milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Utafiti Tanzania: Mimba milioni moja zisizotarajiwa utungwa kwa mwaka, 39% huharibiwa

    Licha ya sheria kukataza utoaji mimba, vitendo hivyo hufanyika na mara nyingi kwa njia zisizo salama. Pamoja na kwamba takwimu zinaonesha tatizo la vifo vya uzazi linapungua, bado kuna baadhi ya mambo yanachangia liendelee kuwepo ikiwemo suala la utoaji mimba usio salama ambao unachangia tatizo...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Ufisadi: Inasemekana kila mwanakikundi wa ngoma kutoka Bagamoyo walioenda Marekani matumizi kwa siku ni milioni 3!

    Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana na Samia huko Marekani. Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kila siku kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel. Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki...
  3. JamiiForums Tanzania Wazo La Biashara

    Habari za wakati huu wakuu; Leo nataka niwe BRIEF maana katika maoni ya wadau niliyopata ni kwamba nipunguze urefu wa maandiko yangu kwa sababu baadhi ya watu wana processing power ndogo na wakifika mwisho wa andiko wanakuwa wamesahau ujumbe wa msingi.SO nitakuwa BRIEF WAZO LINAHUSU NINI? Wazo...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso awasweka ndani wahandisi, mkandarasi Handeni

    Handeni. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameliagiza jeshi la polisi wilayani Handeni kuwakamata na kuwaweka ndani watumishi wawili wa wizara hiyo na mkandarasi anayejenga bwawa la Kwenkambala kwa kushindwa kumpa taarifa sahihi kuhusu ujenzi wa bwawa hilo. Waziri Aweso ametoa agizo hilo leo Jumanne...
  5. JamiiForums Tanzania Kulikuwa na nini kati ya Tanroad ya Mfugale na JPM? Tanroad ilipokea fedha kuleta mtambo wa kutengeneza sukari wa dola milioni 50, haukuletwa!

    Huyu ndiye Rais wa wanyonge, aliyejipambanua kupambana na ufisadi, alidanganya wananchi wa kawaida wakamwamini, mlango wa nyuma alikuwa anafanya kweli. Kazi ya Tanroad ni barabara, lakini Mfugale alikuwa Kila mahali, uwanja wa ndege chato, yupo,standard gauge railway yupo. ==== ➡️"TANROAD...
  6. JamiiForums Tanzania TAMISEMI yafafanua taarifa ya kununua pikipiki 68 kwa Tsh milioni 789

    Wizara ya TAMISEMI imesahihisha taarifa yake iliyosomwa bungeni leo Aprili 14, 2022 na Waziri wa Wizara hiyo Innocent Bashungwa na kusema kwamba, Pikipiki za maafisa ustawi wa jamii zilizonunuliwa zilikuwa ni 268. Kupitia taarifa iliyotolewa leo Aprili 14, 2022, na Mkuu wa kitengo cha...
  7. JamiiForums Tanzania Konde Gang: Sahau views laki 3 za Ibra ndani ya dakika 1, Harmonize kafikisha views Milioni 1.3 ndani ya sekunde 30

    Koh koh koh, yooooo jeshiiiiiiii , views for everibadeee Cha ajabu jamaa hajali kabisa na anajiona tembo, kapost kwenye page yake kujipongeza huku akila mafegi kho!! Kho!! Kho!! Views milioni 1.3 hizo ndani ya sekunde 30😳😳 ..... Koh koh koh, Konde gang mziki umewashinda kihivyo mpaka mnunue...
  8. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Sekta ya Mawasiliano imeajiri watu milioni 1.5

    Waziri wa Mawasiliano amezungumzia umuhimu wa Sekta ya mawasiliano nchini ambapo amesema inachangia 5.2% ya GDP ambayo ni Trilioni 5.7 kwa mwaka 2021. Pia imepelekea ajira rasmi na zisizo rasmi milioni 1.5 sawa na 2.6%. Sekta ya mawasiliano pia imetajwa kuongeza ukusanyaji wa mapato ya...
  9. JamiiForums Tanzania Marekani kutoa pipa milioni 1 za mafuta kwa siku

    Rais wa Marekani, Joe Biden ametangaza kuwa pipa milioni 1 za mafuta zitatolewa kutoka kwa hifadhi ya mafuta ya taifa hilo kila siku kwa kipindi cha miezi sita ili kusaidia kupunguza bei ya mafuta ambayo imekuwa ghali kwa waendesha magari wa nchi hiyo. Biden amesema mapipa milioni 180 kutoka...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DRC ndani ya EAC: Jumuiya sasa ina walaji milioni 280; ushindwe mwenyewe kwa uzembe wako!

    Jumuiya sasa imeunganisha bahari Hindi na Atlantic. DRC yenyewe kwa ukubwa wa ardhi ilikua kubwa hata kuzidi jumuia ya EAC ya mwanzo, halafu ardhi yao ina rotuba nzuri kote na madini ya kumwaga, wao hukwamishwa na mavita vita tu japo hayapo nchi yote. Wawekezaji hii ndio fursa sasa, kawaida...
  11. JamiiForums Tanzania UN: Watu milioni 10 waikimbia Ukraine

    Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi Duniani UNHCR, Filippo Grandi amesema watu milioni 10, ikiwa ni zaidi ya robo ya idadi jumla ya raia wa taifa hilo wamelikimbia kutokana kile alichokiita vita vya maangamizi vya Urusi. Grandi amesema idadi hiyo inajumisha wakimbizi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Dereva lori la mafuta ahukumiwa jela miaka minne na faini milioni 16

    Mahakama ya Mkazi Wilaya ya Iringa imemfunga jela miaka minne pamoja na kulipa fidia ya shilingi 16,050,000 dereva wa lori la mafuta la Kampuni ya Panone And Co. Ltd, Faid Mussa Manis baada ya kupatikana na hatia katika kesi jinai namba 2019 iliyokuwa ikimkabili yeye na wenzake 6...
  13. JamiiForums Tanzania Polisi yawakamata watu 11 kwa kuwatapeli masista wa Kanisa la Katoliki Sh milioni 100

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum la Dar es Salaam limewakamata matapeli sugu wa viwanja kwa tuhuma za kujipatia Tsh. milioni 100 kwa njia ya udanganyifu, wakijifanya wanamiliki na kuuza viwanja vya makazi ambavyo siyo vyao. Matukio waliyoyafanya yametokea kati ya mwezi Januari na Februari 2022...
  14. JamiiForums Tanzania Iringa: Tsh Milioni 100 za wodi ya wazazi zapokewa kwa shangwe kijijini, zapunguza vifo vya kina mama

    Uongozi wa Kijiji cha Igoda, Kata ya Luhunga, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa umepongeza jitihada kubwa zinazofanywa na Kampuni ya Foxes Treck kupitia Taasisi ya Foxes Community and Wildlife Conservation (FCWC) kwa kujitolea zaidi ya Tsh milioni 100 kujenga wodi ya wazazi na zahanati...
  15. JamiiForums Tanzania Tsh 500 milioni anazozungumzia Saashisha mbunge wa Hai , kuna jimbo limepewa au ziko wapi?

    Huko Narumu ni kule kwenye Kata aliyopeleka 1.5Bilioni za barabara. Leo anasema anapeleka kwenye kata hiyo hiyo 500 milioni? Huyu mbunge ni mbinafsi na muongo na kuna kila dalili uchaguzi ujao atapata kura za Narumu tu. === Mbunge wa Hai, Saashisha Mafuwe amewataka wananchi wa Wilaya hiyo...
  16. JamiiForums Tanzania Indonesia kuipa Tanzania dawa za Uviko-19 za milioni 345

    Serikali za Tanzania na Indonesia zimekubaliana kushirikiana katika kuboresha huduma za afya kwa faida ya pande zote mbili. Hayo yamebainika Machi 8, 2022 ambapo Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alikutana na Tri Yogo Jatmiko, Balozi wa Jamhuri ya Indonesia nchini Tanzania katika ofisi za Wizara...
  17. JamiiForums Tanzania Vifo vya Covid-19 vyafikia milioni 6 duniani kote

    Idadi rasmi ya watu waliokufa kutokana na COVID-19 inakaribia kuzidi watu milioni sita, wakati ambapo janga hilo linaloingia mwaka wake wa tatu, likiwa bado halijaisha. Takwimu zilizotolewa na Chuo Kikuu cha Johns Hopkins, zinaeleza kuwa hadi Jumatatu watu 5,999,158 wamekufa kutokana na virusi...
  18. JamiiForums Tanzania Familia ya watu 10 kutumia milioni 3 kwa mwaka kwa manunuzi ya vyakula

    Kuna mama alituekeza maisha ya familia yake. Yeye na mume wake wamebarikiwa kupata watoto wanne. Walichukua jukumu la kulea watoto wawili wa ndugu waliofiwa na wazazi wao. Msichana wa kazi na kijana wa shamba. Waliamua kuondoka mjini miaka mitano iliyopita baada ya kununua eneo la ekari tano...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Wakuu, Kutokana na wadau kadhaa kuja na mijadala anuai inayoonyesha kuwa wanayo mitaji yenye kuanzia kiasi cha TZS 100,000/= hadi TZS 999,999/=, tumeona ni vema tukawa na mjadala mmoja endelevu ambao utatoa mawazo mbalimbali ya jinsi ya kutoka kimaisha ukiwa na mtaji huo. Aidha, tunashauri...
  20. JamiiForums Tanzania Mchongo wa Kompyuta za Sh milioni 132 huu hapa, Jokate Mwegelo ametumika

    Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kwa kushirikiana na asasi ya BRAC-Maendeleo, imetoa kompyuta 120 zenye thamani ya Sh milioni 132 kwa shule tatu za Wilaya ya Temeke kwenye mradi wa “Skills for Their Future”. Kompyuta hizo zilikabidhiwa na Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo, kwenye hafla...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…