Ushauri:Baada ya mwanaume kunipa mimba ananikwepa sana, eti niitoe

Masweeter

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
206
570
Ndugu zangu poleni na majukumu, Kwa kifupi nimekuwa na Mwanaume kama Boyfriend, tumependana sana, Baada ya kuhisi nina mimba yake kaanza chenga, anasema au tuitoe, Sijawahi kutoa Mimba na sifikirii kitu kama hicho maishani mwangu, Mwili wangu siyo Sehemu ya kufanya mauaji.

Naomba ushauri wenu
 
Ndugu zangu poleni na majukumu, Kwa kifupi nimekuwa na Mwanaume kama Boyfriend, tumependana sana, Baada ya kuhisi nina mimba yake kaanza chenga, anasema au tuitoe, Sijawahi kutoa Mimba na sifikirii kitu kama hicho maishani mwangu, Mwili wangu siyo Sehem ya kufanya mauaji,

Naomba ushauri wenu

Mdogo wangu pole sana, Wanawake tunapitia mengi, never attempt to abort, hii dhambi itakutafuna, Kiache kiumbe cha mungu, Wanaume wengi walaghai, ukimwambia nina Mimba yako hata simu hapokei tena anaanza visingizio kwamba nimesafiri, ni wachache sana utamwambia nina Mimba yako akaonesha uso wa furaha na akaendelea kukujali, wanaume badilikeni jamaniii
 
Ushauri upi unaoutaka sasa ndugu na umesema haufikirii kuitoa. That means utazaa tuu no matter nini tutakachokushauri
Ndugu zangu poleni na majukumu, Kwa kifupi nimekuwa na Mwanaume kama Boyfriend, tumependana sana, Baada ya kuhisi nina mimba yake kaanza chenga, anasema au tuitoe, Sijawahi kutoa Mimba na sifikirii kitu kama hicho maishani mwangu, Mwili wangu siyo Sehem ya kufanya mauaji,

Naomba ushauri wenu
Kingine....

Kipindi hichi ukipata mwanaume akajifanya anakupenda sana na yupo tayari kulea hiyo mimba jua kua anataka kula tunda tuu na kusepa.

Wahuni Wanaziitaga Golden Chances.

#Bagwell
 
Usitoe dada angu tutasaidia ila kwa namna yeyote ile ila usitoe ndugu
Ndugu zangu poleni na majukumu, Kwa kifupi nimekuwa na Mwanaume kama Boyfriend, tumependana sana, Baada ya kuhisi nina mimba yake kaanza chenga, anasema au tuitoe, Sijawahi kutoa Mimba na sifikirii kitu kama hicho maishani mwangu, Mwili wangu siyo Sehem ya kufanya mauaji,

Naomba ushauri wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[[Sijawahi kutoa Mimba na sifikirii kitu kama hicho maishani mwangu, Mwili wangu siyo Sehem ya kufanya mauaji,]] MAANA YA HIYO STATEMENT NI UNATAKA KUZAA HUYO MTOTO.. ALAFU UNAOMBA USHAURI... UPI SASA..?
WE MWENYEWE USHAJUA CHA KUFANYA ALAFU UNATAKA USHAURI... UNATAKA TUKUSHAURI NINI TENA.. AU UNATAKA TUKWAMBIE UKATOE ILI UJE USEME NI WATU WA JF NDO WALINIAMBIA.. .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu poleni na majukumu, Kwa kifupi nimekuwa na Mwanaume kama Boyfriend, tumependana sana, Baada ya kuhisi nina mimba yake kaanza chenga, anasema au tuitoe, Sijawahi kutoa Mimba na sifikirii kitu kama hicho maishani mwangu, Mwili wangu siyo Sehem ya kufanya mauaji,

Naomba ushauri wenu

Hii chai, unasema mnapendana, half anakwambia uitoe mimba yake, angekua anakupenda asingekwambia uitoe mimba yake Masweeter
 
Ndugu zangu poleni na majukumu, Kwa kifupi nimekuwa na Mwanaume kama Boyfriend, tumependana sana, Baada ya kuhisi nina mimba yake kaanza chenga, anasema au tuitoe, Sijawahi kutoa Mimba na sifikirii kitu kama hicho maishani mwangu, Mwili wangu siyo Sehem ya kufanya mauaji,

Naomba ushauri wenu
Hongera kwa kuwa na mentality hiyo, USIJARIBU KUTOA HIYO MIMBA!
 
Ndugu zangu poleni na majukumu, Kwa kifupi nimekuwa na Mwanaume kama Boyfriend, tumependana sana, Baada ya kuhisi nina mimba yake kaanza chenga, anasema au tuitoe, Sijawahi kutoa Mimba na sifikirii kitu kama hicho maishani mwangu, Mwili wangu siyo Sehem ya kufanya mauaji,

Naomba ushauri wenu
Hivi akina mama wa siku hizi mkoje??
Unalalamika kupata mimba na mtu ambaye anakwambia uitoe. Kwa nini hujachukua tahadhari kabla?? Na sielewi unalalamika nini kwani ninahisi huyo jamaa yako alitaka kuburika nawe tu ila wewe ulienda next level.
 
Ndugu zangu poleni na majukumu, Kwa kifupi nimekuwa na Mwanaume kama Boyfriend, tumependana sana, Baada ya kuhisi nina mimba yake kaanza chenga, anasema au tuitoe, Sijawahi kutoa Mimba na sifikirii kitu kama hicho maishani mwangu, Mwili wangu siyo Sehem ya kufanya mauaji,

Naomba ushauri wenu
Umesha fanya maamuzi yako tayari, au unafungua kurasa wa watu wasema yao uyumbe???

Ruhusu watu wakushauri na sio wakuamulie.Umesha fanya maamuzi kaa katika hilo, shika hilo. Kuwa na stamina ya maamuzi.

Katika namna yeyote, una fedha au huna, una future mbovu au huna, USITOE MIMBA. Ni dhambi kubwa sana. Ni kafara unayoitoa indirectly ime rahisishwa na kuwekwa ni kawaida kutokana na kivuli cha technology na sababu za binafsi (MAISHA, NA FUTURE)

Kaza, watoto wengi hawajakuzwa na dingi zao bt now ni watu wakubwa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Somo kubwa ambalo wanawake wengi wanaoamua kuzaa kabla ya ndoa wanalifanya.
Usiwe tayari kuzaa kama wewe binafsi huna uwezo wa kumudu matunzo ya mtoto hili pia hata kwa wana ndoa linawahusu.

Huyu ameamua kukuzingua Je ingekuwaje kama angefariki? Au kutoweka?
Jukumu la mtoto ni la wazazi wote wawili lakini dhamana ya mtoto anayo mama ,Mwanao hana nafasi ya kuchagua baba na Mungu amekupa dhamana hiyo wewe ni vizuri kuitumia kwa makini.
Mimi si muumini wa abortions ! Hii dhambi ilinishinda mara nyingi hutumia condoms au vidonge na ni njia ambazo ni salama.

Ushauri wangu ni huu You are never late to do the right thing jenga mazingira ya kumtumza mtoto wako wewe si wa kwanza na hautakuwa wa mwisho gangamala pambana kwaajili ya mtoto wako na wakati ukifika utaona matunda yake .

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom