mimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Tai

    JamiiForums Tanzania SAFARI YA UZAZI: Mwongozo wa Afya ya Mama na Mtoto Katika Hatua Zote za Mimba na Baada ya Kujifungua.”*

    HIKI SI TU KITABU, NI ZAWADI YA AFYA KWA KIZAZI CHAKO Katika dunia inayokumbwa na changamoto za kiafya kila uchao, maarifa sahihi si hiyari tena ni hitaji la lazima. Tunapozungumzia uzazi, hatuzungumzii tu tukio la maisha, bali tunazungumzia mwanzo wa kizazi kipya mwanzo wa matumaini...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Alikuwa mwanajeshi mkuu zaidi (mkuu wa jeshi la Houthis) kusema kweli Houth wamechea kichapo sana hawasemi tu lakini cha moto wanakipata

    Kuna msemo wa wahenga mficha magonjwa kifo humuumbua. Msemo huo umedhibitiks leo. Mkuu wa Majeshi wa Houthis, Meja Jenerali Mohammed Abdul Karim Al-Ghamari, aliuawa katika shambulio la anga la Israeli lililowaua mawaziri 12 lakini wao walificha kuuwawa kwa mkuu wa majeshi wa Kihouth Alikuwa...
  3. W

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Matumizi ya Chai ya rangi, pepsi, coca na Energy drink baada ya kufanya mapenzi inazuia mimba

    Watu wengine wanaamini kwamba ukinywa soda nyeusi (cola), kuchemsha majani ya chai mengi kisha uyanywe au energy drink mara baada ya tendo la ndoa, mbegu za kiume hufa tumboni na hivyo mimba inazuilika. Nilishangaa zaidi kuwa kuna mtaalamu wa afya pia aliwahi kueleze kuhusu hii ishu. Sikumuamini...
  4. VictoriaGreenHerbal

    JamiiForums Tanzania Unataka kubeba Mimba? Soma hapa

    Kama umekuwa ukihangaika kwa muda mrefu kutafuta njia ya kupata ujauzito bila mafanikio, kuna tiba rahisi, salama na ya asili ambayo inaweza kukusaidia. Hii ni njia ambayo wamama wengi wameitumia na kufanikisha kupata mtoto. Unachohitaji si vitu vingi. Ni viungo vya kawaida vinavyopatikana...
  5. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Ukisearch girl au woman kwenye imojis zinakuja picha za vidume

    Hii yote kuhalilisha uchapati 🚮🚮🚮
  6. S

    JamiiForums Tanzania Je, mgonjwa akifika kitengo cha emergency/idara ya dharula anatakiwa kupata huduma baada ya muda gani?

    Emergency Department au kwa kiswahili Kitengo cha magonjwa ya dharula ni miongoni mwa idara mpya kuanzishwa katika nchi zetu za africa, kitengo hiki hakina miaka hata kumi na tano, mwanzilishi wa kwanza kwa Tanzania ilkuwa ni Muhimbili National Hospital wakishirikiana na chuo kikuu cha afya na...
  7. W

    JamiiForums Tanzania China yazindua mpango wa kwanza wa “Roboti anateweza kubeba Mimba”

    Mkurugenzi wa kampuni ya roboti nchini China amezindua mpango wa kwanza duniani wa “roboti mjamzito” – kifaa kitakachokuwa na tumbo la uzazi la kisayansi na kuuzwa kwa takribani dola 14,000. Bei hii ni ndogo mno ukilinganisha na gharama ya kupata mama mbadala (surrogate) binadamu, ambayo huanzia...
  8. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Bado Mimi Nina hoji.Bilioni 100 ni za kampeni kweli? Huu ndo Muda mke jirani alitiwa mimba kavu kavu

    Mimi Bado Nina hoji bilioni 100 ni za Nini aise? Ni kampeni mnapanga kuifanya aise ccm seeni ni PESA za KUWAONGA wake zetu?
  9. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Ulimtia Mimba Mwanafunzi, Ukafungwa Miaka 30 umetoka jera, Unaambiwa mimba iliharibika! Ungefanyeje?

    Kwa mfano imetokea wewe kijana umefungwa kwa kumtia mimba mwanafunzi. Miaka 30 baadaye, ukarejea na kukutana na ukweli mchungu ambao hukutarajia. 📜 Kwa mfano, wewe ni kijana wa kiume na katika harakati za hapa na pale katika ujana wako, ukajikuta unamtia mimba mwanafunzi wa shule. Kwa kosa...
  10. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Mimba bandia zaingia nchini

    Haya wanawake muda WA kupiga hela huu Mtoto WA mama mkwe alee mimba bandia Hadi akome Kuna ya miezi mitatu Miezi sita Miezi Tisa etc Mkombozi WA mchepuko .wanaume tulieni .mtapigwa matukio Hadi mkome
  11. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Mwanaume akimwaga nje mwanamke anaweza kupata mimba?

    Kumwaga Nje: Ndiyo, mwanamke anaweza kupata mimba hata kama mwanaume akimwaga shahawa nje ya uke. Hii ni kwa sababu kuu zifuatazo: 1) Majimaji Ya Mwanzo (Pre-Cum) Yanaweza Kuwa Na Mbegu. Kabla ya mwanaume kufika kileleni, hutoa majimaji ya awali (yanayoitwa pre-ejaculate). Haya majimaji huweza...
  12. Youbettersleep

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu: Ni kweli mwanamke anaweza akawa na mimba hadi miezi 3 bila kujua???

    Naombeni elimu hapa ndugu zangu” hivi inawezekana mwanamke akawa na Mimba mpka ikafika miezi mitatu na asiwe anajua”??? Kwa hili nimechoka akili.
  13. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni kweli mwanamke anaweza akawa na mimba hadi miezi 3 bila kujua???

    Naombeni elimu hapa ndugu zangu” hivi inawezekana mwanamke akawa na Mimba mpka ikafika miezi mitatu na asiwe anajua”??? Kwa hili nimechoka akili.
  14. haszu

    JamiiForums Tanzania Ugumba/kutokushika mimba ni kati madhara ya mapenzi kinyume na maumbile ambayo sijawahi isikia ikizungumzwa.

    Mara nyingi watu huzungumzia madhara ya kuvaa pempas kwa anaefanyiwa au kuziba kwa mirija kwa anaefanya, ila nimeshangaa kuona pia kitendo hiki hupelekea mwanamke kutoshika mimba. Mwanaume anapomwaga, kwakua eneo lile sio sahihi, mwili hutengeneza ant-bodies kujilinda, kitendo hiki kinafanya...
  15. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake Kubeba mimba bila makubaliano na mpenzi wako ni unyanyasaji wa kinjinsia

    Ipo ivi Mimi nimeoa tumebatika kupata mtoto wa kiume saizi ana miaka 2.5 alivyo jifungua mtoto nilimwambia saizi kutafuta mtoto mpaka maisha yakae sawa tu dili na kutafuta pesa kwaza maana mwezangu ni mfanyabishara so kwenye hii mimba ya uyu mtoto amesumbuka sana sababu ilivyo fika miezi 4 ya...
  16. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania *Vito - madini - dhahabu* - utendaji wake. *moonstone* : jiwe la thamani linalosaidia wanawake kushika mimba!

    VITO - MADINI - DHAHABU - UTENDAJI WAKE. MOONSTONE : JIWE LA THAMANI LINALOSAIDIA WANAWAKE KUSHIKA MIMBA! Sehemu ya nne Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ Ukisoma Elimu ya Vito, utagundua jinsi ambavyo kuna maajabu makubwa sana katika matumizi yake. Kuna mamia kwa mamia ya mawe ya vito...
  17. Solo Traveller

    JamiiForums Tanzania Yusuph alikuwa mme wa bikra maria, narudia mume..na akapata mimba bila kujamiiana..

    Ama kweli dini ni njia.. Yani anaitwa mume na hajawai kula tunda. Na akapata mimba Haya..
  18. Solo Traveller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeingia kwenye mahusiano na mwanamke mwenye mimba

    This is very interesting for me Nimejikuta kwenye deep love na bint mwenye ujauzito wa miezi minne. Ila anasema mwenye mimba amekataa kwasababu alikuwa anataka mwanamke aitoe..so kwakuwa mwanamke amekataa kuitoa basi hataki mimba. Wakuu nataka kujitolea kukilea hiki kiumbe, kinawezekana kuwa...
  19. Tunguja

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anarudi kwako umpe mimba tu bada ya kuachana miaka kadhaa

    Ni mwanamke Mchepukaji mliye achana miaka mitatu iliyopita,kila mmoja akaendelea na mahusiano yake mengine. Siku ya siku unapokea simu yake anakuomba mkutane kwa kwa ajili ya kuzungumza mawili matatu kuhusu hatima ya watoto wenu, Baada ya kwenda kuonana naye anakwambia alichokuitia sio kutaka...
  20. Arch Barrel

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji Mwanamke Tasa (Mwanamke asie na uwezo na kushika mimba na kuzaa)

    Naenda moja kwa moja kwenye maada. Nina miaka 33, kabila langu (siri), kazi yangu (siri) na mkoa ninaoishi kwa sasa (siri) ingawa ni kanda ya ziwa. Nina watoto wanne, wakiume wawili na wakike wawili pia. Watoto watatu nimepata kwa mama mmoja na mmoja nimepata kwa mama mwngine. Mzazi mwenzangu...
Back
Top Bottom