john_thesmart
Senior Member
- Jan 20, 2022
- 123
- 362
Ndugu yangu ameomba mkopo bank moja hapa nchi, kwakuwa ni mfanyakazi mshahara unapita bank hiyo na ni kwa muda wa miezi 72. Mkopo anaopewa ni mil 35 na atakatwa zaidi ya laki 7 na nusu kwa mwezi, ukipiga hesabu kwa haraka haraka hadi amalize mkopo atakuwa amelipa zaidi ya milion 54. Je, hii imekaa sawa? riba wanasema ni 16.5%
Kwa maana nyingine ni kama anapewa zaidi ya laki 4 kwa mwezi na analipa zaidi ya laki saba kwa mwezi.
Kwa maana nyingine ni kama anapewa zaidi ya laki 4 kwa mwezi na analipa zaidi ya laki saba kwa mwezi.