mimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kutelekezewa mimba VS kubambikiwa mtoto

    Mi naona hii ni mbwaimbwai....mwaga mboga nimwage ugali....anaumizwa mwanamke anaumizwa mwanaume....Yaan hapo kati Yao Kuna Kuna kakarma kametulia.Huna hatia unatelekezewa mimba ....huna hatia unabambikiwa mimba. Aisee,Kaz iendelee
  2. Mwanamke anaanza kutema mate baada ya mimba kuingia?

    Kuna mwanamke hapa naona kama ameanza kutematema mate na nimekutana nae wiki hiihii na ofkoz ndio alikuwa kwenye tarehe za kutiwa mimba sasa hapa nisaidieni kinadada.
  3. Watu 45 wamepandikizwa Mimba Dar, 35 wamepata ujauzito

    Kiasi cha Sh4.5 bilioni kimetumika kufanya uwekezaji wa ujenzi, miundombinu na vifaa tiba vilivyotumika kuanzisha Kituo cha Huduma Pandikizi (IVF) cha Hubert Kairuki. Kituo hicho cha kutoa huduma hiyo kipo Bunju A jijini Dar es Salaam kikiwa na uwezo wa kufanya upandikizaji kwa watu 1,000 kwa...
  4. Kuhisi dalili za mimba bila kuwa na mimba

    'Pseudocyesis' ni muonekano wa dalili zote za ujauzito anazopata mwanamke wakati kiuhalisia hana ujauzito. Mwanamke anaweza kuwa na dalili zote za ujauzito kama kutapika mara kwa mara, shida ya kulala na hata kukosa hedhi lakini vipimo vikaonesha kutokuwepo kwa ujauzito. Hali hii husababishwa...
  5. Waziri Ummy: 30% ya watu Nchini Wana ugumba, Serikali inafikiria kupunguza gharama upandikizaji mimba

    Waziri Ummy Mwalimu amesema tatizo la ugumba bado ni kubwa nchini, " mpaka sasa hakuna takwimu rasmi za kitaifa ila utafiti mdogo ambao unaonesha 30% ya watu wana tatizo la ugumba, Duniani inakadiriwa kuwa kila mahusiano ya wenza wanne, mmoja kati yao anakua na tatizo la kupata watoto." Aidha...
  6. Kutoa mimba hakukufanyi usiwe mama, unaendelea kuwa mama wa marehemu

    Mabinti wengi wanatoa mimba kwa sababu mbalimbali za msingi, lakini sio za msingi sana ukilinganisha na thamani ya uhai wa mtu unayeenda kumuua. Kibaya ambacho wanakikwepa mabinti na wanawake ni kutokuwa na mtoto kwa wakati huo, lakini Ukitoa mimba hakukufanyi usiwe mama, unaendelea kuwa mama...
  7. Kitu gani kinapelekea wanaume wenzangu kukataa mimba?

    Hellow Mimi mpaka leo sijuwagi kwanini washikaji wanakataa mimba za mademu zao ilihali wao ndio wahusika Ujue kuna vitu unatakiwa ujiepushe navyo kwenye lile tendo mfano hutaki kuzaa na huyo mwanamke basi mwaga njee au vaa kondom au kama huwezi ukitoka hapo mpe p2 japo sio nzuri sana. Sasa...
  8. Nigeria: Kijana wa miaka 17 ashikiliwa kwa kuwapa mimba wanawake 10

    Jeshi la Polisi la Jimbo la Rivers Nigeria limemkamata mvulana mwenye umri wa miaka 17 aliyetambulika kwa jina la Noble Uzuchi na Chigozie Ogbonna (29) kwa madai ya kuwapa ujauzito wanawake 10 kwa ajili ya biashara haramu ya kuuza watoto. Waliokamatwa wengine ni washukiwa wawili wa kike, Favour...
  9. S

    Nimepeleka barua ya posa juzi juzi halafu danga la mtaa linajitokeza na kudai kuwa lina mimba yangu

    Ukisikia mtu anapatwa na msongo wa mawazo ndiyo hapa Sasa. Nimesota Sana kumpata mtu sahihi (wife material). Hivi karibuni nimekata shauri kumchumbia mdada fulani baada ya kuwa na vigezo karibu vyote ninavyohitaji, na kuamua kupeleka barua ya posa. Baada ya siku 3 tu napata sms ya danga...
  10. Anajaribu kunizuia kumwagia nje wakati nakaribia kufika mshindo, ni mbinu ipi ya kukabiliana na mwanamke huyu niliyekolea kwake ila sitaki kumpa mimba

    Ni takribani miezi miwili sasa tangu nikutane na binti flani kamaliza kidato cha sita mwaka jana ila kwakuwa hakuwa na ada imebidi awe anakwenda kuuza duka la ndugu yake asubuhi na kurudi saa 12 jioni kila siku kasoro jumapili. Duka lilipo sio mbali sana na ofisi yangu, nilipomwona huyo mtoto...
  11. Mimba iliyotungwa kwenye ovary

    Habarini za usiku ndugu zangu, Mimi ni kijana wa miaka 27, nimeoa miezi mitatu iliyopita. Sasa, juzi ghalfa mke wangu akaanza kujisikia maumivu upande wa chini wa kulia. Baada ya kumpeleka hospitali nikaambiwa ana UTI na Fangasi,alipewa dawa za kutibu hayo maradhi lakini hakupata nafuu...
  12. H

    DOKEZO Clinic ya Marie Stopes Mwanza inatoa huduma za utoaji mimba (abortion)

    Clinic ya Marie Stopes iliyoko jijini Mwanza wanajihusisha na vitendo vya utoaji mimba. Mimba zinatolewa sana hapa, hasa za wanafunzi wa vyuo vikuu maarufu vya hapa Mwanza (sitaki kuvitaja) na wake za watu waliopata mimba za michepuko. Mchezo unaofanyika ni kwamba wanawake wanaohitaji hiyo...
  13. Naomba ushauri wa kitaalamu: Alimeza P2 ila kashika mimba

    Nilitembea na girlfriend wangu siku ya 14 akameza dawa baada ya masaa 24 means jioni ya siku iliyofuata baada ya kulala nae na baada ya kumeza dawa that night nililala nae tena nikijua ile dawa bado inafanya kazi ila ameshika mimba. Sasa kwa upande wangu iyo mimba sio tatizo ila nawaza huenda...
  14. Baba akamatwa kwa kuwapachika mimba binti zake wawili

    Polisi wa eneo Bunge la Kandara, Kaunti ya Murang'a wanamshikilia baba wa watoto wanne wa kike pamoja na mkewe baada ya mtoto wao kufichua kuwa mzazi huyo amekuwa akiwabaka. Inadaiwa mwanaume huyo amekuwa akiendeleza unyama huo huku mkewe akifahamu kinachoendelea. Aliyefichua siri hiyo ni...
  15. Technology: Mifuko ya uzazi bandia inayotengeneza watoto, wanawake hawatabeba tena mimba. Wazazi kuchagua jinsia,rangi,akili urefu wa watoto?

    Mwanateknolojia wa kibaolojia na mtayarishaji wa Filamu Hashem Al-Ghaili anatupeleka kwenye ziara isiyotulia lakini ya kuvutia ndani ya EctoLife - kituo cha kwanza cha uzazi wa mpango EctoLife ni teknolojia itakayowapa wazazi wa siku za usoni njia mbadala inayodhaniwa kuwa salama zaidi ya...
  16. Mwalimu Sarah wa Kilakala Sec. Alipata kesi ngapi za kuwapa Mimba wanafunzi. Kwanini hakupelekwa Jela?

    Ukishangaa ya Musa utayaona ya Makamba. Nimesikia Kwa watu zaidi ya wanne visa vya Mwalimu Sarah wa Kilakala Sec kuwapa Mimba wanafunzi wa Kilakala na Adrian Mkoba. Alitambulika kama mwanamke lakini mwenye dushe na dushe lilikuwa linapiga kazi. Namimba aliwapa madent kadhaa sasa ajabu mbona...
  17. S

    Sexless: Ukiona mchumba wako anaumwa sana wakati wa hedhi basi ujue-katumika sana, katumia sana Vidonge vya kuzuia mimba ama amechoropoa sana

    Kibayolojia kuna sababu zifuatazo zinazosababisha maumivu wakati wa hedhi: 1. Endometriosis. 2. Uterine fibroids. 3. Adenomyosis. 4. Pelvic inflammatory disease. 5. Cervical stenosis. (Kajisomee mwenyewe hukunilipia ada) Katika sababu zote hizo ni moja tu (no.5) ndiyo huwezi kumlaumu mwanamke...
  18. K

    Tafiti zinaonyesha wanawake wanaopata mimba kutoka kwa ndugu wa damu, wao na watoto wao wanatengwa

    Tafiti zinaonyesha Wanawake wanakosa uamuzi wa kuendelea kulea mimba isiyotarajiwa hasa zile zitokanazo na maharimu (kujamiiana na ndugu wa damu) kwani jambo hili halikubaliki na jamii nyingi za Kiafrika. Pia watoto waliopatikana kwa mazingira haya hutengwa na kubaguliwa (Rosemary B. &...
  19. Yamenikuta mwenzenu, nimempa mimba mchepuko!

    Habarini za majukumu ndugu zangu. Naandika uzi huu nikiwa na huzuni kubwa sana na sijui la kufanya ni nini. Nina mchumba wangu ambae tunapendana sana ila kutokana na nature ya majukumu yangu hatukuweza kuonana nae kwa almost miezi 9, so katika harakati zangu za kupunguza genye nikapata demu...
  20. Ukiona dalili za mimba kuharibika nenda kituo cha afya usipate huduma ya kienyeji

    Mwanamke yeyote ambaye mimba imetoka au kutolewa anatakiwa kupata huduma ya afya ya uzazi kwa kuokoa Maisha yake katika kituo chochote cha afya kilichopo karibu yake. Huduma hii ni salama akiipata kwenye kituo cha afya kwani ataweza kupata huduma ya kusafishwa kizazi , atapata ushauri wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…