mikopo

  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KERO Halmashauri ya Buchosa toeni mikopo kwa Vikundi vilivyojisajili, mbona mmeishia kutoa kwa Viongozi wenu tu?

    Kuna tatizo kwa Vikundi katika Halmashauri ya Buchosa vina malalamiko kuhusu ile mikopo ya Asilimia 10 kwa vijana, kuna vikundi vimeomba mkopo tangu Julai 2024, hela zilitoka na zikaenda kwa Viongozi wa juu wa Halmashauri lakini upande wa pili wameshindwa kutoa mikopo hiyo kwa vikundi husika...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali kuongeza umri, sifa ya kupata mikopo ya Asilimia 10 ya Halmashauri

    Naibu Waziri ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imeongeza umri wa ukomo katika mikopo ya asilimia 10 itokanayo na mapato ya ndani ya Halmashauri kwa vijana kutoka miaka 35 hadi 45 ili kuweza kufikia vijana wengi zaidi. Mhe. Dkt Dugange ameyasema hayo wakati wa akijibu...
  3. Poluyakhtov

    JamiiForums Tanzania Ushahidi kuhusu kampuni za mikopo mtandaoni

    Habari wana JF, Ngoja nisonge kwenye mada, kwa kipindi cha miezi ya hivi karibuni nilikumbwa na changamoto iliyohitaji fedha ya haraka. Basi katika pita pita zangu nikaangukia kwenye kampuni za mkopo mtandaoni ambazo ni PesaX pro na Zimacash. Nilikopa na kulipa kwa wakati. Baada ya hapo...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sylvia Sigula: Mifuko ya Mikopo ya Serikali Haijafika kwa Walengwa

    MBUNE SYLVIA SIGULA: MIFUKO YA MIKOPO YA SERIKALI HAIJAFIKA KWA WALENGWA Mbunge wa Viti Maalumu, Mhe. Sylvia Sigula amesema Serikali imefanya kazi kubwa katika kuanzisha mifuko mbalimbali ya kutoa mikopo, lakini asilimia kubwa ya mikopo hiyo haifiki kwa walengwa na asilimia kubwa ya watu hawana...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Inavyonufaika na Mikopo, Misaada na dhamana Kupitia Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    SMZ INAVYONUFAIKA NA MIKOPO, MISAADA NA DHAMANA KUPITIA SJMT Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amesema Zanzibar inanufaika na fedha zitolewazo na Wadau wa maendeleo kupitia Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SJMT). Mhe. Khamis...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rushwa katika mchakato wa mikopo ya 10% ya halmashauri mkoani Mbeya

    Kumekuwa na vitendo vya kudai rushwa kunakofanywa na watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya ili waweze kupitisha vikundi vya vijana kupata mkopo wa 10% Inayotolewa na halmashauri. Hili jambo lipo katika halmashauri ya wilaya ya Mbeya hapa mji mdogo wa Mbalizi. Maafisa maendeleo katika...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tuna mengi ya kujifunza Burkinafaso

    Rais wa Burkinafaso Bwana Ibrahim Traore ameamua kuwaongezea mshahara walimu na madaktari nchini kwake Burkina Faso huku akiwa ameshusha mishahara ya wabunge wa nchini humo. Maoni ya mdau: Yaani kaangalia kaona wabunge wanachukua pesa za bure bila kufanya kazi, hizo pesa bora nikawaongezee...
  8. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya awamu ya tano matumizi yanaonekana, Mikopo ya awamu hii ambayo ni mikubwa zaidi imetumikaje?

    Mikopo ya awamu ya Tano; Treni ya kisasa ya SGR Bwawa la umeme la Nyerere (JNHEP) Daraja la Kigogo - Busisi Tanzanite Bridge John Kijazi interchange Mfugale Flyover Ubungo Bus Terminal JK Nyerere international airport Terminal 3 Magufuli city - Dodoma Barabara za Mwendokasi - BRT Ikulu mpya -...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu (BoT) Arusha nani anailinda hii taasisi inayoitwa IVOJ inayotoa mikopo maeneo ya Kilombero!

    Kuna taasisi ipo pale Kilombero jijini Arusha jengo la Summit Centre inaitwa IVOJ inatoa mikopo. Taasisi tajwa ni zaidi ya kausha damu, riba ni kubwa sana, ukichukua Milioni moja unarudisha zaidi ya Milioni moja na laki 8. Mbaya zaidi na kinachodhalilisha wamekusanya kadi za benki za hao wateja...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kero ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza katika kozi za afya, Ongezeni mikopo

    𝐒𝐚𝐥𝐚𝐦𝐮 𝐳𝐚 𝐡𝐞𝐬𝐡𝐢𝐦𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢 𝐰𝐨𝐭𝐞 𝕎𝕒𝕟𝕒𝕗𝕦𝕟𝕫𝕚 𝕨𝕖𝕟𝕘𝕚 𝕨𝕒 𝕞𝕨𝕒𝕜𝕒 𝕨𝕒 𝕜𝕨𝕒𝕟𝕫𝕒, 𝕙𝕒𝕤𝕒 𝕨𝕒𝕝𝕖 𝕨𝕒 𝕜𝕠𝕫𝕚 𝕫𝕒 𝕒𝕗𝕪𝕒, 𝕥𝕦𝕟𝕒𝕡𝕒𝕥𝕒 𝕔𝕙𝕒𝕟𝕘𝕒𝕞𝕠𝕥𝕠 𝕜𝕦𝕓𝕨𝕒 𝕜𝕒𝕥𝕚𝕜𝕒 𝕜𝕦𝕝𝕚𝕡𝕚𝕒 𝕒𝕕𝕒 𝕫𝕖𝕥𝕦. ℍ𝕚𝕚 𝕟𝕚 𝕜𝕨𝕒 𝕤𝕒𝕓𝕒𝕓𝕦 𝕞𝕚𝕜𝕠𝕡𝕠 𝕪𝕒 𝕤𝕖𝕣𝕚𝕜𝕒𝕝𝕚 𝕙𝕒𝕚𝕥𝕠𝕤𝕙𝕚 𝕜𝕦𝕗𝕚𝕕𝕚𝕒 𝕞𝕒𝕙𝕚𝕥𝕒𝕛𝕚 𝕪𝕠𝕥𝕖 𝕪𝕒 𝕖𝕝𝕚𝕞𝕦. ℍ𝕒𝕥𝕒 𝕥𝕦𝕟𝕒𝕡𝕠𝕡𝕠𝕜𝕖𝕒 𝕡𝕠𝕤𝕙𝕠 (𝕓𝕠𝕠𝕞), 𝕚𝕟𝕒𝕜𝕦𝕨𝕒 𝕙𝕒𝕚𝕥𝕠𝕤𝕙𝕚 𝕜𝕦𝕥𝕦𝕟𝕚𝕤𝕙𝕒 𝕞𝕒𝕙𝕚𝕥𝕒𝕛𝕚...
  11. komunisti

    JamiiForums Tanzania Taasisi za mikopo ESS

    Hivi naruhusiwa kuchukua mkopo kwa taasisi yoyote iliyoko ESS hata kama mkoani kwangu hakuna tawi lao?
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wanufaika mikopo ya asilimia 10 watakiwa kuwa waaminifu kurejesha mikopo hiyo

    Katibu Tawala wa wilaya ya Meatu mkoani Simiyu Bw. Eliasa Mtarawanje amewasisitiza wanufaika wa mikopo ya 10% kuwa waaminifu kwenye kurejesha mikopo hiyo, Mtarawanje amesema hayo leo Machi 16, 2025 alipokutana na vikundi 42 vilivyonufaika na mikopo ikiwa ni katika kutekeleza maono ya Rais Dkt...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wajasiriamali mnaitwa kuchangamkia mikopo ya asilimia 10

    Wakati wimbi la mikopo ya kausha damu likiendelea kutikisa nchini, wajasiriamali wilayani Serengeti mkoani Mara wametakiwa kuchangamkia fursa ya mikopo nafuu ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri. Hayo yamesema na Mwenyekiti Wa UVCCM Mkoa Wa Mara, Mary Joseph wakati akizungumza na...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Katibu Tawala Mara asema Mikopo ya serikali sio zawadi rejesheni kwa wakati. Tusisahau mikopo waliopewa wasanii nao warejeshe harakaa

    Wakuu Katibu Tawala Mkoa wa Mara, Gerald Kusaya amewataka wananchi wa mkoa huo kutumia mikopo inayotolewa na Serikali kwa manufaa na kuirejesha kwa wakati ili iweze kuwanufaisha wengine wenye uhitaji. Akizungumza wakati alipokutana na timu ya wataalamu ya elimu ya fedha kutoka Wizara ya Fedha...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Martha Mariki awaasa Wanawake kutumia fursa za mikopo ya 10% kujikwamua kiuchumi

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki amewaasa Wanawake wa Mkoa wa Katavi kutumia vyema fursa ya utoaji mikopo ya Halmashauri ya Asilimia Kumi (10%) inayotolewa na Serikali ili kujikwamua kiuchumi Mbunge Martha Mariki ameyasema hayo katika kilele cha Maadhimisho ya Siku...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Katibu UVCCM Pwani atembelea wanufaika mikopo asilimia 10

    Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Pwani Comrade Iddi Ntonga amefanya ziara yake ya kazi wilayani bagamoyo ambapo ametembelea vikundi ambavyo vimenufaika na mkopo wa asilimia 10 ya vijana unaotolewa na halmashauri zote nchini. Pia ametembelea vikundi vya waendesha Pikipiki...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mtwara kutenga bilioni 2.9 kwaajili ya mikopo ya asilimia 10% 2025/2026

    Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala ametoa wito kwa viongozi kuhakikisha wanawasaidia vikundi mbalimbali ili wajue namna bora ya kutimiza vigezo vya kupata mkopo wa aslimia 10 unaotolewa na halmshauri. Sawala ametoa rai hiyo wakati wa kikao maalum cha kamati ya ushauri ya Mkoa (RCC)...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania DAS Kahama: Wanawake acheni mikopo ya kausha damu chukueni mikopo ya Samia

    Wanawake wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga wametakiwa kuchangamkia fursa mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na halmashauri bila riba na kuachana na mikopo umiza. Rai hiyo nimetolewa na Katibu tawala wa Wilaya hiyo Glory Absalum ambaye alikuwa mgeni rasmi kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya hiyo Mboni...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wanaotumia miradi ya watu binafsi kuomba mikopo ya asilimia 10 wabainika na kudhibitiwa Ukerewe, Je, maeneo mengine waliopata mikopo hii wanastahili?

    Katika halmashauri nyingi nchini imetolewa mikopo ya asilimia kumi kwa makundi ya wanawake watu wenye ulemavu na vijana. Wapo baadhi ya watu wengine wakishirikiana na baadhi ya viongozi kutoa mikopo kwa watu wasio na sifa stahiki pamoja na uwepo wa udanganyifu. Je, waliopata mikopo hii...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyo nikuta katika kukopa kwangu ili yawe funzo kwa wengine wa lamba asali

    Kuna la kujifunza kwa waajiliwa wapya soma attachment.
Back
Top Bottom