milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania DC Ikungi awapeleka watatu TAKUKURU kukwamisha ujenzi kituo cha afya Irisya wamaliza milioni 500 ujenzi haujakamilika

    Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry C. Muro leo tarehe 01/11/2022 amemuelekeza mkuu wa takukuru wilaya ya Ikungi kuanza uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili watumishi watatu waliokuwa wanasimamia ujenzi wa kituo cha afya kata ya Irisya tarafa ya Sepuka jimbo la singida magharibi Pamoja na hatua...
  2. JamiiForums Tanzania Zumaridi aiambia Mahakama kuwa Polisi walichukua Tsh. Milioni 19 nyumbani kwake

    Shahidi namba tatu katika kesi ndogo ndani ya kesi kubwa ya Shambulio la kudhuru mwili Diana Bundala Maarufu kama mfalme Zumaridi ametoa ushahidi wake leo Novemba Mosi, 2022 huku akidai kuwa Askari waliofanya ukaguzi katika nyumba yake wakati akikamatwa walichukua shilingi Milioni 19 na laki...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoa ufafanuzi matumizi ya Milioni 480 kutangaza matokeo ya Sensa

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani(CCM), Subira Mgalu amesema madai ya kuwa Serikali imetumia Shilingi Milioni 480 kwa ajili ya kutangaza matokeo ya Sensa haina ukweli wowote. Subira Mgalu amesema Serikali pengine itatolea ufafanuzi suala hilo huku akiwataka wananchi kuwa na subra.
  4. JamiiForums Tanzania CDC yatoa Tsh. Milioni 181 kukabili Ebola, kipindipindu mipakani

    Serikali ya Marekani kupitia Kituo cha kudhibiti na kuzuia magonjwa cha Marekani (CDC), imekabidhi vifaa vya teknolojia ya habari na mawasiliano (Tehama) vyenye thamani ya Sh181.1 milioni kwa ajili ya ufuatiliaji wa magonjwa katika mipaka ya Tanzania. Vifaa hivyo ni pamoja na kompyuta za...
  5. JamiiForums Tanzania Ukame wa sasa ni Matokeo ya Ukataji Miti Mil 2.7 ya Selous

    Magufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia mfute kazi Waziri Mkenda; anakuchafua nje ndani

    Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kumchosha mtu yeyote. Nawapongeza Baraza la Mitihani (NECTA) kwa kufanya kazi nzuri ya kufichua uovu uliofanywa na Shule ya Chalinze Islamic Modern School kuwabadilishia wanafunzi 7 namba za mitihani kwa sababu wanazozijua wao wenyewe. Lakini...
  7. JamiiForums Tanzania Nimebobea kwenye masomo ya Physics na Chemistry. Natafuta kazi

    Mambo zenu wakubwa, Naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni kijana mwezenu nina shahada ya fizikia na kemia. Shahada yangu nilifaulu vizuri sana kwa GPA ya 4. A-level nilifaulu vizuri masomo ya PCM yaani Physics, Chemistry na Mathematics. Nimebobea vizuri sana katika masomo ya Physics...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Gharama za Himars 'zapaa' na Taiwan kuongeza malipo ya dola milioni 400 ili kupata ingizo la kwanza la silaha hizo hatari

    Mifumo hiyo itaanza kuwasili mwaka 2024 kwa mujibu wa gazeti la Liberty Times la Taiwan. Taiwan inahitaji kuagiza jumla ya mifumo 29 ya Himars kutoka nchini Marekani. Makubaliano ya awali kati ya Taiwan na Marekani yalisema kwamba uagizwaji wa kwanza ungegharimu jumla ya dola milioni 300.9 kwa...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safaricom yatuhumiwa kubadili usajili wa laini ya mteja na kuruhusu wizi wa Tsh. Milioni 7.6

    Abdi Zeila amefungua kesi ya madai dhidi ya kampuni hiyo ya Mawasiliano akiituhumu kufanya mabadiliko hayo kitendo kilichopelekea kutolewa fedha kupitia Benki ya NCBA bila ridhaa yake. Zeila amesema wizi huo usingewezekana bila kuwepo mtu mwenye kibali cha kuifikia mifumo ya Taarifa Binafsi za...
  10. JamiiForums Tanzania Kwahiyo Yanga SC yetu tulimsajili Aziz K kwa Tsh. milioni 550 aje acheze Shirikisho kwa walioshindwa?

    Wana Yanga SC wenzangu karibuni tulijadili hili tafadhali, na ikiwezekana tuandamaneni hadi klabuni au ofisi za GSM tukamwambie Rais Injinia Hersi Said kuwa hatumtaki, tumemchoka na atuachie Yanga SC yetu haraka (upesi) sana.
  11. JamiiForums Tanzania Ni marufuku kuingia Qatar bila kibali maalumu kuanzia Novemba 1, 2022

    Uamuzi huo umechukuliwa ili kudhibiti idadi ya wageni pamoja na wale wanaotarajiwa kuwasili kwaajili ya kushuhudia Kombe la Dunia linaloanza Novemba 20. Mkuu wa Idara ya Vibali vya Ukaazi, Saad Al-Suwaidi amesema hadi sasa wamepokea maombi karibu milioni 1.7 ya wageni wanaohitaji vibali...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Nghonghona, Dodoma

    Kiwanja chenye ukubwa wa sq.909, kinauzwa, bei milioni 5.5 Kipo Nghonghona, kilomita chache sana kutoka Benjamin Mkapa Hospital, Dodoma. Kimepimwa. 0779017650 Kimewekewa beacon kabisa, very potential plot. Nyaraka zote zipo.
  13. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni asaini sheria ya mitandao, ukiikera Serikali jela miaka 5 na faini Tsh. Milioni 6

    Rais Yoweri Museveni amesaini Sheria ya Matumizi ya Mitandao yenye vifungu vya kuwabana watumiaji mitandao endapo watachapisha au kusambaza habari zinazoikera Serikali au watu binafsi. Sheria inatamka kuwa “Mtu yeyote anayetumia mitandao ya kijamii kuchapisha au kusambaza habari zilizopigwa...
  14. JamiiForums Tanzania TAKUKURU waagizwa kuchunguza jengo la zahanati lililotumia Tsh. Milioni 75 na halina milango wala madirisha

    Mwonekano wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Mtakuja iliyopo Wilaya ya Ruangwa ambayo imeshatumia Tsh. Milioni 75 hadi sasa. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi amemwagiza Kamanda wa TAKUKURU wilayani Ruangwa kufanya uchunguzi wa...
  15. JamiiForums Tanzania Dodoma: Tunauza Viwanja na kutafuta wapangaji wa nyumba

    Inatokea unataka kuja DODOMA kusoma, kuishi au hata kikazi, nakusihi uwasiliane namimi endapo mahitaji yako ni chumba cha kuishi, nyumba au hata appartment. Mpangaji huweza kulipia mara baada ya kuona chumba Kama ni mhitaji wa chumba,nyumba kama ni mhitaji wa nyumba. Mpangaji hutoa chaguo lake...
  16. JamiiForums Tanzania TRA yaendelea kumkaba koo Toufiq Salum Turky kodi ya gari milioni 308.5

    MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema mfanyabishara maarufu wa Zanzibar, Toufiq Salum Turky, bado hajalipa Sh. milioni 308.5 za kodi kutokana na kuingiza gari la kifahari aina ya Benzi, Januari, mwaka huu. Naibu Kamishina wa TRA Zanzibar, Juma Bakary Hassan, aliwaambia waandishi wa habari...
  17. JamiiForums Tanzania Watanzania Milioni Saba 'Wamedata' Kiakili

    "Watanzania Milioni Saba wana matatizo ya Akili kutokana na Changamoto mbali mbali za Kimaisha" Amka na BBC Asubuhi ya Leo. Na zifuatazo ni sababu Kuu zinazopelekea 'Wadataji' hao ( siyo GENTAMYCINE ) kuwa hivyo.,.. 1. Madeni 60% 2. Mahusiano 25% 3. Ajira 10% 4. Kushabikia Yanga SC 3% 5...
  18. JamiiForums Tanzania Rais wa miaka 10 wa watu milioni 60, siku yake kubwa kuliko zote maishani ilikuwa kukutana na Michael Jackson na Rihanna!

    Mzee, hujatutendea haki, hujarudisha heshima tuliyokupa. The biggest day of your life haiwezi kuwa siku uliyokutana na Rihanna na Michael Jackson... Jamani! Kwa miaka kumi ukiingia bafuni Mikocheni sisi tunaanza kusimamishwa Kiwalani kujiandaa kukupisha unaenda Airport, ukija msibani na...
  19. JamiiForums Tanzania META yasema watumiaji milioni 1 wa Facebook wamedukuliwa

    Taarifa kutoka mtandao huo zinasema walibaini Apps zaidi ya 400 za udukuzi kwenye Play store ya Google inayotumiwa na vifaa vya Android na App Store ya vifaa vya Apple zinazoiba Taarifa Binafsi za wateja. Msemaji wa META, Gabby Curtis ametaja taarifa zinazohusishwa na udukuzi ni pamoja na...
  20. JamiiForums Tanzania RIPOTI IGAD: Watoto milioni 10 wana Utapiamlo Afrika Mashariki

    Ripoti hiyo mpya ya Shirikisho la Maendeleo la Pembe ya Afrika imeonesha Watoto milioni 10 wana Utapiamlo huku zaidi ya watu 380,000 wakiwa kwenye hatari ya kufa kutokana na njaa. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho hilo Workneh Gebeyehu ametaja sababu kuwa ni ukame ambao haujawahi kutokea kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…