Mikoa mingi Tanzania ni jangwa

Mesehomie

Member
Oct 25, 2023
30
177
Nimefanya research mikoa mingi Tz ni jangwa kama ukisafiri kwa kwa basi utakua Shahidi

Mikoa ambayo ni jangwa KONK ni Moshi/Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Dodoma, Singida, Iringa, Tabora, Kahama, Mwanza, na Shinyanga.

Mbeya, na Mara nadhani ndo mikoa isio na sehemu ya jangwa.
 
We hujui hata maana ya jangwa. Halafu nafikiri hujui hata Tanga iko wapi kwenye ramani. Kwani lazima uandike km we ni bongolala,? We hujui chochote.
 
Nimefanya research mikoa mingi Tz ni jangwa kama ukisafiri kwa kwa basi utakua Shahidi

Mikoa ambayo ni jangwa KONK ni Moshi/Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Dodoma, Singida, Iringa, Tabora, Kahama, Mwanza, na Shinyanga.

Mbeya, na Mara nadhani ndo mikoa isio na sehemu ya jangwa.
Rudi kafanye utafiti upya.

Mara?????
Unachoogelea ni Semi desert.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefanya research mikoa mingi Tz ni jangwa kama ukisafiri kwa kwa basi utakua Shahidi

Mikoa ambayo ni jangwa KONK ni Moshi/Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Dodoma, Singida, Iringa, Tabora, Kahama, Mwanza, na Shinyanga.

Mbeya, na Mara nadhani ndo mikoa isio na sehemu ya jangwa.
Unajishushia credit kwa kuiita Kahama mkoa na pia kusema kuna jangwa Tanzania. Hatuna hiyo feature Tanzania. Jangwa ni hali ya hewa critical sana kwamba humo kuna sand dunes na uhaba wa mvua kwa interval ya makumi hadi mama ya miaka.
 
Nimefanya research mikoa mingi Tz ni jangwa kama ukisafiri kwa kwa basi utakua Shahidi

Mikoa ambayo ni jangwa KONK ni Moshi/Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Dodoma, Singida, Iringa, Tabora, Kahama, Mwanza, na Shinyanga.

Mbeya, na Mara nadhani ndo mikoa isio na sehemu ya jangwa.
Rudia Research yako alafu futa huu ujinga ulioandika.
 
Kwani jangwa maana yake ni nini?

Tofautisha Jangwa la Sahara na Jangwa la Kalahari.

Tofautisha pia ukame na ukosefu wa mvua.

Kuna tofauti pia ya ukanda wa kitropiki, ikweta, na nyanda za juu

Ukishayaelewa haya ndipo unaweza ukawa na uelewa mzuri.

Vinginevyo, utakuwa unalinganisha ukanda wa kitropiki na ikweta halafu ukasema tropiki ni jangwa kwa sababu eneo la kitropiki halina uoto sana kama ikweta
 
Nimefanya research mikoa mingi Tz ni jangwa kama ukisafiri kwa kwa basi utakua Shahidi

Mikoa ambayo ni jangwa KONK ni Moshi/Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Dodoma, Singida, Iringa, Tabora, Kahama, Mwanza, na Shinyanga.

Mbeya, na Mara nadhani ndo mikoa isio na sehemu ya jangwa.
umeandika utumbo
 
Ongeza elimu yako ndugu kuhusu uelewa wa mambo na uhalisia wake. Mimi naelewa kwanini bado watu wanaishabikia CCM, ni kutoelewa mambo!
 
Nimefanya research mikoa mingi Tz ni jangwa kama ukisafiri kwa kwa basi utakua Shahidi

Mikoa ambayo ni jangwa KONK ni Moshi/Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Dodoma, Singida, Iringa, Tabora, Kahama, Mwanza, na Shinyanga.

Mbeya, na Mara nadhani ndo mikoa isio na sehemu ya jangwa.
Tanga wapi kuna jangwa,huko mbeya kuna maeneo ni makame mfano mbarali hebu ifute Tanga hapo
 
Back
Top Bottom