mikopo

  1. J

    JamiiForums Tanzania KERO Apps za mikopo mitandaoni, serikali ipo wapi?

    Habari za kazi ndugu zangu. Kuna kampuni mbalimbali zinazodai kutoa mikopo kupitia apps (applications), lakini matokeo yake zimekuwa zikilalamikiwa kwa kudhalilisha watu, kutoa vitisho, na kutoza riba kubwa kupita kiasi kwenye mikopo wanayotoa. Sina uhakika kama kampuni hizi zote zimesajiliwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakuguzi wa Mikopo ya Vijana wana changamoto

    Mikopo ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu imeanzishwa kwa lengo jema, hasa katika kipindi hiki ambacho changamoto ya ajira imekuwa kubwa nchini. Mfumo huu umekuwa msaada muhimu kwa wengi katika kujiajiri, kukuza biashara ndogo ndogo na kuinua uchumi wa wananchi. Hata hivyo, bado kuna...
  3. JamiiForums Tanzania App za mikopo kama YakoMkopo, PesaSasa kupotea Play Store – hii ni hatua sahihi?

    Wakuu, Nimegundua jambo la kushangaza – baadhi ya app za mikopo kama YakoMkopo na PesaSasa hazionekani tena kwenye Google Play Store. Uki-search zinaonyesha “This app isn’t available.” Swali ni: Je, hii ni hatua ya makusudi dhidi ya hizi app? Kama ni kweli zinafanya udhalilishaji, riba kubwa au...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Urafiki na mikopo

    Habari wanajamvi, Katika safari ya maisha, kuna watu ambao huwa wa karibu sana kiasi kwamba wanapohitaji msaada wa kifedha unawasaidia bila kusita, kutokana na heshima na uaminifu mliojenga kwa miaka mingi. Hilo ndilo lililonikuta mimi. Kuna rafiki yangu wa muda mrefu ambaye tumekuwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania mikopo Kwa wafanyabiashara wakubwa

    habar Kwa wale wote ambào ni wafanyabiashara Wanaohitaji pesa Kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya ki biashara, naomba kuwatangazoa kuwa kuna mikopo ya pesa inayoanzia milioni moja mpaka bilioni Moja. mdhamana ni KADI ya gari, hti ya nyumba au hati ya Kiwanja Toka serikalini. RIBA ni asilimia...
  6. JamiiForums Tanzania Huduma Zote: Ajira, Vyeti, Mikopo na Zaidi

    Hii ndio list ya huduma utakazopata kwetu Huduma katika masuala ya ajira 1. Kujisajili ajiraportal 2. Kujisajili taesa 3. Kujisajili katika bank portals 4. Kuandaa application letter 5. Ku edit document mbalimbali 6. Avn 7. Maombi ya transcript kwa kada za afya 8.Kurenew leseni na...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO KKPESA: Benki Kuu ifuatilie hii kampuni ya Mkopo

    Kuna application hii ya kutoa mikopo mitandaoni inaitwa KKPESA naombeni muifuatilie kwa ukaribu sana. 1. Riba zao ni kubwa na inatakiwa mkopo ulipwe kwa muda mfupi sana siku 7. 2. Siku ya 6 kabla ya kufika siku ya rejesho wanakushurutisha ulipe deni kwa nguvu kwa kutoa maneno ya kejeli na sms...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka zichukue Hatua Dhidi ya Apps za Mikopo. Zinatoza Riba zaidi ya 50%, BoT ifuatilie

    Mamlaka zichukue hatua kuhusu hizi Apps za mikopo online imekuwa ni tabia ukiingia kukopa unaoneshwa unaweza kukopa mfano Shilingi 25,000 marejesho ni Shilingi 41,600 ndani ya siku 7 hiyo Interest rate ni more than 50% hapana hii sio sawa. Kwanza zingekuwa na nafasi ya kuchagua kwa mkopaji muda...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Unyonyaji Riba Apps za Mikopo: Flying Shilling Hatari!

    Tunaomba muangalie na hizi Microfinance zinazo kopesha, riba imekuwa kubwa sana watu wanaumia especially na apps mfano wanajiita flying shilling ili uweze kupewa laki mbili ni lazima ukope laki 4 na urudishe ndani ya siku sita ukichelewesha watu wanapewa vitisho tunaomba na BOT wajulishwe...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru inachelewesha sana kutoa mikopo ya 10% kwa vijana

    Sisi Tumeomba mikopo ya halmashauri kupitia mfuko WA vijana,wanawake, wazee na walemavu maarufu kama mikopo ya Asilimia 10% ,Tangu Mwaka Jana mwezi wa nane lakini Hadi Leo hakuna dalili za kuupata mkopo huo. Tumetumia gharama na Muda wetu mwingi Sana ,kila wakati wakiwa Wanatuita kwenye vikao...
  11. JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, huduma ya uwezeshaji kwa njia ya mikopo inatolewa kwa kurasa hizi za Facebook?

  12. U

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Tanzania ili kufikia Uchumi wa USD Trillion Moja lazima tufikie uwekeezaji wa USD Trillion 3.7 hili haliwezekani kwa Kodi na Mikopo.

    === Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Ubia nchini (PPPC), Bwana David Kafulila, amesema kuwa wakati wa kupitisha sheria za ubia, Tanzania iliruhusu kutatua migogoro kwa mamlaka za ndani. Hata hivyo, pale ambapo suluhu haikupatikana, ama kwa upande wa mwekezaji au taasisi ya umma, kulihitajika haki ya...
  13. JamiiForums Tanzania PICHA: Kumbe CAG Mstaafu CPA Ludovick Utouh Bado ni moto mkali, asema Nchi haiwezi kukuzwa kwa Kodi na Mikopo peke yake

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Ludovick Utouh, amesema mfumo wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) umekuwa ukipingwa kimyakimya na baadhi ya watendaji wa Serikali kutokana na kuziba mianya ya ubadhirifu wa fedha za umma. Utouh ametoa kauli hiyo...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bodi ya Mikopo (HESLB) kutangaza nafasi za kazi kwa kuweka mashari ya umri wanatukosea

    Bodi ya Mikopo (HESLB) wametoa nafasi za ajira za mkataba lakini wameweka kigezo cha umri, yaani ambao wanaruhusiwa kuomba ni graduates kuanzia Mwaka 2020-2026. Kero yangu ni kwamba tatizo la ukosefu wa ajira ni changamoto kubwa lakini bado Taasisi kama hiyo inatoa nafasi za mkataba kwa kuweka...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kilio cha Wakulima na Wafugaji: Mkwamo wa Mfuko wa Pembejeo (AGITF) na Ucheleweshaji wa Miongozo ya Mikopo

    Leo nataka kugusia jambo ambalo linatupa wakati mgumu sisi wadau wa kilimo na ufugaji tunaotafuta mitaji kupitia Mfuko wa Pembejeo (AGITF). Ukiingia kwenye tovuti ya AGITF (www.agitf.go.tz) unakuta kila kitu kimepangwa vizuri sana. Kuna fomu za kupakua (download) na maelezo ya wazi kabisa...
  16. JamiiForums Tanzania Nawezaje kufuta historia mbaya ya mikopo CRB? Nimewaandikia email hawajibu

    Guys, Naomba kufahamu namna ya kufuta historia mbaya ya mikopo CRB hili suala limekua linanigharimu sana nikihitaji kukopa taasisi nyingine za kifedha naambiwa Nina madeni sugu kwenye line zangu za simu Ni kweli Nina madeni lakini hayajawa sugu sababu nimekuja nikiwalipa mara Kwa mara na...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma ya kuuza na kununua madeni ya mikopo ya Watumishi katika mfumo wa ESS, iruhusiwe

    Jambo la kushangaza ni kuwa mfumo wa ESS unashindwa kutuhudumia upande wakuuza mikopo, uhuru wa kuchagua benki ni wa wazi na riba zinaonekana, tunaiomba Serikali imalizie ama i-activate mfumo wa kuuza na kununua madeni (loan takeover). Tunajua ni njama za benki zinaogopa kupoteza wateja, hivyo...
  18. JamiiForums Tanzania Ona Mabenki ya Tanzania Yalivyopiga Faida Kubwa Baada ya Kuwakamua Wananchi Kwa Riba Kubwa za Mikopo na Makato yasiyoeleweka.

    Benki ya CRDB imeongoza Kwa kupiga faida kubwa yaani super normal profit baada ya kuibia Watanzania Kwa riba kubwa na makato yasiyoeleweka. https://www.instagram.com/p/DXwCODMjpnq/?igsh=MXFyMnhrZGRwbGx4OQ== My Take Serikali Inafaa kuingilia Kati Ili kuokoa Wananchi kama inajali lakini. Hizi...
  19. JamiiForums Tanzania Vikampuni vya mikopo online ni vikundi vya kausha damu, hivi Benki kuu imevisajili kweli? Mbona Zuri pesa wanatukana hivi?

    Aise, kwema wadauh? Leo nimecheka sana mwanangu mmoja alikopa elfu 40,000 wakampa 24,000/= badala ya 40,000 aise nilishangaa jamaa akala kiapo cha kutokulipa deni hilo, sasa hizo simu kutoka kwa zuri pesa ni balaa. Jamaa akaamua kuwatandika block la maana weee! UJUMBE uliofatia hapo ni balaa...
  20. JamiiForums Tanzania Jesca Magufuli: Mikopo pekee haitoshi kwa Vijana, wapewe na elimu

    Mbunge Jesca Magufuli amesema mikopo pekee kwa vijana haitoshi, isipokuwa wanahitaji kujengewa uwezo ili wanufaike na mikopo hiyo. ELimu kama ya utunzaji wa fedha na namna ya kuanzisha biashara ndio itawafanya wanufaike na mikopo hoyo ===== Mbunge wa Viti Maalum, Jesca Magufuli, amesema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…