mikopo

  1. Nitaenda Misaa yaTatu

    JamiiForums Tanzania Wabobevu wa mikopo naomba msaada wenu hapa

    Wakuu heshima yenu. Nipo nafanya process za kukopa mkopo mdogo wa miezi sita tu maana Nina jamu ya chapu hapa. Lakini Cha ajabu naambiwa sifa zangu ni mbaya..... msg hii hapa "Dear customer, you have a negative status in credit bureau. please clear your previous loan to qualify for ......."...
  2. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania HESLB na NIDA kushirikiana kuwatambua waombaji mikopo kupitia NIN

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) leo Ijumaa Mei 16, 2025, wamefanya kikao na waandishi wa habari katika ofisi za HESLB Kanda ya Mashariki zilizopo Dar es Salaam kwa lengo la kuutarifu umma kuhusu kuanza kushirikiana kuwapatia namba...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Itaendelea Kutoa Mikopo kwa Vikundi vya Wanawake

    SERIKALI ITAENDELEA KUTOA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE. Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema serikali kupitia Halmashauri za mkoa wa Mwanza inaendelea kutekeleza jukumu la utoaji wa mikopo kwa vikundi vya wanawake waliokidhi vigezo kwa kuzingatia Sheria, taratibu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na simu za mikopo

    Wakuu habari yenu Naomba mwenye uelewa wa teknolojia ya namna ya kufanya biashara ya kukopesha simu . Nataka kufanya hii biashara ila nashindwa pa kuanzia. Natanguliza shukran
  5. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali kuanzisha mfuko wa 'Samia Innovation Fund' wenye thamani ya Tsh. bilioni 2.3 kutoa mikopo nafuu kwa wabunifu

    Serikali inatarajia kuanza utekelezaji wa mfuko wa Ubunifu wa Samia “SAMIA Innovation Fund” wenye thamani ya Shilingi Bilioni 2.3 utakaotoa mikopo nafuu kwa wabunifu kwa lengo la kuendeleza na kubiasharisha ubunifu pamoja na kutoa fursa za ajira kwa watanzania kupitia kazi za ubunifu. Waziri wa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ada ya kuomba mkopo wa vyuo, wasipoupata mkopo HESLB muwe mnawarudishia wanafunzi hela zao

    Habari Wana Jamii,Sina maneno Mengi ni hii bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu. Huu ni mwaka wa pili mwanangu anaomba mkopo anakosa!Cha ajabu anapoomba,lazima atoe mchango wa mkopo,ambao unaenda na haurudishwi!Ifikie wakati ukikosa urudishiwe hiyo hela ya maombi au kama unaomba kwa mara...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Aprili 2025, Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania umetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 2.69 kwa miradi

    Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Aprili 2025, Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania umetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 2.69 kwa miradi 143 ya utamaduni na sanaa.
  8. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Takukuru yaokoa milioni 700 kwenye utoaji wa mikopo ya asilimia kumi

    Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza kwakushirikiana na wadau wa kamati ya uhakiki ya Wilaya ya Nyamagana wameokoa kiasi cha shilingi milioni 700 kwenye mikopo ya vikundi inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani ya Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa mwaka...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Palamagamba Kabudi: Wasanii wamepatiwa mikopo zaidi ya TSh. 5 Bilioni na Rais Samia

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi amesema Rais Samia ameweka mazingira wezeshi kwa Wasanii nchini kwa kuwapa mitaji ya kuboresha kazi zao ambapo katika uongozi wake amefufua mfuko wa Utamaduni na Sanaa uliokuwa umekufa kwa zaidi ya miaka 10 na kipindi...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya mtandaoni: Soma chat za mdaiwa na mdai madeni

  11. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yajipanga kuongeza mikopo ya wanafunzi wa stashahada

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema Serikali imejipanga kuongeza wigo wa utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati vinavyotoa stashahada lengo ni kuongeza idadi ya wataalamu. Utoaji wa mikopo katika ngazi za stashahada kwa wanafunzi wa ngazi hiyo ya elimu...
  12. dorge

    JamiiForums Tanzania Kampuni za mikopo online zimerejea kwa kasi kubwa

    Hawa watu benki kuu iliwaondoa Cha ajabu wamerejea kwa Kasi sana.
  13. Gai da seboga

    JamiiForums Tanzania Hivi Mikopo ya Hazina kwa Watumishi wa Umma inachukua Muda gani Kupewa?

    Wasalam mabibi na mababu, Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza, Toka mwezi March tarehe 24 kulitoka tangazo la mikopo ya Hazina isiyo na Riba kwa watumishi takriban Halmashauri Nyingi Tu Nchini, Dirisha la kuomba kupitia Hazina Portal liliwekwa mpaka Tarehe 5 April. Baada ya hapo kukawa na...
  14. JF Member

    JamiiForums Tanzania Riba ya Mikopo ya Tanzania na Kenya

    Katika kujisomea kwangu mambo ya uchumi. Naona sasa ni rahisi kukopa kenya na kuja kuwekeza Tanzania. Riba yao ni nafuu kuliko ya kwetu. Kwa hari hii sisi tutaendela kuwa chini kiuchumi. Serikali na BOT fanyeni mpango mpunguze Riba ili wananchi wakope pesa na wawekeze. What is the CBK base...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nitoe wito kwa umoja wa mataifa kuiwekea vikwazo serikali ya Tanzania na jeshi la polisi na kusitisha mikopo au misaada yoyote

    Ripoti za ndani ya nchi zisizokuwa na shaka zinaonesha kuna wizi mkubwa wa fedha za umma katika mamlaka na kuna ukamataji na utekaji wa wale wanaopigania haki na kukemea wizi na rushwa kwa serikali ya Tanzania na kuhamasisha uchaguzi wa haki kuelekea uchaguzi mkuu. Nitoe wito kwa umoja wa...
  16. Peacehand

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo

    Havi bodi ya mikopo human wanawakopesha wazazi au watoto. Kwa maoni yangu wazazi ndio wanakopeshwa maana ni wao walitakiwa kuwagharimia watoto wao. Niishauri serikali itafuta namna ya kuwadai wazazi fedha hizo na sio watoto kama wanavyofanya sasa ivi
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KERO Halmashauri ya Buchosa toeni mikopo kwa Vikundi vilivyojisajili, mbona mmeishia kutoa kwa Viongozi wenu tu?

    Kuna tatizo kwa Vikundi katika Halmashauri ya Buchosa vina malalamiko kuhusu ile mikopo ya Asilimia 10 kwa vijana, kuna vikundi vimeomba mkopo tangu Julai 2024, hela zilitoka na zikaenda kwa Viongozi wa juu wa Halmashauri lakini upande wa pili wameshindwa kutoa mikopo hiyo kwa vikundi husika...
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Serikali kuongeza umri, sifa ya kupata mikopo ya Asilimia 10 ya Halmashauri

    Naibu Waziri ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imeongeza umri wa ukomo katika mikopo ya asilimia 10 itokanayo na mapato ya ndani ya Halmashauri kwa vijana kutoka miaka 35 hadi 45 ili kuweza kufikia vijana wengi zaidi. Mhe. Dkt Dugange ameyasema hayo wakati wa akijibu...
  19. Poluyakhtov

    JamiiForums Tanzania Ushahidi kuhusu kampuni za mikopo mtandaoni

    Habari wana JF, Ngoja nisonge kwenye mada, kwa kipindi cha miezi ya hivi karibuni nilikumbwa na changamoto iliyohitaji fedha ya haraka. Basi katika pita pita zangu nikaangukia kwenye kampuni za mkopo mtandaoni ambazo ni PesaX pro na Zimacash. Nilikopa na kulipa kwa wakati. Baada ya hapo...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sylvia Sigula: Mifuko ya Mikopo ya Serikali Haijafika kwa Walengwa

    MBUNE SYLVIA SIGULA: MIFUKO YA MIKOPO YA SERIKALI HAIJAFIKA KWA WALENGWA Mbunge wa Viti Maalumu, Mhe. Sylvia Sigula amesema Serikali imefanya kazi kubwa katika kuanzisha mifuko mbalimbali ya kutoa mikopo, lakini asilimia kubwa ya mikopo hiyo haifiki kwa walengwa na asilimia kubwa ya watu hawana...
Back
Top Bottom