a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 3,333
- 3,814
naanza kuhisi roho ya kukopa umaskini haitokani na MUNGU mana Mungu wetu ni tajiri,..hii Roho ya umaskini naanza na kukopa naanza kuona haitokani na MunguMit 22:7 S
Tajiri humtawala maskini, Naye akopaye ni mtumwa wake akopeshaye.
Kum 28:12
Atakufunulia BWANA hazina yake nzuri, nayo ni mbingu, kwa kutoa mvua ya nchi yako kwa wakati wake, na kwa kubarikia kazi yote ya mkono wako; nawe utakopesha mataifa mengi, wala hutakopa wewe.