mimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kupoteza mtu ni kutunza amani lakini kulalamika kuwa mtu amepotea ni kuvuruga amani

    Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) KUNA MAMBO HAYAKO SAWA Kuna mambo yanayotuunganisha wote bila kujali itikadi, dini, jinsia, kabila, hali ya mtu kiuchumi, ufupi au urefu wa mtu kama mimi. Haya yote yanaunganishwa na neno HAKI au kwa Kijaluo JUSTICE. Kuna mambo 10 hayako sawa...
  2. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mke atoa mimba

    Hell Hivi unaweza vumilia hili suala ni mke wako kisheria umetoa mahali bado ndoa ya kanisani tu ila kisheria ni mkeo mna mtoto mmoja baada ya miaka miwili mkeo anapata mimba na wewe unajua maana amekufahamisha then gafla tu anaumwa kumpeleka hospital Dr anakwmbia alikunywa dawa za kutoa mimba...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alikiri kutaka kunibambikizia mimba kukwepa usingo mother

    Huyu ni mwanamke niliyemwelewa sana. Alikuwa na sifa nyingi nilizohitaji. Tulikutana katika kituo cha mitihani ya profession. Kabla ya chochote alikuwa kampani tu ya discussion baadae nikaingiza voko. Nilifanikiwa kufanya naye tabia mbaya lakini kimasihara. Akajuta na kunipiga beat nisijione...
  4. cold water

    JamiiForums Tanzania Je, nitakuwa nimepata ujauzito?

    Mwezi January hedhi ilikua tarehe 10 mwezi February breed ilikua tarehe 11 lakini February nilikutana kimwili na mwezangu tarehe 22/2/2025 jana sijaona hedhi Wala juzi nimepima jana mstari ni mmoja tu je Nina mimba au?
  5. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kabila la kirangi pekee linaloongoza kwa mabinti kumpeleka watoto kulelewa na Bibi zao vijijini baada ya kukorofoshana na waliowapa mimba?

    Nimeiona hii Hali kwa madada wawili wa tumbo moja, wa kwanza alijifungua na baada ya kukorofoshana na mwanaume wake akampeleka mtoto kijijini ingalikuwa mwanaume alikuwa anaweza kumtunza mtoto vizuri tu Mdogo wake naye hivyo hivyo baada ya kugombana na mwanaume wake akachukua mtoto akampeleka...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya huwezi kupiga Bao la Mimba, andaa Shilingi Milioni 14 zako Muhimbili Hospitali wakupigie Bao lao upate Mtoto

    Mkurugenzi wa Huduma za upasuaji katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt Rachel Mhavile amesema Mnamo Septemba 24, 2024 serikali ilifanikiwa Kwa Mara ya Kwanza kuanzisha Kituo Cha upandikizaji wa mimba katika Hospitali za Umma Nchini ambacho kimegharimu Bilioni 1.72 Amesema katika kipindi Cha...
  7. Principle girl

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kutumia p2 na ukapata mimba?

    Habari ya asubuhi Kuna uwezekano wa mtu kupata mimba ikiwa alitumia p2 baada ya tendo? Na ikiwa within a week baada ya Kutumia P2 alifanya tena tendo lakini hakuchukua tahadhari yoyote, let's say period ili anza tarehe 6 akamaliza tarehe10 tarehe16 mpaka kuamkia tarehe 17 alifanya sex hiyo...
  8. Principle girl

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii mimba itakuwa ya nani?

    Habari wanajf natumaini muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya kila siku,kwa wale wenye changamoto yoyote poleni Husika na kichwa hapo juu,Ipo hivi nina rafiki yangu ni mjamzito ila sasa haelewi mimba ni ya nani kati ya vijana hao wawili aliofanya nao tendo. Kwa maelezo yake anadai...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Je ni Kweli mwanamke akitumia sindano za kuzuia mimba, zinaweza kukausha mayai ya uzazi?

    wana jamii ushauri wenu kwa ufupi..... baby mama wangu ameenda hospitali kubwa ya nchi... Kuangalia kwanini hashiki mimba.. Hapo nyuma alikuwa anatumia sindano za uzazi kuepusha kushika mimba.. Sasa daktari amemwambia inawezekana mayai yake yamekaushwa na hizo sindano ...Hivyo inabidi kufanya...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Jana Mimba kapewa Namungo lakini cha Kushangaza na Kusikitisha wanaoumia nayo na Kuitamani ni Watu wengine wa Kigamboni

    Basi kama na nyie pia mnaitaka Mimba aliyopewa Namungo jana vuteni subira mtakuja kupewa / kujazwa 8/3/2025 Ok?
  11. cold water

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua siku za kushika mimba

    Hello!!! Habari za jioni madactari na nurses,mwezi wa kwanza nilipata hedhi yangu tarehe 10(10/1/2025) mwezi wa pili huu nimeanza kupata hedhi yangu jana saa 11 Asubuhi ,je? Nina mzunguko wa siku ngapi na siku zangu za hatari ni tarehe ngapi na tarehe ngapi nahitaji kupata mtoto.ikimpendeza...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nasisitiza, itungwe Sheria kubeba Mimba bila ridhaa ya Mwanaume liwe kosa la jinai

    NASISITIZA, ITUNGWE SHERIA KUBEBA MIMBA BILA RIDHAA YA MWANAUME LIWE KOSA LA JINAI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwanasheria wa Tibeli. Andiko hili liwafae wale wapendao HAKI. Andiko hili lipitiwe na kujadiliwa na wale Wanasheria wa kusomea na wale Wanasheria wa kuzaliwa wenye MAARIFA na...
  13. Strong and Fearless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzungu kakataa Mimba

    Hi guys, Nahitaji advice , ndugu yangu met a guy from a dating site , ni mzungu ( sitaki kutaja country) and he is aged enough , things were going well na mwanaume alikua anaonesha upendo Ana care na Ana take care of her expenses ( spoiling her) . Sasa the guy akataka ndugu yangu amvisit, so...
  14. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Waha tupeni majibu ya hii kauli ya Lissu; 'Kuna kijiji kinaitwa Kazura Mimba kipo Kigoma, kina watoto wengi kweli kweli'

    Akihojiwa na Charles William wa Wasafi TV, Lissu alisema 'kuna kijiji kinaitwa Kazura Mimba kipo Kigoma, kina watoto wengi kweli kweli. Mpaka mwandishi kacheka na mimi mwenyewe nimecheka kweli kweli. Embu Waha njooni tulijadili hili, hapo Kazura Mimba kunani?? Au ni mbegu za majini...
  15. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutumia P-2 sasa anashindwa kubeba ujauzito, je afanye nini aweze kukaa sawa

    Ndugu zangu salaam sana.. Naombeni msaada wa nini kifanyike baada ya huyu mwanadada kutumia P-2 na sasa anashindwa kushika ujauzito. Je, kuna dawa yeyote au vitu vya asili anatakiwa ameze na ale ili aweze kukaa sawa na aweze kutunga ujauzito atokane kwenye hayo madhila ya madhara ya P-2...
  16. blogger

    JamiiForums Tanzania Inawezekanaje mwanamke aliyetolewa kizazi akapata mimba!?

    Ni kwa Mwamposa hapa jamani. Yuko live. Dada anatoa ushuhuda anasema alitolewa kizazi Ila baada ya kuchukua mafuta ya upako kwa Mwamposa akapata Mimba. Eee Mungu nisaidie Imani na Mimi!?🤔🤔🙄🙄🙄🙄 Kwenu madaktari wa JF...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kupotea kwa mimba

    Poleni na majukumu wadau wa afya. Nina changamoto moja ambayo inamsumbua mke wangu kwa kipindi cha miezi mitatu sasa. Ana dalili zote za mimba ambayo haikui na tukipima hospitali vipimo vinaonyesha ana mimba lakini nasikitika nnapoona mimba ya mke wangu inapotea. Naombeni msaada wa mawazo...
  18. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempa mimba mama mwenye nyumba wangu

    Naombeni ushauri ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, naishi mkoani Iringa hapa mjini. Nimepanda kwenye nyumba Moja hapa mtaani (mtaa sitautaja) hapa nilipopanga pia mwenye nyumba anaishi hapahapa Mama mwenye nyumba ni nurse na baba ni mwalim, lakini baba mwenye lakino huyu...
  19. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina miaka 24 anataka kunipa mimba kabla ya ndoa ili ajue kama nina kizazi

    Mimi binti wa miaka 24, sijaolewa ila nina mchumba wangu ambaye tuko kwenye mahusiano huu ni mwezi 9, ananipedna na mimi nampenda, shida inakuja hivi, wakati tunaanza mahusiano aliniambia kuwa anataka kunioa. Lakini kabla ya ndoa anataka nibebe mimba ili kupima kama nina kizazi au la kwani kuna...
  20. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anateswa na mimba ya Aina yake?? Kutapika, tumbo kuvuruga na kizungu zungu

    Wakuu, Nimeona mimba nyingi ila hii ni aina yake. Huyu mwanamke ndo mimba yake ya kwanza lakini sasa Anatapika kila anachokulaaa anatapika chakula kinaisha had anatapika maji hamna kinachotoka. Muda wote. Tumbo linamuuma na kumvuruga muda woteee. Hawezi kutembea hawezi kufanya kazi wala...
Back
Top Bottom