Kwa ufupi sana.
Kuna wakati wife alipata changamoto ya kiafya. Matibabu yalikuwa gharama kidogo kutokana na safari za hapa na pale. Kuna wakati akiba ikakata ikabidi nijikopeshe kupitia vyanzo vingine.
Siku moja nikachukua kadi na kuchungulia akaunti yake nikakuta ina milioni saba imetulia...
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni leo Agosti 10, 2022 imeiamuru Kampuni ya Bima ya Dexter Insurance kumlipa dereva wa Kampuni ya mabasi ya New Force, Waubani Linyama maarufu kama ‘Ndugu abiria’ fidia ya Shilingi milioni 150 kwa kosa la kutumia picha yake kwenye mitandao ya kijamii kujipatia faida...
Tunamalizia ushindi wa Simba na sherehe za 8-8 kwa kukuletea chuma kali kwa bei mtelezo
Toyota Chesa hyoo ipo posta DAR full Ac Tair Safi bei imepoa mil 3 top njoo chap 0713-096-076
Wahi chap tuache comments zisizo na mashiko.
Weekend iliyopita ilikuwa siku nzuri kwa Diamond Platnumz wakati mgombea Urais Raila Odinga aliposimama mbele ya Wakenya na kuwaomba kumpigia kura kama Rais ajaye kabla ya Uchaguzi Mkuu unaofanyika kesho August 9.
Diamond, pamoja na mpenzi wake wa zamani Zari Hassan, walikuwa bize kupanga...
Huyu Bidada niliwahifika Ofisi kwake nilikua nahitaji huduma Fulani ivi.
Nilivutiwa naye yaan ni ile Tamaa tu kuona ni jeupe jeupe Nene limejaa mahips makalio n.k.
Alinipea namba ila kwenye kumuomba Mzigo akawa mgumu, alafu madharau mengi sana Sijui na kunichukulia poaaa
Unajua Binafsi huwa...
Takwimu mpya za UNAIDS zinaonyesha kuongezeka kwa Maambukizi ya VVU huku ikikadiriwa kuwa kila dakika mbili ya mwaka 2021, msichana mmoja aliambukizwa VVU na kila dakika mtu mmoja alifariki kutokana na magonjwa yanayohusiana na UKIMWI barani Afrika
Kulingana na Ripoti ya In Danger ya Shirika...
Ukimchukia au kama humpendi Rais Samia Suluhu uwe na sababu. Sio sababu tu, bali sababu za msingi ambazo unaweza kuzijengea hoja nzito na kila mja akakuelewa.
Kimsingi Rais Samia ndani ya siku 495 za Urais wake, amefanya makubwa katika kila sekta, wazungu wanasema 'No stone left unturned'...
Kupitia Hotuba ya Waziri wa Nishati kwa Mwaka 2022/ 2023 Serikali imetenga Milioni 500 kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupigia ambayo ni Gesi.
Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2022/23, Serikali itatekeleza miradi, mipango na mikakati ya matumizi ya nishati safi na salama ya kupikia hasa...
Na kuna Fowadi Mmoja tegemeo Kachukia kweli kweli anasema bora aruhusiwe tu aje Simba SC au aende zake Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.
Si mnajifanya Kuficha? Nimeshaipata.
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu akizungumza mkoani Tanga wakati akifungua kikao cha viongozi wa Dini pamoja na wadau wengine maendeleo kujadili mambo mbalimbali ikiwemo mikakati ya uhamasishaji na elimu kuhusu chanjo ya UVIKO 19 amesema zaidi ya Watanzania Milioni 11 wamepata chanjo ya UVIKO 19...
Msemaji wa Yanga, Haji Manara amefungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa muda wa miaka 2 na kupigwa faini ya Tsh milioni 20.
Manara amekumbwa na adhabu hiyo kutokana na sakata lake na Mwenyekiti wa TFF.
====
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)...
Halafu acheni Kupeleleza kila mara Simba SC anataka Kumsajili nani ili nanyi mjitutumue Kumsajili.
Mnajifanya Kuficha Siri ila imeshafichuka kuwa kumbe nanyi mlimtaka Okra ambaye anamzidi Aziz K na BM wenu mara 100 Kiuwezo ( Kiuchezaji ) kwa kwenda na Tsh Milioni 400/ Kamili haraka sana Tajiri...
Akitoa mada yake katika mazungumzo ya miaka 30 ya vyama vingi vya siasa, Zuberi Zitto Kabwe, alieleza kwamba kwa miaka mitatu tu, utawala wa JPM ulitengeneza masikini milioni nne, ambao,hapo awali, walikuwa wanajimudu kimaisha.
Hii maana yake JPM angetawala miaka 10 basi robo tatu ya watanzania...
Kila siku Serikali kupitia vitengo vyake mbalimbali wanabuni njia za kuongeza mapato.
Tozo mpya ya shilingi milioni moja kwa magari yanayokodishwa kwa ajili ya shughuli mbalimbali ikiwemo ya kubeba miili ya marehemu inatazamiwa kupitishwa na kuanza kutumika, kumbuka tozo hiyo inayosimamiwa na...
Umoja wa Ulaya (EU) umekubaliana kuipa Ukraine msaada zaidi wa kijeshi wa Dola Milioni 508 (Tsh Trilioni 1.17).
Rais wa Baraza la EU, Charles Michel amesema mawaziri wa Mambo ya Nje wa Ulaya wamekubaliana katika mkutano wao uliofanyika Brussels kujadili awamu nyingine ya vikwazo dhidi ya Urusi...
MASHINDANO YA RIADHA YA DUNIA
July 16 2022
Eugene, Oregon USA
Kama watashinda mbio za marathon za 42km Jumapili ya tarehe 17 July 2022, basi wanariadha wa Tanzania Emanuel Giniki GISAMODA | Profile | World Athletics Emmanuel Giniki 2:10:39' nafasi 200 kwa ubora duniani huku Gabriel Geay...
Kumekuwa na madai ya kwamba wasanii walioambatana na Rais Samia Suluhu katika safari ya Royal Tour walikuwa wakilipwa Tsh. Milioni 3 ya kitanzania kama pesa yao ya kujikumu kwa siku nzima kwa siku zote walizokuwepo nchini Marekani.
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa zaidi ya watoto Milioi 25 wamekosa kupata chanjo mbalimbali za magonjwa tofauti kutokana na mlipuko wa Virusi vya Corona vinavyosababisha Ugonjwa wa UVIKO-19.
Ripoti ya WHO na UNICEF imeonesha baadhi ya magonjwa yaliyokosa chanjo tangu mlipuko utokee...
Katika pitapita zangu nimekutana na video ya Anthon Mtaka akizungumza kuhusu Elimu, hii hapa chini
Nikaona kaongea ukweli fulani ,Hivi wana JF ,mtu ambae hajawahi somesha mtoto shule ya serikali hasa ya kata anawezaje akawa na mipango ya maana kuhusu hizi shule?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.