mikoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Barabara kutoka Cairo Misiri hadi capetown Afrika Kusini, hapa Tanzania inakatisha mikoa ipi?

    Huu mradi katika ukanda wa kati njia hii kutoka Cairo mpaka captown utapitia dsr es salaam nomba kujua mikoa mengine. Hii hapa nimepata nchi itakamo pita.
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Tunasafirisha Parcel & Mizigo Yote Kwenda Mikoa Yote Tanzania

    Habari, CITIZEN CARGO LTD Tunatoa huduma ya Usafiri wa Parcel, Vifurushi, Mizigo Mikubwa na Midogo. Kutoka Dar es salaam Kwenda Mikoa Yote Tanzania Mizigo yako itasafirishwa kwa haraka na uwakika. Wasiliana nasi leo tukutembelee kukuhudumia kwa haraka. Asante Yohane Sunguya Citizen Cargo...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wakuu wa Mikoa na Wilaya fuateni utaratibu wakati wa kuvunja mikataba, mnatutia hasara

    “Kuna suala la mikataba,kuna amri kwamba mikoa, wilaya isimalize kuingia kwenye mikataba mpaka ofisi ya Mwanasheria Mkuu waone mikataba hiyo, lakini kuna wengine wanajifanya mafundi na kusaidi mikataba hiyo. Lakini pia kuna mikataba imefungwa kwa njia inayokubalika, lakini wakati wa kuvunja...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Jokate: UWT imekagua utekelezaji wa ilani katika mikoa 17, wilaya 185 na kata 883 Tanzania Bara

    UWT CHINI YA MWENYEKITI MAMA MARY CHATANDA IMEKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI KATIKA MIKOA 17, WILAYA 185 NA KATA 883 TANZANIA BARA - KATIBU MKUU JOKATE Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu chini ya Mwenyekiti wetu Mama Mary Chatanda (MCC) wamefanya ziara za kukagua utekelezaji wa ilani ndani ya...
  5. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Raha na utamu wa mapenzi viko Tabora, hiyo mikoa mingine mnateseka sana

    Hakika mapenzi ya Tabora hawa wanawake wa kinyamwezi ni kiboko. Kuishi ama kufika ama kupita Tabora ni raha sana, mapenzi tele na raha zake na utamu wa mapenzi ya Tabora hakuna mkoa pinzani. Wanawake wa kinyamwezi na hata walofundwa unyamwezini ni watamu sana wanajua mpaka basi hadi wana utamu...
  6. Kijana LOGICS

    JamiiForums Tanzania Mikoa ambayo haiendelei kabisa

    1.MARA Hadi Leo wanatumia probox namba A kama daladala Wakazi WA huko Wana hasira muda wote wapo kisharishari Walimu WA wengi WA shule za vijijini wamepanga mjin asubuhi wanawasha mapikikipi wanapakizana wawili wanaenda shule 2-SIMIYU Population ni kubwa sana uchumi umedorora Kila familia ina...
  7. Heparin

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Tunaanzisha wiki ya Maandamano kwenye Makao Makuu yote ya Mikoa nchi nzima

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema chama hicho kitaingia kwenye awamu nyingine ya Maandamano yatakayofanyika kwenye makao makuu yote ya mikoa nchini, maarufu kama wiki ya Maandamano yatakayofanyika kuanzia Aprili 22-30, 2024. Aidha, amewatangazia Diaspora kufanya maandamano makubwa...
  8. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Wakuu wa Mikoa ni nyepesi sana

    Heshima sana wanajamvi, Inafahamika Jumanne yatakuwepo maandamano hapa Jijini Arusha. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha imekuwa katika harakati kubwa za kutaka kuyazuia maandamano hayo kwa kutumia njia haramu na zinazo kiuka misingi ya katiba yetu yenye mapungufu mengi. Mosi kamtumia mwenyekiti...
  9. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa aagiza Wakuu wa Mikoa kusimamia usambazaji wa sukari

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa yote nchini kusimamia kwa makini usambazaji wa sukari na kuwachukulia hatua wafanyabiashara wote wanaohujumu upatikanaji wake. Akitoa agizo hilo leo Februari 21, 2024 Ofisi ndogo...
  10. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Usambazaji wa Sukari nchini kusimamiwa na Wakuu wa Mikoa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa yote nchini kusimamia kwa makini usambazaji wa sukari na kuwachukulia hatua wafanyabiashara wote wanaohujumu upatikanaji wake. Akitoa agizo hilo leo Februari 21, 2024 Ofisi ndogo...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dar na Pwani zaongoza kwa kuwa na Wagonjwa wa Red Eyes, Mikoa 23 yabainika kuwa na maambukizi

    Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Huduma za Tiba kutoka Wizara ya Afya, Profesa Pascal Ruggajo, mikoa inayoongoza kwa ugonjwa wa Macho Mekundu (Red Eyes) ni Dar es Salaam na Pwani, ambapo Dar es Salaam imefikia wagonjwa 6,412, Pwani wagonjwa 4,041, Dodoma 363, Morogoro 307, Mtwara 193, Shinyanga 193...
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Report ya Makonda ya kutembelea mikoa 20 ikimfikia Rais tutarajie yafuatayo kutolea!

    1. Waziri wa Afya - out 2. Waziri wa mambo ya ndani ,- out 3. Waziri wa kilimo - out 4. Waziri wa Elimu - out 5. Waziri wa Nishati - out 6. Waziri wa ardhi - out 7. IGP - OUT 8. Mkuu wa uhamiaji - out Kuondolewa Kwa :- 6. Wakurugenzi wa Halmashauri wote aliko pitia 7. DC na Das kote...
  13. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Wananchi kukimbilia kwa Makonda kueleza kero zao je Wakuu wa Wilaya, Wakuu wa Mikoa wameshindwa majukumu yao?

    Tumeona mama katoka Tabora anasema Tabora alikosa nafasi akaenda kahama akakosa nafasi, hakuchoka akaenda mpaka kigoma ndio akapata nafasi akaeleza kero zake kwa mh Paulo makonda swali fikirishi sana shida ipo wapi je wanainchi hawana imani na viongozi waliopo katika halmashauri zao ambao...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Makonda na Nchimbi wapendekeza wakuu wa wilaya, mikoa, RAS na DED; utenguzi, uhamisho na utenguzi kufanyika hivi karibuni

    Kila kiongozi anayeingia ofisini kwenye chama jambo la kwanza ni kupendekeza kutengua na kuteua. Tayari wawili hawa wamewasilisha majina ya watu wanaotamani wapewe nafasi waonje keki ya Taifa. Kufuatia utamaduni huu wa kila mtu kumpa shavu rafiki yake, nawajulisha wakuu wa mikoa, wilaya...
  15. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Tanesco yatangaza hitilafu, Mikoa iliyoungwa Gridi ya Taifa kukosa umeme

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye Mikoa iliyounganishwa na Gridi hiyo. “Juhudi za kurejesha mfumo zinaendelea kwa haraka ili huduma iweze kupatikana...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Mikoa 17 ina Wagonjwa wa Red Eyes Tanzania

    Serikali kupitia Wizara ya Afya, imesema jumla ya mikoa 17 nchini imekumbwa na ugonjwa wa macho mekundu ujulikanao kitaalamu kama viral keratoconjunctivitis (red eyes) na watu 5,359 wametajwa kuathirika. Kufuatia kusambaa huko, wizara imewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa huo...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mikoa 8 kukumbwa na Mvua kubwa kwa siku 5 kuanzia Januari 30, 2024

    Mikoa ya Lindi, Iringa, Mtwara, Mbeya, Songwe, Njombe na Ruvuma inatarajiwa kupata Mvua za Juu ya Wastani kuanzia Januari 30, 2024 ikiwa ni siku chache tangu Mikoa ya Dar na Morogoro ikumbwe na Mafuriko. Kwa mujibu wa taarifa ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Mvua hizo zinaweza...
  18. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Hatimae nimeamua kuandika kitabu kuhusu mtindo wa maisha ya watu wa mikoa ya Kusini mwa Tanzania

    Wakuu baada ya kupiga kambi Mtwara na Newala nimevutiwa sana na ustaarabu, uungwana na ukarimu wa watu wa kusini mwa Tanzania. Sasa ninaandika kitabu kuhusu maisha ya watu wa kusini mwa Tanzania. Kitabu kitagusa nyanja zote kuanzia utamaduni hadi shughuli za kiuchumi ikiwa ni pamoja na fursa...
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Nimepata kusomea Ratiba ya Makonda mikoa 20, anapita barabara zenye lami tu? Kwenye barabara za maeneo yenye vumbi hakuna wanaccm?

    Huyu bwana ni msaani! Anatumia Kodi na fedha za chama kupitia na gari Kila mkoa Kwa siku Moja! Cha kunifurahisha Sasa , hapiti maeneo yenye matatizo mfano , maeneo ambayo hakuna maji, shule, barabara, umeme bali anapitia maeneo ya barabara kuu penye lami TU. Cha kujiuliza huko kusiko na lami...
  20. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya Katibu Mwenezi wa CCM, Paul Makonda mikoa 20 kwa siku 10

Back
Top Bottom