Kagera...
  15. JamiiForums Tanzania Kama Kutoa mimba ni kosa nchini Tanzania basi Wema Sepetu akamatwe

    Wema Sepetu ametangaza mwenyewe mitaani na mitandaoni kwamba aliwahi kutoa mimba mbili za Marehemu Kanumba, kwamba " alivinyongelea " mbali vitoto vya Kanumba (bado haijafahamika sababu ya kufanya unyama huo) Bali kinachofahamika ni kwamba Nchini Tanzania ni kosa kisheria kutoa mimba , na yuko...
  16. JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Wanaotetea watoto wanaopata mimba shuleni wana akili za kuvaa nguo tu

    Leo Paul Makonda ameporomosha maneno mazito kwa wanaowatetea wanaopata mimba mashuleni kwa kusema kuwa akili zao zinawatosha kuvaa nguo tu. Pamoja na hayo pia amesema watu hao ni wajinga na wapumbavu.
  17. JamiiForums Tanzania Je, mabinti wa shule walaumiwe kwa kushika mimba?

    Habare comrades Nimepanga kujibu swali nililouliza kwenye kichwa cha habari mwisho wa maandishi yangu kwenye huu uzi. Kwanza niweke bayana mabinti ntakaowazungumzia ni wale walio balehe wakiwa shule msingi au secondary. Kutokana na habari nyingi zilizopo juu ya umuhimu wa elimu na hasara kubwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kitendo cha "jinamizi mimba za watoto wa shule" kushika kasi kinatufunza kuwa, viongozi tusiongee kila jambo hadharani

    Wanafunzi wa kike wakishapata mimba walikuwa wanakabiliwa sana na mazingira magumu ya kurudi shule tangia enzi za Kikwete. Na katika kipindi chote hicho hakukuwa na tatizo. Shida ni maneno ya kejeli yaliyotolewa na viongozi wa awamu ya tano juu ya jambo hili. Maneno ambayo hayapaswi kamwe...
  19. JamiiForums Tanzania Napenda sana mtoto, lakini najua mtoto si wangu. Ila mdada analeta ghasia. Nifanyeje? Nipo Marekani kwa sasa. Naomba ushauri

    Wadau Yamenikuta. Sitaki kuandika story ndefu sana. Lakini huyu mdada nilikutana naye nilivyokuja Tanzania na alinifanyia vituko ambavyo kwa kweli siwezi kuviandika hapa. Tokea nimwache amekuwa ni ghasia kweli. Nilishapima mimba naye na nikamkuta ameficha mkojo kwenye nguo ya ndani sababu...
  20. JamiiForums Tanzania Ngono ilitaka kukatisha maisha yangu

    Wadau kheri ya mwaka mpya 2020! Nimeamua nijipinde mgongo kuandika ujumbe huu maana naona kizazi cha vijana wabichi kinaangamia huenda kwa kujua au kutojua. Mimi ni kijana niliyelelewa kwenye maadili ya kumcha Mungu na wazazi. Niliyaishi maisha hayo yakuwa na hofu ya Mungu hadi kufikia umri wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…