Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Nghonghona, Dodoma

Ezengege

Member
Oct 15, 2022
15
3
Kiwanja chenye ukubwa wa sq.909, kinauzwa, bei milioni 5.5

Kipo Nghonghona, kilomita chache sana kutoka Benjamin Mkapa Hospital, Dodoma. Kimepimwa. 0779017650

Kimewekewa beacon kabisa, very potential plot. Nyaraka zote zipo.

1666081216265.png
 
Mkuu inapoa bei?
Kina document zipi? Offer letter au hati kubwa? Huduma za umeme na maji vipi? Nimeuliza hapa ili nikipiga simu tusiongee mengi!
 
Hizo barabara zote zinazopakana na hicho kiwanja zimeshachongwa? Au bado ujenzi wa nyumba za makazi na biashara haujaanza kwenye hilo eneo!

Naona kama kinanitamanisha eti!
Ujenzi unaendelea na barabara zipo,bear in your mind,kua ni jirani na Benjamin Mkapa Hospital,so barabara ya lami ipo,ujenzi unafanyika kwaajili ya makazi na biashara pia.Ni vyema ukakiona.
 
Ujenzi unaendelea na barabara zipo,bear in your mind,kua ni jirani na Benjamin Mkapa Hospital,so barabara ya lami ipo,ujenzi unafanyika kwaajili ya makazi na biashara pia.Ni vyema ukakiona.
Tuombe uzima. Kama hakitachukuliwa mapema, basi mwishoni mwa mwezi huu nitakuja kukiona.
 
Tuombe uzima. Kama hakitachukuliwa mapema, basi mwishoni mwa mwezi huu nitakuja kukiona.
Poapoa,karibu sana,hatakama kikichukuliwa,ukihitaji vingine,usisite kuwasiliana namimi.Vipo vyenye OFFER,na vingine vina hati kabisa,kwa bei mbalimbali.
 
Bado kipo,wadau,usiogope,njoo site ukione,hakika utakipenda,na utaona umepewa kwa bei ya kutupa.
 
Ijumaa,kama kitakuwepo,nakuja kukitathmini,ikieezekana kukinunua kabisa,kama kitakuwepo.
 
Back
Top Bottom