Iringa kinara wa mimba za utotoni 2021

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,037
20,337
Mkoa wa Iringa umeongoza kwa watoto wa kike kupata mimba za utotoni.
Zaidi ya wasichana 3,000 wenye umri kati ya miaka 10 hadi 19 mkoani Iringa, Wamegundulika kupata mimba katika kipindi cha januari hadi Oktoba mwaka 2021, jambo ambalo linarudisha nyuma juhudi za kupata elimu kwa watoto.

Kamwene Iringa 🐕🐕🐕
 
Na hivi huyu mama yenu amehalalisha watoto wapigwe pipe wa kuzaa azae wa kutoa atoe kisha warudi shule tegemea hiyo list kuongezeka mwakani.

2033 madarasani utasikia wewe mama Agnes niazime hiko kitabu mwengine wewe mama mwajuma niazime rula yako upande ule wengine wakiomba ruhusa kwa walimu waende wakanyonyeshe huku back benchers wakitongoza wengine humo humo darasani.

Kuna vitu vya kumpa navyo uhuru mwanadamu (especially Muafrica) ila ukifanya mambo simple simple kama alivyofanya huyu mwanamke unavuruga kabisa utaratibu wa maisha yaliyostaarabika.
 
Kuna shida gani, si wakijifungua wanarudi shule
 
Na hivi huyu mama yenu amehalalisha watoto wapigwe pipe wa kuzaa azae wa kutoa atoe kisha warudi shule tegemea hiyo list kuongezeka mwakani.

2033 madarasani utasikia wewe mama Agnes niazime hiko kitabu mwengine wewe mama mwajuma niazime rula huku back benchers wakitongoza humo humo darasani.
🤣🤣🤣 Ngoja tusubiri tuone watakavyo ingia shuleni akina mama mwajuma.
 
wakati wa kuitisha majina
Jeny Simololi......Jana na leo

Salome Mgayasida.....hayupo amempeleka mtoto ckliniki

Na hivi huyu mama yenu amehalalisha watoto wapigwe pipe wa kuzaa azae wa kutoa atoe kisha warudi shule tegemea hiyo list kuongezeka mwakani.

2033 madarasani utasikia wewe mama Agnes niazime hiko kitabu mwengine wewe mama mwajuma niazime rula huku back benchers wakitongoza humo humo darasani.
wa
 
Back
Top Bottom