Hadi sasa hela za,matumizi ni Dana Dana leo wiki napika ugali then ule uji nilitumia kusongea ugali ndio nafanya mchuzi WATANZANIA wako na mioyo ya huruma msaada jamani
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mwanafunzi na Mnufaika wa mikopo ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kudai wamecheleweshewa fedha za kujikimu (Boom) kwa wiki mbili sasa, ufafanuzi umetolewa.
Hoja ya awali hii hapa ~ Bodi ya Mikopo ya Vyuo Vikuu...
Habarini za wakati huu!
Kumekuwa na utitiri wa taasisi nyingi za ukopeshaji zikiwalenga watumishi wa umma, wakitumia njia mbalimbali kuwarubuni watumishi kukopa ktk taasisi zao huku wakijinadi kuwa mikopo yao ni ya riba nafuu halafu unapata ndani ya masaa 24.
Ingawa sijajua wanatoa wapi...
Wakuu heshima yenu.
Nipo nafanya process za kukopa mkopo mdogo wa miezi sita tu maana Nina jamu ya chapu hapa.
Lakini Cha ajabu naambiwa sifa zangu ni mbaya..... msg hii hapa
"Dear customer, you have a negative status in credit bureau. please clear your previous loan to qualify for ......."...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) leo Ijumaa Mei 16, 2025, wamefanya kikao na waandishi wa habari katika ofisi za HESLB Kanda ya Mashariki zilizopo Dar es Salaam kwa lengo la kuutarifu umma kuhusu kuanza kushirikiana kuwapatia namba...
SERIKALI ITAENDELEA KUTOA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema serikali kupitia Halmashauri za mkoa wa Mwanza inaendelea kutekeleza jukumu la utoaji wa mikopo kwa vikundi vya wanawake waliokidhi vigezo kwa kuzingatia Sheria, taratibu...
Wakuu habari yenu
Naomba mwenye uelewa wa teknolojia ya namna ya kufanya biashara ya kukopesha simu . Nataka kufanya hii biashara ila nashindwa pa kuanzia.
Natanguliza shukran
Serikali inatarajia kuanza utekelezaji wa mfuko wa Ubunifu wa Samia “SAMIA Innovation Fund” wenye thamani ya Shilingi Bilioni 2.3 utakaotoa mikopo nafuu kwa wabunifu kwa lengo la kuendeleza na kubiasharisha ubunifu pamoja na kutoa fursa za ajira kwa watanzania kupitia kazi za ubunifu.
Waziri wa...
Habari Wana Jamii,Sina maneno Mengi ni hii bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu.
Huu ni mwaka wa pili mwanangu anaomba mkopo anakosa!Cha ajabu anapoomba,lazima atoe mchango wa mkopo,ambao unaenda na haurudishwi!Ifikie wakati ukikosa urudishiwe hiyo hela ya maombi au kama unaomba kwa mara...
Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Aprili 2025, Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania umetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 2.69 kwa miradi 143 ya utamaduni na sanaa.
Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza kwakushirikiana na wadau wa kamati ya uhakiki ya Wilaya ya Nyamagana wameokoa kiasi cha shilingi milioni 700 kwenye mikopo ya vikundi inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani ya Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa mwaka...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi amesema Rais Samia ameweka mazingira wezeshi kwa Wasanii nchini kwa kuwapa mitaji ya kuboresha kazi zao ambapo katika uongozi wake amefufua mfuko wa Utamaduni na Sanaa uliokuwa umekufa kwa zaidi ya miaka 10 na kipindi...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema Serikali imejipanga kuongeza wigo wa utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati vinavyotoa stashahada lengo ni kuongeza idadi ya wataalamu.
Utoaji wa mikopo katika ngazi za stashahada kwa wanafunzi wa ngazi hiyo ya elimu...
Wasalam mabibi na mababu,
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza, Toka mwezi March tarehe 24 kulitoka tangazo la mikopo ya Hazina isiyo na Riba kwa watumishi takriban Halmashauri Nyingi Tu Nchini, Dirisha la kuomba kupitia Hazina Portal liliwekwa mpaka Tarehe 5 April. Baada ya hapo kukawa na...
Katika kujisomea kwangu mambo ya uchumi. Naona sasa ni rahisi kukopa kenya na kuja kuwekeza Tanzania. Riba yao ni nafuu kuliko ya kwetu.
Kwa hari hii sisi tutaendela kuwa chini kiuchumi. Serikali na BOT fanyeni mpango mpunguze Riba ili wananchi wakope pesa na wawekeze.
What is the CBK base...
Ripoti za ndani ya nchi zisizokuwa na shaka zinaonesha kuna wizi mkubwa wa fedha za umma katika mamlaka na kuna ukamataji na utekaji wa wale wanaopigania haki na kukemea wizi na rushwa kwa serikali ya Tanzania na kuhamasisha uchaguzi wa haki kuelekea uchaguzi mkuu.
Nitoe wito kwa umoja wa...
Havi bodi ya mikopo human wanawakopesha wazazi au watoto. Kwa maoni yangu wazazi ndio wanakopeshwa maana ni wao walitakiwa kuwagharimia watoto wao.
Niishauri serikali itafuta namna ya kuwadai wazazi fedha hizo na sio watoto kama wanavyofanya sasa ivi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.