SOLD OUT
OFA KUBWA – PUNGUZO LA BEI!
Nauza Mashine ya Kusaga, Motor 30 HP, na Mashine ya Kukoboa (rollers 3) kwa bei ya OFA ya Tsh 5,000,000/= (Milioni Tano tu).
Vifaa vilivyopo:
Mashine ya Kusaga Complete (kinu size 75/100)
Mashine ya Kukoboa Complete (rollers 3)
Motor 30 HP
📍 Mashine...
Single mothers ni wahanga, sio wa kulaumiwa.!
Single mothers ni wahanga wa kuachwa na wanaume wasiotaka kubeba majukumu yao, wapenda starehe bila gharama, wanaume Hawa ni mzigo kwa taifa
Katika nchi zinazotambua hili, single mothers wamekuwa walipewa hela ya kujikimu kila mwezi, zaidi ya...
Chadema wamefikisha milioni 100 katika kampeni yao ya marathon ya kutafuta milion 300 na kitu
Imewachukua siku sita tu sawa na masaa 144 kufikisha kiwango hiki pamoja na changamoto ya tuhuma za ubadhirifu zinazomkabili makamu mwenyekiti ndugu Heche
Hapa lipo funzo kwa watanzania...
CHADEMA wakusanya Sh120 milioni kwa siku tano-
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameyasema hayo leo alipozungumza na wazee wa Mkoa wa Mara leo Julai 17.
Kama una kipato au kazi ambayo inaweza kuingiza kipato kuanzia milioni 50 kwa mwaka, weka hapa ni kazi au biashara gani ili watu wajifunze.
Au mtu afanyaje aweze kufika huko ikiwa ni hatua ya kijitoa kwenye umasikini, ni mradi gani afanye au mbinu gani atumie.
Nini aepuke ili asijekupotea...
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), limeidhinisha kutolewa mara moja kwa takriban dola za Marekani milioni 443.9 kwa Tanzania baada ya kukamilisha tathmini za mwisho chini ya programu za Extended Credit Facility (ECF) inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa...
Ndugu zangu wa jamiiforum nimeona nisiwaache bila kuwapatia zawadi nzuri member wa jamiiforum na Leo nahitaji mwenye wazo zuri la biashara atoe hapa jukwaani atumbie nikimpa milioni 500 atafanya uwekezaji gani na kwa muda gani ataweza ku double mtaji.
Mshindi atakayekuja na wazo zuri...
Mfano mke wako au mchumba anakwambia anataka afanye kazi ya online live streaming kwenye majukwaa ya watu wazima.hakuna kukutana na mteja yeyote ana kwa ana anafanya kila kitu akiwa chumbani nyumbani kupitia kamera. Wateja wote ni wa nje ya nchi na atakuwa analipwa takribani 70k kwa siku masaa 4...
Klabu ya Yanga imepigwa faini ya Shilingi milioni 100 na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Tanzania Football Federation kufuatia ukiukwaji wa kanuni za NBC Premier League katika mchezo namba 233 wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania FC uliomalizika kwa Yanga kushinda mabao 3-0.
Adhabu hiyo...
Hapa wazee napigwa? Nyumba ina vyumba vitatu na iko mstatili ameniambia milioni moja na laki mbili, vifaa vyote ni vyangu maeneo ya Dar iko sawa? Na mwingine kaniambia laki nane na nusu lakini ananiambia ninunue mbao buguruni eti mbao moja 18,000/= hapo vipi?😀
Ukubwa wa nyumba mita urefu mita...
Inadaiwa inamilikiwa na Mtanzania Patel. Lakini nimeongea na Mwarabu rafiki yangu, nilimuuliza kwanini Tangu Januari 2026 hii hotel inapokea Watu wengi kutoka Uarabuni hasa Oman?
Gharama ya kulala pale usiku mmoja, inaanzia milioni 4 hadi Milioni 7 na kuendelea kutegemeana na Msimu.
Akanijibu...
Kielelezo cha kula kwa ufupi wa kamba
Sample bajeti
Idadi ya mikoa 5
Idadi ya wanufaika kwa mikoa yote ni 100
Viongozi 15 @200,000 = 3,000,000/=
Wasaidizi 50 @100,000 = 5,000,000/=
Vidampa 50 @50,000 = 2,500,000/=
500,090 logistics
jumla kuu 11,000,000/=
Kielelezo cha kula kwa urefu wa kamba...
Milion Tatu za Maandalizi ya Mazishi Yako Zitapatikana Kwa Haraka Kuliko Laki Tatu za Mchango wa Matibu Yako.
Jamii ya Leo Kuna Ndugu Yao Anaweza Kua Anapitia Kipindi Kigumu Sana Katika Matibabu Yake na Kupelekea Kuomba Msaada wa Pesa Ili Aendelee Kupata Matibabu Ajabu Ndugu Hao Watashindwa...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Serikali imetenga Shilingi milioni 100 kwa ajili ya kuwazawadia wananchi watakaotoa taarifa sahihi zitakazosaidia kubaini na kuzuia vitendo vya uvunjifu wa amani nchini. Amesema hatua hiyo inalenga kuimarisha ushirikiano kati ya...
Bila uwekezaji wa DP World hii volume ingekuwa ndoto maana target ilikuwa kuhudumia Tani mil.30 by 2030 lakini target imefikiwa miaka 4 kabla .
Kwa sasa Bandari ya Dar ni Kimbilio sio njia mbadala Mombasa ikifeli.
Haya Sasa ndio maamuzi ya Tija Kwa Nchi, Serikali ingesikiliza zile kelele za...
Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe, Cde. Christopher Ngubiagai, ameongoza operesheni ya kuteketeza zana haramu za uvuvi zenye thamani ya shilingi milioni 73,615,000.
Shughuli hiyo ilifanyika mnamo Juni 18, 2026, katika Kisiwa cha Gana kilichopo Kijiji cha Kamasi, Kata ya Ilangala, ikiwa ni sehemu ya...
Siku zote jambo usilolijua ni usiku wa Giza, sikuwahi amini Wala sikuwahi kuelewa kitu kinaitwa URAIBU , ila sasa nimejua kwa vitendo Nini maana ya URAIBU
Nilikua nikisikia neno KAMARI , lakini sikujua kama Kuna siku nitakua MRAIBU WA kamari. Nimeshuhudia kwenye maisha yangu kwa vitendo ...
Kwa miaka takribani 20 ya uwepo wa vyama vingi sikutarajia kukutana na chama cha upinzani kinachopambamia dola huku kikitegemea msaada wa kifedha kutoka nje ya nchi kufanya harakati zake za kisiasa.ni aibu kubwa sana.
Ni heri Kubakia na wazalendo wa C.C.M waliojenga chama chao kwa kushawishi...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amekanusha vikali madai kuwa Shilingi Milioni 900 zilizotolewa na wafadhili zitatumika kufadhili maandamano ya mwezi ujao, akisisitiza kuwa kauli hizo ni propaganda za uongo zinazosambazwa na kada wa CCM, Ally Hapi.
Mnyika ametoa ufafanuzi huo leo Jumatano...