mikoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. greater than

    JamiiForums Tanzania Mikoa 10 bora ya kuishi Tanzania

    Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo : Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia Upatikanaji wa chakula Urahisi wa Usafiri Elimu Hali ya Hewa Huduma za maji Mitandao ya simu Usalama Biashara 1. Dar es Salaam Ndiyo mkoa ulioendelea Tanzania kuliko yote. Kwenye Biashara ina points 9...
  2. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli, kisiwa cha Mafia umeshawahi kusikia habari yoyote mfano kama Serikali zinavyofanyika mikoa mingine

    Leo baada ya kuona video ikionesha madhara ya kimbunga Hidaya ndio nikajiuliza hivi kisiwa cha Mafia kwa shughuli za Serikali kila siku zinazofanyiwa kikazi upande wa Mafia mbona kama ni kimya sana. Wajuzi
  3. Mgosi Mbena

    JamiiForums Tanzania Kigoma na Lindi nani kawaroga hii mikoa??

    Kigoma na Lindi nani kawaroga hii mikoa? Kwenu wahusika Pia, soma Wana Kigoma embu jengeni kwenu Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa picha za round about na junction mbalimbali za mikoa

    Tuonyeshe round about za mahali ulipo. Mimi naipenda sana ile ya Msamvu Moro yenye bibi na bwana na ile ya Singida yenye kuku na alizeti nyingine ndo hii ya mjusi wa Tendeguria Lindi panaitwa fisi.
  5. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ni mikoa gani ambayo mvua hizi hazinyeshi kwa hapa Tanzania?

    Ni mikoa gani ambayo mvua hizi hazinyeshi kwa hapa Tanzania? Tujuzane!
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mpina ataka viongozi wa wizara, mashirika, mikoa na wilaya kupatikana kwa usahili!

    Akichangia bungeni leo mbunge machachari wa CCM anasema umefika wakati sasa viongozi kama mawaziri, wakurugenzi, makatibu wakuu,wakuu wa mikoa na wilaya wapatikane kwa kuomba nafasi hizo na kufanyiwa usahili. Anasema mfumo wa sasa hauna uwazi kwani Rai hawezi kusoma CV za watu wote wanofaa...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: CHADEMA yatoa ratiba ya wiki ya Maandamano, Tundu Lissu kuongoza Mikoa Mitano

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yatakayofanyika Dunia nzima, ya kupinga Ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na ambayo pia yanapinga Sheria mbovu za Uchaguzi nchini humo, Ratiba yake imetolewa Rasmi. Ratiba hiyo Kabambe imetangazwa na Mkurugenzi wa Itifaki wa Chama hicho, John...
  8. Richard

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha: Igeuze Arusha kuwa ndo "Financial Centre" ya Tanzania na iwe mfano wa mikoa ingine na tafuta washauri maalum

    Binafsi nimeona "potential" yako katika uongozi una uthubutu lakini ninahusudu uthubutu wako huo kwamba utachochea harakati za wananchi kujiletea maendeleo. Mtu akikwambia kuwa, "samahani umefeli katika zoezi la usaili lakini tumeona "potential" ndani yako, fahamu kuwa bado waonekana una uwezo...
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Serikali kwanini isijenge majengo mazuri mikoa au wilaya kuliko kuyajaza mikoa iliyojengeka kama Dar, Pwani, Arusha, Dodoma?

    Kwa sababu uzuri mikoa hiyo iko karibu na Dar hivyo wageni wakishuka Dar ni rahisi kuifikia Kwa mfano likajengwa tower pale Kilwa kuna athari gani ilihali wageni wangependa pia kutembelea mji wa Kilwa ama Lindi pia panafikika kirahisi au mfano Singida na Dodoma iko karibu, kwanini tusijenge pia...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Watu wa Arusha wanaweza kwenda popote kupambana, iko mikoa unakuta waganga wengi wa kienyeji. Kutambulisha polisi wa kitalii

    Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda amemshukuru Rais Samia kumteua mkuu wa mkoa wa Arusha kuongoza wananchi wenye akili nyingi na wapambanaji wasiokata tamaa na wanaojua hatma ya nchi. Ameyasema hayo kwenye kumbukizi ya waziri mkuu wa zamani, Edward Sokoine iliyofanyika mjini Arusha. Makonda...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Rufiji: Haijaisha mpaka iishe, mamlaka ya hali ya hewa yatangaza mvua kubwa katika mikoa kadhaa, serikali ichukue tahadhari kuwahamisha wananchi

    Mbombo ngafu, haijaisha mpaka iishe, kama haitoshi kwa mafuriko yanayotokea sasa Rufiji, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetangaza uwepo wa mvua kubwa katika maeneo kadhaa, pamoja na Mkoa wa Pwani. Tahadhari za awali ni pamoja na kuwaondoa wakazi wa mabondeni, misaada iwe standby Rufiji, na...
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

    Nimetembea kote Tanzania hii Mpaka Kigoma nimefika ila asee usijiloge mikoa ya kusini ni hatari Sana kama ni mtu unayetegemea majamaa wakuletee maendeleo.. Watu wa huku wanakatisha tamaa balaa yaani hata ukisema uwasaidie inakula kwako ila nafuu kidogo Mtwara Dangote amekuja kuchangamsha na...
  13. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Tanzania amefanya upendeleo wa makusudi kwa mikoa ya Pwani na Tanga kuwa na Mawaziri wengi kuliko mikoa mingine?

    Shalom, Tafadhari nakaribisha mjadala wa wazi katika hili. Rais amethubutu vipi kuvunja kwa makusudi utaratibu wa uwiano wa uwakilishi kimimkoa na kikanda katika uteuzi wa Baraza la Mawaziri, kuna udhaifu gani dhidi ushauri katika misingi ya mila na desturi. Kuna nini nyuma upendeleo huo wa...
  14. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Tanzania amefanya upendeleo wa makusudi kwa mikoa ya Pwani na Tanga kwenye Baraza la Mawaziri?

    Shalom, Tafadhari nakaribisha mjadala wa wazi katika hili. Rais amethubutu vipi kuvunja kwa makusudi utaratibu wa uwiano wa uwakilishi kimimkoa na kikanda katika uteuzi wa Baraza la Mawaziri, kuna udhaifu gani dhidi ushauri katika misingi ya mila na desturi. Kuna nini nyuma upendeleo huo wa...
  15. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali, Wananchi wawakatae Wakuu wa Mikoa wasiofaa. Uteuzi wa Rais siyo msahafu

    Maendeleo ya watu huletwa na watu wenyewe kwa kushirikiana na viongozi bora katka mazingira ya amani, utulivu na upendo. Kiongozi ambaye siku zote ni kuchochea mpasuko na vurugu hafai hata kidogo. Nitoe mfano hai kwa kiongozi kama Makonda. Kiongozi huyu ametuhumiwa na kwa ushahidi ulio wazi...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Si sahihi kupeleka watu walioshindwa katika mikoa ya kimkakati kama Arusha na Songwe

    Mikoa ya Arusha na Songwe ni malango ya biashara nchini. Inahitaji watu wenye capacity yakuweka watu pamoja kuliko watu waliofeli. Unapokuwa na kiongozi aliyefeli kisiasa ni vigumu kiongozi huyo kufanya vizuri kwenye jukwaa la utumishi wa umma. Chongolo na Makonda wapo kwenye frustration...
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania UWT yawajengea uwezo wanawake viongozi kutoka mikoa 9 ya Kanda ya Ziwa na Ziwa Magharibi

    UWT YA CHATANDA MOTO USIOPOA, YAJENGEA UWEZO WANAWAKE VIONGOZI KUTOKA MIKOA 9 YA KANDA YA ZIWA NA KANDA YA ZIWA MAGHARIBI 🗓️ 27/3/2024 📍 Winterfell, Mwanza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Chatanda kwa kushirikiana na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa serikali...
  18. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asijikite kutumbua Wakuu wa Mikoa na Wilaya pekee. Amulike ufisadi unaofanywa na Mawaziri wake

    Niaje waungwana, Kiukweli mimi sio mwanasiasa, wala mfuatiliaji wa mambo ya siasa hapa JF. Hivyo nimesukumwa tu na uzalendo wangu mwenyewe kuandika haya niliyoandika. Kwa kawaida nchi yetu ina mawaziri zaidi ya ishirini na manaibu wake (hapo sijazungumzia makatibu wakuu na manaibu). Kikawaida...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Chama chetu CCM kichukue hatua za haraka

    Jana tulikuwa na Mkutano Mkuu wa Mtaa ulioitishwa na CCM kuelezea wananchi wa Mtaa ilani ya Chama Cha Ma;induzi yaani utekelezaji wa shughuli za maendeleo tangu Awamu ya sita iingie madarakani na tangu Awamu ya Tano na Sita hawajaitisha mkutano mkuu wa mtaa. Mtaa wetu una takriban watu wazima...
  20. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ili uishi sehemu yeyote unahitaji kibali na sio kila siku unahama mikoa huku na huku na bado haufanikiwi

    Kijana na wazee, mada hii ni fikirishi ila italenga kutoa maana kuhusu Maisha. Hapa duniani haijalishi upo mjini au kijijini Ila unachohitaji ili ufanikiwe na kutoishi maisha ya kuangaika ni kibali. Zingatia huu mchakato kwanza ili upate kibali. Fanya chaguzi kwa kuitikia wito wako. Ukiitikia...
Back
Top Bottom