mikoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Makonda na Nchimbi wapendekeza wakuu wa wilaya, mikoa, RAS na DED; utenguzi, uhamisho na utenguzi kufanyika hivi karibuni

    Kila kiongozi anayeingia ofisini kwenye chama jambo la kwanza ni kupendekeza kutengua na kuteua. Tayari wawili hawa wamewasilisha majina ya watu wanaotamani wapewe nafasi waonje keki ya Taifa. Kufuatia utamaduni huu wa kila mtu kumpa shavu rafiki yake, nawajulisha wakuu wa mikoa, wilaya...
  2. Tanesco yatangaza hitilafu, Mikoa iliyoungwa Gridi ya Taifa kukosa umeme

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye Mikoa iliyounganishwa na Gridi hiyo. “Juhudi za kurejesha mfumo zinaendelea kwa haraka ili huduma iweze kupatikana...
  3. Wizara ya Afya: Mikoa 17 ina Wagonjwa wa Red Eyes Tanzania

    Serikali kupitia Wizara ya Afya, imesema jumla ya mikoa 17 nchini imekumbwa na ugonjwa wa macho mekundu ujulikanao kitaalamu kama viral keratoconjunctivitis (red eyes) na watu 5,359 wametajwa kuathirika. Kufuatia kusambaa huko, wizara imewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa huo...
  4. Mikoa 8 kukumbwa na Mvua kubwa kwa siku 5 kuanzia Januari 30, 2024

    Mikoa ya Lindi, Iringa, Mtwara, Mbeya, Songwe, Njombe na Ruvuma inatarajiwa kupata Mvua za Juu ya Wastani kuanzia Januari 30, 2024 ikiwa ni siku chache tangu Mikoa ya Dar na Morogoro ikumbwe na Mafuriko. Kwa mujibu wa taarifa ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Mvua hizo zinaweza...
  5. Hatimae nimeamua kuandika kitabu kuhusu mtindo wa maisha ya watu wa mikoa ya Kusini mwa Tanzania

    Wakuu baada ya kupiga kambi Mtwara na Newala nimevutiwa sana na ustaarabu, uungwana na ukarimu wa watu wa kusini mwa Tanzania. Sasa ninaandika kitabu kuhusu maisha ya watu wa kusini mwa Tanzania. Kitabu kitagusa nyanja zote kuanzia utamaduni hadi shughuli za kiuchumi ikiwa ni pamoja na fursa...
  6. Nimepata kusomea Ratiba ya Makonda mikoa 20, anapita barabara zenye lami tu? Kwenye barabara za maeneo yenye vumbi hakuna wanaccm?

    Huyu bwana ni msaani! Anatumia Kodi na fedha za chama kupitia na gari Kila mkoa Kwa siku Moja! Cha kunifurahisha Sasa , hapiti maeneo yenye matatizo mfano , maeneo ambayo hakuna maji, shule, barabara, umeme bali anapitia maeneo ya barabara kuu penye lami TU. Cha kujiuliza huko kusiko na lami...
  7. Ratiba ya Katibu Mwenezi wa CCM, Paul Makonda mikoa 20 kwa siku 10

  8. Mikoa ambayo haijawahi kuwa na mkuu wa Mkoa Mwanamke

    Nimekaa nikavuta kumbukumbu na kuona kuwa pamoja na kuishi Sana Tanzania sijapata kusikia mwanamke akiteuliwa kuongoza mkoa wowote Kati ya hii. 1. Mbeya 2. Mwanza 3... 4..... Hivi ni Kwa nini? Usiitaje Dar , maana Dar imewahi kuongozwa na mwanamama Jasiri ( Mary Chipungahelo " Mary Chipsi"
  9. TRC yasitisha huduma ya safari za treni mikoa 12

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuwa limesitisha kwa muda huduma ya safari za treni kutoka Dares Salaam kuelekea Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora, Katavi, Kigoma, Shinyanga na Mwanza, pamoja na Mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha kutokana na uharibifu wa miundombinu ya...
  10. Nakerwa na tabia ya vijana kuponda na kudharau mikoa yao baada ya kufika Dar

    Habarina wana jukwaa mambo sio mabaya wala mazuri hii ni January Bila kupoteza wakati moja kwa moja kwenye mada. Kumekuwa na kasumba ya vijana wengi kwa sasa kudharau mikoa yao waliyotoka kwa kuilinganisha na dar nilikaaa na jamaa zangu waliozamia darslam stori zao zote nikuponda tu mikoa yao...
  11. Serikali iunganishe Dar na Pwani uwe mkoa mmoja uitwe Dar ili watu wazidi kusogea nje ya mji

    Heri ya mwaka mpya wakuu Hivi kwanini serikali isiunganishe mikoa ya Dar na Pwani kisha huo mkoa uitwe Dar na tubaki na mikoa 30 tu, hakuna haja ya kuwa na mikoa mingi huku maendeleo yakiwa ni madogo na idadi ya watu ikilundikana kwenye vimiji vichache tu, kusema kwamba tutamaliza mapori na...
  12. L

    Paul Makonda kuitetemesha na kuitikisa mikoa kumi mfululizo bila kupumzika

    Paul Makonda, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu zangu Watanzania, Fahamu ya kuwa Ndugu Paul Makonda Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Taifa, yule mwamba wa siasa za majukwaani na ambaye anachukuliwa kama sauti ya wanyonge na ambaye...
  13. R

    Madereva bajaji wapanga kupandisha nauli katika mikoa mbalimbali nchini. Viongozi wa vijiwe vya bajaji wahusika

    Kama mtakuwa mnafuatilia ndugu zetu wamiliki wa bajaji na madereva wameanza kujipanga kupandisha nauli mara dufu katika maeneo mbalimbali wanayofanya vizuri ikiwemo Mwanza. Aidha, inadaiwa tozo ya trafiki kwa siku imepanda kutoka elfu moja hadi elfu mbili kwa bajaji moja hivyo kuchochea gharama...
  14. TMA: Mikoa 15 kukumbwa na Mvua kubwa zinazoweza kusababisha Mafuriko

    Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetoa tahadhari ya uwapo wa mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha katika mikoa 15 inayoweza kuleta athari ya mafuriko. Mikoa iliyotajwa ni Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Tabora, Kigoma, Katavi, Dodoma, Singida, Rukwa, Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa na Kusini mwa...
  15. Mawaziri na Wakuu wa Mikoa mmeshajiandaa kwa 'Keka la Kimkakati' la kuelekea 2025 na Kunivusha salama Oktoba 2025?

    Haya ukisoma tu hii Thread yangu GENTAMYCINE kama Wewe ni mpenda Ushirikiano basi Karoge sana na kama ni muamini Mungu kama Mimi basi nakuombea ufanye mno Dua kwani muda wowote nimeoteshwa na Mizimu yangu Mikali ya Kizanaki ( Mara ) na Kiyao ( Mtwara ) kuwa kuna reshuffle kwa Mawaziri na Wakuu...
  16. K

    Treni ya shirika la reli (TRC) inayoenda mikoa ya kaskazini yalaza watu porini

    Treni ya shirika la reli (TRC) inayofanya safari mikoa ya kaskazini yakwama maporini huku abiria wakikosa chakula na mahitaji mengine ya kibinadamu. Treni hiyo iliyotoka Dar jana mchana kwenda Arusha ilitarajiwa kuwasili Moshi asubuhi saa 12 leo. Ila mpaka sasa imekwama katikati ya Korogwe na...
  17. Serikali Mikoa ya Kusini ni Kama mmeisusa

    Habari wana jamvi. Nina wiki apa Nachingwea mkoa wa Lindi lakini ni kama tunaishi Gizani umeme unakatika kila siku tena kwa masaa 10 na zaidi. Ila Wenyeji wanasema ni kawaida na wameshazoea. Mfano jana umeme umekatika saa 9 mchana umerudi leo saa 5 Asubuhi. Kwetu Kaskazini huu ujinga sijawahi...
  18. M

    Mikoa mingi Tanzania ni jangwa

    Nimefanya research mikoa mingi Tz ni jangwa kama ukisafiri kwa kwa basi utakua Shahidi Mikoa ambayo ni jangwa KONK ni Moshi/Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Dodoma, Singida, Iringa, Tabora, Kahama, Mwanza, na Shinyanga. Mbeya, na Mara nadhani ndo mikoa isio na sehemu ya jangwa.
  19. T

    Nafasi za wenezi wa CCM Mikoa zinauzwa?

    Wakati wa uchaguzi wa ndani ya CCM mwaka 2022 Chama kilionelea kuwa wenezi wa mikoa wateuliwa badala ya kuchaguliwa. Na ilipofika tarehe 17 march mwaka huu walioomba nafasi hizo waliitwa kwenye usaili jijini Dodoma. Sasa angalia maajabu yanayojitokeza. 1. Walioteuliwa mpaka sasa ni around 8...
  20. Wizara ya Afya Mnasubiri kutangaa Mlipuko wa Mafua hasa mikoa ya Pwani

    Kuna mafua makali yameongezeka hasa ukanda huu wa Pwani. Nina uhakika wizara ya afya ina takwimu za kutosha. Tuambieni what is going on. Enzi zile tungesema Corona. Wizara ya Afya Tanzania
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…