mikopo

  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna viashiria vya rushwa mikopo ya 10% kwa Vijana, Wilaya ya Newala Vijijini - Mtwara

    Kumekuwa na viashiria vya rushwa kwenye utoaji wa mikopo ya 10% kwa Vijana katika Wilaya ya Newala Vijijini Mkoani Mtwara. Tuliunda kikundi na kufata taratibu zote lakini mwishoni tunaelezwa tutoe chochote ili waweze kupitisha ombi letu. Maana ya kuomba mkopo ni dhahiri kwamba hatujitoshelezi...
  2. Mributz

    JamiiForums Tanzania App gani ya mikopo play store napata hela ya kula leo

    Wataalamu wa mikopo jaman nipeni app ya kupata hela chap
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Simu za mikopo chanzo cha wanawake kugongwa sana

    5000 Tu watu wanakazwa balaa mixer michezo ya yas.mikopo vikoba imekuwa mingi sasa kwa kuwa kazi hawana wanaishia kuambukizwa ukimwi kwa Kasi ya ajabu.USAID toka asitishe hela hata kampeni za tacaids zimepungua na kuisha hii NI hatari Sana cheza salama ndugu zangu.
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Wanawake walia kukosa mikopo Tanganyika licha ya halmashauri zote nchini kutoa

    Baadhi ya wanawake wajasiliamali wa Tarafa ya Karema Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi wametoa kero ya kutokupata mikopo ambayo itawasaidia kuendeleza biashara zao. Wanawake hao akizungumza hivi karibu wamesema kukosa fedha za mikopo unazorotesha maendeleo yao, huku wakishangaa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ya mikopo 2025/2026 yasogezwa

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa tarehe ya mwisho ya kuwasilisha maombi ya mikopo imesogezwa mbele kutoka tarehe 31 Agosti hadi tarehe 14 Septemba, 2025. Hatua hii imechukuliwa ili kuwapa fursa wale ambao kwa sababu...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 David Mwaijojele: Mkituchagua CCK tutakuja na mikopo ya ongeza damu

    Chama cha Kijamii (CCK) kupitia mgombea wa chama hicho, David Mwaijojele, wakati wa uzinduzi wa kampeni kitaifa wa chama hicho zilizofanyika viwanja vya kwa Tesha, Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam leo, kimesema endapo kitapewa ridhaa ya kuongoza dola kitaenda kukomesha mikopo kausha damu na...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya wanafunzi wa diploma

    Siku za nyuma kidogo nilieleza jinsi waanafunzi wanavyochaguliwa vyuo vya kati hasa vya Afya isivyo kuwa na utaratibu mzuri. Nikaeleza kuwa vyuo hivyo vinachukua wanafunzi wenye points 10 mpaka 18. Mwanafunzi aliyesoma shule ya kata ,ambaye MIAKA yote ameangaika kupata Mwalimu wa Physics kwa...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Agnesta Kaiza: Mikopo ya Asilimia 10% ni haki yenu

    Mtiania wa ubunge Jimbo la Segerea mkoani Dar es Salaam kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, ameendelea na ziara zake za vikao vya ndani ambapo Agosti 16, 2025, alikutana na wanachama pamoja na wadau katika Kata ya Vingunguti, Mtaa wa Kombo. Akizungumza kwenye kikao...
  9. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kuna mikopo inaitwa 'Niwezesha na Samia 2025' inatolewa kwa wajasiriamali

  10. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya ulipaji wa ushuru wa magari bandarini

    Habari Pasipo kupoteza muda naomba niende kwenye ya kiwango Cha ushuru unaodaiwa bandarini wakati mada Naomba kutangaza Kwa wote wale ambao wameagiza magari Toka nje ya nchi kama Japan lakini wakawa hawana pesa ya kutosha kulipia ushuru basi sisu tunatoa mikopo kiwango Cha kukopa ni asilimia...
  11. GANG MO

    JamiiForums Tanzania Najaribu ku log in kwenye mfumo wa mikopo HESLB lakini inashindikana

    Wadau habari ya jioni! samahani kuna dogo aliomba, mkopo mwaka jana alikosa. Sasa anataka kuomba mkopo tena. Lakini ameshalipia elfu 30 lakini akijaribu kulog in mfumo haufunguki. Shida ni nini wadau?
  12. Madihani

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma tupeane ushauri kuhusu mikopo inayotolewa na Taasisi mbali mbali za kifedha

    Moja kwa moja kwenye mada. Leo ni mapumziko nikaamua kuzurula kwenye akaunti yangu ya ESS(Watumishi Portal). Kilichonishtua hadi kuandika mada hii ni kitu kinaitwa "Processing Fee" baada ya kuona ni Tsh871,053.93/= wakati mkopo unaombwa kwenye mfumo. Na gharama zingine kama bima ni kubwa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Yas Yaendeleza Mapinduzi ya Kidigitali kwa Wakulima Kupitia Mpango wa Mikopo ya Simu Janja

    Dodoma, Agosti 2025 – Kampuni ya mawasiliano ya Yas imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuleta mabadiliko ya kidigitali kwa wakulima kwa kuendeleza mpango wa Device Financing, unaowawezesha wakulima kumiliki simu janja kwa gharama nafuu kupitia malipo ya awamu. Kupitia mpango huu, mkulima...
  14. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Tiss,BOT,Hazina na Wizara ya Fedha Dira ya Maendeleo 2025/2050 punguzeni riba ya Mikopo hadi 12%

    Wana jamvi habari zenu? Awali ya yote poleni kwa Msiba mzito kwa Taifa kwa ndugu yetu Kipenzi Spika wa Bunge la JMT Mstaafu Ndugu yetu Mhe. Job Augustino Ndugai bila kujali itikadi zetu za kisiasa na hisia. Niende kwenye mada moja kwa moja.Hivi karibuni JMT ilizindua Dira ya Maendeleo 2025/2050...
  15. atupele ephraim

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo kuverify NIDA unachangamoto shida nini?

    Kama wiki sasa tunajaribu kuingia huduma ya bodi ya mikopo kwenye kipengele cha kuverify nida kuna goma kabisa shida sijui nini , tafadhali pitieni ili tuendelee bila usumbufu. Asante
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mtia nia Ubunge Arusha: Mikopo ya kausha damu tutaifuta, najua mahali nitapata pesa zisizokuwa na riba

    Wakuu Mtia nia wa ubunge kupitia CCM Hussein Gonge akiomba kura kwa wajumbe ameahidi kuifuta mikopo ya kausha damu huku akieleza kuwa anfahamu mahali atakapotoa fedha zisizokuwa na riba.
  17. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Mikopo inayotolewa na taasisi za fedha rate margin wanaitolea wapi?

    1. Je, wanajiwekea tu? 2. Au wanapewa na BoT 3. Ikiwa BoT ndio wanatoa hizi rates, serikali haioni umuhimu wa kupunguza hizo riba. Karibuni Kwa mjadala GTs
  18. Truth Bot AI

    JamiiForums Tanzania Msaada unahitajika wataalamu wa mikopo

    Iko hivi Juzi niliomba Mkopo Kupitia Application ya Ess ya Watumishi Nimezoea kufanya Hivyo na Ninapata Cha ajabu Kipindi hiki Ikachelewa Sana leo naangalia nakupa Mkopo Umekuwa Rejected na FSP kwa sababu eti Nime Written off Mikopo Kutoka JUMO na FiNCA songesha Kiufupi Nina Miaka 2 Sina Laini...
  19. kiibinda

    JamiiForums Tanzania KERO Maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza kutoka HESLB michakato ni mingi

    Kwa sasa Bodi ya mikopo imeweka kipengele cha REFERENCE NUMBER, kwenye sehemu ya Demographic details. Hii imekuwa shida sana, inalazimu uende ofisi za serikali za mitaa uende ukapatiwe barua ya utambulisho ambayo inatoka kwa njia ya online kwasasa. Hili limekuwa tatizo, kwanza watendaji...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa hesabu za mikopo saidia hapa

    Makato ya mkopo tsh 100,000,,,,muda: miaka 10 ,,,,,riba 17% na bima 1% ikatwe kwa mkupuo
Back
Top Bottom